Mheshimiwa, jaribu basi hata kuwaheshimu wana ccm wenzako. Treni za umeme kitambo tu zipo Afrika. Acheni kufanya siasa nyepesi! Mnafanya tuonekane Watanzania wote ni viazi mbele ya majirani zetu.Mbona hayo majina umeweka we we ? Tuonesha yalisia ya majina ya nchii
Iko na video kabisa, kuna swali la nyongeza ?Mbona hayo majina umeweka we we ? Tuonesha yalisia ya majina ya nchii
Kwani umeambiwa yeye ni wakili?amewahi kushinda kesi yoyote ?
Labda ni wa mitishamba! [emoji849]Hivi huyu Kalemani udaktari wake ni wa nini ?
Kuna uongo mwingine hauvumiliki labda kama tunaongelea ile "Afrika" yetu ya Burundi, Malawi, na Uganda🤣Umetumia mda mwingi kwa huyu mjinga. Kapewa ubwabwa na viongozi wa ccm
Ethiopia, South Africa na Morocco! Hizi nchi zote zina hizo treni za umeme kitambo tu. Aache uongo.
Anaijua Gautrain huyu Chatoman?Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.
Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Basi asitudanganye kana kwamba hatujui kitu huyu chatomanKuingia kwenye list ni hatua kubwa sana kwa sisi wapenda maendeleo
Lakini mwisho wa siku Tanzania siyo Nchi ya kwanza kuendesha hiyo treni ya umeme. Yaani Saddam Hussein alikuwa ni Rais wa Iraqi na siyo Kuwait!!Kuingia kwenye list ni hatua kubwa sana kwa sisi wapenda maendeleo
We jamaa unamdhalilisha waziri. Kalemani hawezi sema uongo namna hiiWaziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.
Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Hivi hawa watu uwa wanatuona sisi ni matahira au?Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.
Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!
Kenya wao wana madaraka express [emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hawa watu uwa wanatuona sisi ni matahira au?
Ethiopia na Djbouti zimejenga mfumo wa train za umeme toka 2016 unafanya kaziEthiopia-Djibouti electric railway line opens
A Chinese-built electric train service from Ethiopia's capital, Addis Ababa, to the Red Sea port in Djibouti opens with a test run for passengers.www.bbc.com
Kwahiyo unajivunia uwezo mliojipa wa kuchota 1.5 bila kuhojiwa na Bunge! Hongera kwa wizi.Hata kupaka rangi tu makao makuu hapo ufipa mmeshindwa.
Hahahaaaa....... Hivi sasa tunazungumza lugha moja na hao matajiri.We jamaa unamdhalilisha waziri. Kalemani hawezi sema uongo namna hii
Haki hawa watu wanatuona sisi ni matahira au wanaongea wasichokijua.Kenya wao wana madaraka express [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hizo siyo kama hii ya kwetu!Kenya wao wana madaraka express [emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kwahiyo Joe Biden atatoa AwardsWaziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.
Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.
Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!