Jane Lowassa
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,955
- 9,041
We utakuwa walewale majambazi ya ardhi. Jifunzeni kukubali kazi nzuriHapana,anachokifanya ni siasa.yaani katika hali ya kawaida atawarudishia hao walalamikaji maeneo yao,then aliyenyanganywa ataenda mahakamani atashinda kesi,then atamtoa tena mlamikaji.silaa hatokuwepo miaka yote.
Hii imetokea kariakoo.
Maneno ya waziri sio sheria.
Alichotakiwa kufanya ni kitengeneza platform nzuri ya utatuzi wa migogoro ya ardhi,na sio kuruka ruka kama kuku.
Huu ni ujinga,ni siasa za kizamani za kimagufuli.
Basi tufunge mhakama,na tuwaambie mawaziri wote wawe majaji