Pre GE2025 Waziri Jafo: Zaidi ya Viwanda 28,000 Vimejengwa Ndani ya Miaka 4 ya Rais Samia.Ampongeza Kwa Kuleta Mageuzi Makubwa ya Uwekezaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
========================
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mabadiliko makubwa aliyoyafanya katika sekta ya viwanda nchini.

Akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa kiwanda cha saruji cha Maweni Limestone mkoani Tanga leo Alhamisi Februari 27, 2025, Dkt. Jafo ameeleza kuwa takwimu zinaonesha kwamba, katika kipindi cha mwaka 2019-2021, Tanzania ilikuwa na viwanda takribani 52,000, lakini chini ya uongozi wa Rais Samia, idadi ya viwanda imeongezeka na kufikia viwanda 80,179.

Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇
Nilidhani ni enzi zile tu!
 
20240929_170116.jpg
 
Tanzania ya Samia ina viwanda Kila Kona eg hiki Cha Transfoma 👇👇

View: https://youtu.be/cKdtZ8Ru-OM?feature=shared

Hivi viwanda vya Samia havina tofauti na viwanda vya Magufuli huwa vinaonekana kwa baadhi ya watu tu wakati kwa wengine havionekani hata bidhaa zinazotekenezwa na viwanda hivyo madukani hazipo zimejaa bidhaa za nje,sijui bidhaa zake zinauziwa kuzimu ndiomaana hazionekani madukani.
 
Nenda hapo ukaona hizo si ni location? Vitaonekana Kwa mtu anaetaka kuviona.
Screenshot_20250304-070942.jpg
Screenshot_20250304-070942.jpg
1740365457135.jpg
1740365241477.jpg
 
Hahaha bado ninatamani niendelee kuishi.
Leta jibu la Mkoa wako unaogopa nini Sasa? Mbona Mimi Niko Katavi wewe hujui unakoishi?

Mimi kwetu Mbeya shida Iko wapi? Una kipi wewe Cha kuitisha Serikali Hadi uwe Tishio eti unataka kuishi? 😂😂
 
Mzee wewe ni chawa wa mama samia kwa hiyo usalama wako ni asilimia mia,pia siwezi nikajua kazi yako ni IPI,suala la kuwa na kitu cha kuitisha serekali watu wasiojulikana wanakijua.
 
Awamu ya Samia ndio imetafsiri maana halisi ya Tanzania ya viwanda na sio vi wonder kama kule tulikotoka. Pia soma Rais Samia anatafsiri Tanzania ya viwanda kwa vitendo
========================
Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo, amempongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mabadiliko makubwa aliyoyafanya katika sekta ya viwanda nchini.

Akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa kiwanda cha saruji cha Maweni Limestone mkoani Tanga leo Alhamisi Februari 27, 2025, Dkt. Jafo ameeleza kuwa takwimu zinaonesha kwamba, katika kipindi cha mwaka 2019-2021, Tanzania ilikuwa na viwanda takribani 52,000, lakini chini ya uongozi wa Rais Samia, idadi ya viwanda imeongezeka na kufikia viwanda 80,179.

Nawakumbusha tuu kwamba sera ya Kufungua Nchi inalipa na imeleta majibu .👇👇
Nimekumbuka enzi za jiwe, vi-wonder 100 kila mkoa🤣🤣jamaa alikuwa tapeli
 
Mzee wewe ni chawa wa mama samia kwa hiyo usalama wako ni asilimia mia,pia siwezi nikajua kazi yako ni IPI,suala la kuwa na kitu cha kuitisha serekali watu wasiojulikana wanakijua.
🚮🚮🚮

Huna hoja,kamuulize Samia kama ananijia au hata wasaidizi wake
 
Back
Top Bottom