Kuna ofisi za Balozi, waTanzania wako huko nje Ina maana mnawafanya wote hawapo na hawajui uongo na ukweli!
Nyakati zingine viongozi wakienda wanakutana na wana Diaspora! Sasa hii maneno hadi itokee ndio mnene!
Kuweni wakweli.
 
Sijui lkn historia ya PM inamkana.
 
Huyu naye ataumbuka soon, kuna kiongozi ngazi ya juu anaweza kukaa nje ya nchi zaidi ya siku 10 kwa kazi za kitaifa.
 
Tundu Lissu hajawahi kuingia katika baraza la Mawaziri (Cabinet) tangu azaliwe. Ni Mwanasiasa kama wengine mitaani.

Waziri mkuu ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri, katiba inatamka wazi, Rais au Makamu wake ikiwa hawapo, kikao kitaendeshwa na Waziri Mkuu. Ni kiongozi wa Serikali Bungeni pia. Wadhifa , hadhi na majukumu yanawatenga wawili hao.

JPM yu mhututi au tayari ametuacha, Majaliwa ndani ya Msikiti ANASEMA 'Rais yu bukheri' anapitia mafaili. Majaliwa alitumia Uwaziri mkuu ndani ya nyumba ya Ibada kuaminisha watu uongo! wicked

Bila kuulizwa Majaliwa yule aliyeongopa anatuaminisha jambo katika mazingira yale yale akilaumu mitandao.
Mitandao ile iliyosema JPM anaumwa yeye akisema anachapa kazi, leo anataka tumu amini yeye kuliko.

Majaliwa ni morally corrupt , haaminiki na Umma. Ni PM akae kimya si kutufanya mazuzu kila mara akitaraji ' pass' . Hapana! Kwa haya ya leo aache tu , hatuhitaji update zake ! sisi si wajinga kama anavyodhani!
 
Majaliwa hata kwenye suala la Magufuli alitoka hadharani na kuanza kufoka,siku 3 mbele Taifa likaombeleza!!

Ikiwa anaweza kutumia gharama kubwa na muda kuficha mvi,sishangai kutoa tamko lisilo kweli!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Thanks for this, maana Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?!.
P
 
Lissu naye ni kiongozi mkubwa tu nchini ambaye watu wanamsikiliza.

Kitendo cha yeye kwenda kwenye kituo cha habari cha kimataifa na kudanganya hadharani, si sawa.

Na hajawahi kusahihisha alichoongopq.

He shouldn’t be excused.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…