Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Kwani nawe unayaona mahesabu?Nyie watu, mtu kaweka mahesabu yake na tunaysina.
Mtu mwenye akili za kumtosha angeweka mahesabu yake mbadala.
Kuna watu wamezoea kuanzisha ujinga hapa ili wengine wahangaike na correction. Kibanda cha mlinzi kwa force account, kwa mtanzania mwenye akili timamu ya kuweza kupiga kura, you don't need any calculation to disapprove this forwarded nonsense!