Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu
Hiyo taarifa katika webiste ni kweli ipo, lakini cha ajabu zaidi ni kwamba kwanini hapo waonyeshe mgeni rasmi ni makamu wa raisi wakati katika website yao hakuna sehemu yoyote mheshimiwa makamu wa raisi akionyeshwa ni mgeni rasmi?

Mbona hapaeleweki!
 
Kuna wadaku nimewasikia wanasema yupo korea kufanyiwa upasuaji wa koo mfumo wake wa koo ulipata hitilafu basi ivyo.
 
Kabaridi haka nkajizogeza kidogo kwa mama jitunze nipate kajoto na ka k vant kadogo....Inaonekana picha ya wahanga wa mafuriko yanayoendelea hanang kupitia televisheni..... Ghafla jamaa nyuma yangu ananiuliza hivi unahisi yupo wapi Mh.Philip Mpango maana simsikii hata anazidiwa na yule mwenezi wa chama, anaongeza.. ningekua na ka nyazifa hata ka utendaji hapa mtaani ningehakikisha navimba hata kuonekana kidogo....sijui jamaa ni binadam wa aina gani??

Jamii ya mtu kama Philip Mpango ni character ya aina gani??

Je? unadhani Mh. Philip Mpango yuko wapi isije kuwa habari sawa na za jiwe...
 
Back
Top Bottom