Umeshalipwa au bado?
 
ikiwa umefikia ukomo wa mawazo mapya na fikra mbadala bora zaidi ya wengine, ni vema kukaa kimya na kujifunza kwa wengine.

hakuna haja ya kumbwelambwela vitu useless jukwaani πŸ’
We ni mjinga unamwazo gani mbadala zaidi unahoja za kijinga na fikra finyu kama genge lenu la kitapeli na kigaidi
 
Umeshalipwa au bado?
ukifika ukomo wako wa mawazo mapya na fikra mbadala dhidi ya hoja au comments za wadau jukwaani, huna haja ya kumbwelambwela vitu useless jukwaani gentleman,

kaa kimya tu na itapendeza zaidi, okay?πŸ’
 
Kwanza kidato cha nne ulipata division ngap?
 
Nchi ya kijinga sana hii! Sasa kuna umuhimu gani wa kuwepo na katiba kama kila mtu ana mamlaka ya kujiamulia vile apendavyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…