Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.

Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.

Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Anaijua Gautrain huyu Chatoman?
 
We jamaa unamdhalilisha waziri. Kalemani hawezi sema uongo namna hii
 
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.

Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.

Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Hivi hawa watu uwa wanatuona sisi ni matahira au?
Ethiopia na Djbouti zimejenga mfumo wa train za umeme toka 2016 unafanya kazi
 
Duh ok naona wenzetu kenya wana madaraka express inatoka mombasa mpk nai
Egypt wao tangia 1987 wao walishakuwa na mfumo huo ...wa sgr
South afrika ndy hivyo tena naona mpka sasa wao ndy watakuwa wanaongoza kwa kuwa na mfumo mzuri wa usafiri wa treni sgr wengine kuxipanda tumezipanda huko
Sasa haya mambo ya sisi tukifanya jambo utaskiaa ohh hii itakuwa ndy bora na ya kwanza afrika tuachage maana daraja la kigamboni tulisemaga hivyo,mradi wa udart nao tulisema hvyo...hebu wakamilishe tu huo mradi ila watanzania hawataki ona mradi huko mbeleni unabuma

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Nimejikuta nacheka mwenyewe na huu " ushahidi usio na mashaka" unaotolewa humu.
 
Waziri wa nishati mh Kalemani amesema Tanzania itakuwa ni nchi ya kwanza itakapoanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika.

Kalemani alikuwa akikagua ujenzi wa reli ya SGR na miundombinu yake ya umeme na amesema Tanesco imetenga megawatt 70 kwa ajili ya mradi huo.

Ukaguzi huo umefanyika mjini Morogoro.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kwahiyo Joe Biden atatoa Awards
 
Back
Top Bottom