Waziri Mkuu, Majaliwa amuwakilisha Rais Samia kumjulia hali Lowassa

Huyu anayejiita mtoto wa mujini alaaniwe na watu wote walio wema
 
Nani huyo anaongea na Mh wimawima kama vile ana haraka
 
Kwa nini unasema amemuwakilisha?! Kwamba ni lazima waziri mkuu mstaafu ajuliwe hali na Rais
Nchi hii ukiona kituko Mashariki basi geuka Magharibi haraka utaona tunavyopigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…