Waziri Kombo: Raia akimrushia jiwe Polisi, general order yake inamwambia 'Attack first'

Hakuna anayeruhusu au kusifia polisi kupigwa jiwe, ishu ni moja tu huwezi tumia siraha za moto kwa raia aliyeshika fimbo. Au jiwe, yale mavioo yanayonunuliwa kwa kodi za wananchi kazi zake ni nini??
Mkuu acha kuhalalisha uhalifu kwa hoja dhaifu. Hakuna sababu ya kumpiga mawe polisi. Jiepushe na matatizo yasiyo ya lazima
 
Kichaa kabisa
 
Kweli wahenga walikuwa sahihi,Kifo cha nyani matawi hudondoka!
 
Mkuu watu wa nchi hii wana uvivu mkubwa sana kiasi cha kuwa dumping place ya taarifa yoyote hata isiyo ya kweli.
 
Wazanzibar hawakupendi. Punguza shobo
 
Kwa hiyo mnaona kumrushia polisi mawe ni sawa? Ndo nyie mnalilia uhuru wa kutukana mkidai ni kutoa maoni. Msipobadilika mtazidi kuumia kila siku. Epuka kumrushia jiwe polisi ili uwe salama.
polisi ni mtumishi wa umma babu, kinyume na hapo atatupiwa mawe tu pamoja na bunduki yake yenye risasi
 
gentleman,
mimi ukweli ndio maisha yangu,
na sio porojo, uzushi na unafiki nonsense kama mnaoendekeza wafuata mkumbo
Mkuu kuna tofauti ya ukweli na msimamo, wewe una msimamo unajulikana msimamo wako na umekuwa ukiusimamia vizuri tu huo msimamo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…