Waziri Mkuu Majaliwa, pokea makadirio yangu kibanda cha VETA Tabora

Nyie watu, mtu kaweka mahesabu yake na tunaysina.
Mtu mwenye akili za kumtosha angeweka mahesabu yake mbadala.
Kwani nawe unayaona mahesabu?
Kuna watu wamezoea kuanzisha ujinga hapa ili wengine wahangaike na correction. Kibanda cha mlinzi kwa force account, kwa mtanzania mwenye akili timamu ya kuweza kupiga kura, you don't need any calculation to disapprove this forwarded nonsense!
 
Nyie watu, mtu kaweka mahesabu yake na tunaysina.
Mtu mwenye akili za kumtosha angeweka mahesabu yake mbadala.
Ameweka BOQ ya kujenga armoury badala ya banda la mlinzi, hivyo hawezi kuwekewa mahesabu mbadala!
 
Najua sasa hivi unaumwa na mbu kibandani.
Tafuta wataalam wakusaidie.
Siku nyingine ukitengeneza BOQ uliza madhumuni(purpose) ya jengo na siyo ku-copy ovyo mwishowe una-copy BOQ ya kujenga armoury!
 
Siku nyingine ukitengeneza BOQ uliza madhumuni(purpose) ya jengo na siyo ku-copy ovyo mwishowe una-copy BOQ ya kujenga armoury!
Mkuu wewe endelea kuishi mbavu za mbwa.
Unabishana na profesa wa ujenzi, utaweza wapi.
Ridhika na very low standards unazozifahamu.
 
Noana unaanza kuwa na fahamu. Utaelewa tu kwamba shule haikukusaidia kujenga hoja. Ikumbuke force account.
Hatuwezi kuelewana katu.
Maana hujaweza su huna uwezo wa kuchangia mada kwa kuweka mahesabu yako mnadaka kuhalalisha kile ambacho kwako ni imani badala ya kufanya mhesabu halisi.
 
Nadhani sheria ya manunuzi, ilalazimisha vitu kununuliwa kwa gharama kubwa sana kwa huu taratibu wa ma supplier

Madukani vitu vipo bei rahisi kabisa lakini supplier anakwenda kuchukua na kuiuzia taasisi mara 2 , yeye kujaza yale makaratasi yanayoitwa maporofoma sijui ma kotesheni na miuri kibao haoni shida ile dukani mangi hayo hayana na anaona yanampotezea muda.
ILA DAH! UINGEREZA WAMEPATA MFALME MTULIVU HANA MBWEMBWE EMBU FIKIRIA UFALME HUO ANGEPATA MTU KAMA MWIJAKU , STIVE MENGERE AU MANARA HIZO MBWEMBWE KUANZIA MAVAZI, KUTEMBEA NA WALINZI ZINGEKUWAJE?
 
Nimekuwekea Xcel hiyo tumia kichwa si mdomo kubwabwaja.
Miradi hsijengwi kwa kupiga dimi bali mahesabu.
Xcel za mchongo hatutaki. Nenda na xcel yko kamtetee mwenzio aliyeshindwa kutoa hyo xcel hadi kudakwa. Ujenzi wa jengo la serikali anakosa mchanganuo wa gharama utafikiri kamjengea mtu wa mtaani. Mnajifanya mko smart sana kumbe hakuna kitu ni wizi tu, mainjinia wa bongo viazi sana ndo maana hawaaminiki kwenye miradi mikubwa.
 
Watu msio na akili za kutosha, mmepewa mahesabu ili mupitie na kusahihishaujenzi wa jengo mnalotaka , mmekalia kuchonga kama hamna akili nzuri!
Lete mkadirio yako, nyumba za kerikali hazijengwi kwa maneno matupu.
Hebu pelekeni huko kwa aliyemtia hatiani uchanganuzi wenu. Yeye alishindwa nini kuandaa gharama hzo ilihali alijua kiongozi anapita kukagua? Mnafanya kazi kwa ubabaishaji sana na hpo mnadai nyumba za serikali hazijengwi kwa maneno matupu mbona ye kajenga bila kuwa na sehemu ya kumbkumb za manunuzi hadi maelezo ya maan anakosa.
 
Mkuu wewe endelea kuishi mbavu za mbwa.
Unabishana na profesa wa ujenzi, utaweza wapi.
Ridhika na very low standards unazozifahamu.
Kwa taarifa yako ninapoishi ni matawi ya juu sana kwako! Endelea na utapeli wako lakini huna maisha marefu utabambwa tu!

Habari ndiyo hiyo hata chawa wako wamekuruka!
 
Kwa taarifa yako ninapoishi ni matawi ya juu sana kwako! Endelea na utapeli wako lakini huna maisha marefu utabambwa tu!

Habari ndiyo hiyo hata chawa wako wamekuruka!
Kisa ana knowledge ya uhandisi basi anataka kubadili nyeusi tukubali ni nyeupe. Amejipinda kutuandikia maelezo kibao utafikiri mwenzie aliyeshindwa kutoa hayo maelezo hana akili.
 
BOQ ya wizi nani atafutilia! BOQ ya banda la mlinzi inakuwa sawa na BOQ ya msingi wa ghorofa! Wewe ni zaidi ya fisadi na kama kuna mtu anakupa kazi basi huyo ni zaidi ya kilaza!
Ungefafanua ni kitu gani katika hiyo BoQ kinachokufanya uamini ni kwa ajili ya jengo la ghorofa?

Amandla...
 
Kabisa mwamba
Mtoa mada ni wale wale tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…