Waziri Kalemani: Tanzania itakuwa nchi ya kwanza kuendesha treni ya umeme barani Afrika!

Tatizo mawaziri wa serikali ya Magufuli safari zao ni Chato-Dar-Dom hawatembei nje ya nchi; hawajui mambo ya nchi zingine.
 
Between 50% to 80% of the rail lines in South Africa are electrified.[8] Different voltages are used for different types of trains. Most electrified trains run 3000 V DC (overhead); this is used primarily for commuter lines, and has been in use since the 1920s. During the 1980s, higher voltages (25 kV AC and—much less frequently—50 kV AC (both overhead) have been used for heavy duty lines (which also require more sleepers per kilometer) primarily used for the transport of iron ore.
 
Ni kweli sio nchi ya kwanza. Ila ni hatua ya kupigiwa makofi. After all, it is very painful now, but development comes with a cost
Ni very painful now! Ni kuliko wakoloni waliotembea kwa mguu na kulala porini kwenye wanyama na nyoka wakali wakati wa kupima na kujenga reli ya toka Dar mpaka Kigoma, Mpanda na Mwanza? Painful kwa kipi!
 
Msamehe, alisahau kuwa mtandao waliiufunga wa intaneti wenzake wameufungua.
 
Barani AFICA[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]


MATAGA WAJINGA.SAANA NCHI KIBAO.ZINA HII.KITU
 
Ethiopia and Djibouti have launched the first fully electrified cross-border railway line in Africa. It links Ethiopia's capital, Addis Ababa, to the Red Sea port ofDjibouti - a stretch of more than 750km (466 miles).Oct 5, 2016

MWAKA 2016

PUNDA NYIE
 
jinga lingine la Chato, SA wanayo tangu walipo host world cup.
 
Huyu Kalemani asubiri kuolewa tu jela ....muda unataradadi na mwalimu mzuri !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…