mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Kulinda viwanda vingine na ajira; kama Dangote mtaji wake ni retained earnings za biashara yake, umeme anazalisha mwenye, distribution anafanya mwenyewe.
Mtu ambae kakopa bank deni lenye interest za 15%, traders inabidi wamfuate, umeme ananunua, malighafi kufikishiwa inabidi atumie haulage companies zingine.
Hao watu wawili uwezi walinganisha kwenye production costs, Dangote will be cheaper and it is not a good way to nurture an industry growth kama anaweza kuuwa biashara zingine.
Ndio nimelinganisha nikaona haifanani. Inaelekea kwa issue ya sementi walanguzi wameamua kuficha bidhaa ndio maana baada ya mkwala kidogo tu wameufyata. Ingekuwa kweli ni nguvu ya soko hakuna mkwala ungefua dafu, kama ilivyokuwa issue ya sukari ambayo imeendelea kupanda bei.Linganisha na mfano wangu wa yule mzee Ngwilulupi wa Sigara.
Ufundi wa maneno meeeengi ambayo hayana majibu, kwa nini huwaambi serikali kuona mbali zaidi ya hapo badala ya kusubiri zima moto km hizi..hivi nchi hii resources zilizopo ni za kutengeneza saruji peke yake? Kwa nini kuingilia bei zinapopanda wakati serikali hii mara zote inawaambia wakulima wauze mazao yao kwa bei wanayotaka? Wengine wakipandisha bei kosa..!Kwa sababu za kulinda viwanda vingine na ajira.
Kama Dangote mtaji wake ni retained earnings za biashara yake, umeme anazalisha mwenye, distribution anafanya mwenyewe.
Wakati washindani wake wamekopa bank deni lina interest za 15% annually, traders inabidi wamfuate, umeme ananunua, malighafi kufikishiwa inabidi atumie haulage companies zingine.
Hao watu wawili uwezi walinganisha kwenye production costs, na wala pricing strategies. Dangote will be cheaper and it is not a good way to nurture an industry growth kama anaweza kuuwa biashara zingine, busara ni kutaka auze sawa na wengine.
Kwenye market economy interventions za ‘market failure’ hakuna solution ya ‘one shoe size fits all’ kila failure inatatuliwa kutokana economic evidence.Ufundi wa maneno meeeengi ambayo hayana majibu, kwa nini huwaambi serikali kuona mbali zaidi ya hapo badala ya kusubiri zima moto km hizi..hivi nchi hii resources zilizopo ni za kutengeneza saruji peke yake? Kwa nini kuingilia bei zinapopanda wakati serikali hii mara zote inawaambia wakulima wauze mazao yao kwa bei wanayotaka? Wengine wakipandisha bei kosa..!
Toka umeanza maelezo yako, hakuna economic evidence yyte umetaja..ni assumptions tuKwenye market economy interventions za ‘market failure’ hakuna solution ya ‘one shoe size fits all’ kila failure inatatuliwa kutokana economic evidence.
No hiyo Demand & Supply haiwezi apply hapoMkuu naona somo la Economics kwako ni wimbo wa kichina.
Restrict supply for a commodity in demand, price goes up.
Increase supply for a commodity in demand, price goes down.
Production costs bado ni constant.
Mikwala haisaidii sana maana haitatui tatizo la msingi-ukosefu wa bidhaa sokoni.Ndio nimelinganisha nikaona haifanani. Inaelekea kwa issue ya sementi walanguzi wameamua kuficha bidhaa ndio maana baada ya mkwala kidogo tu wameufyata. Ingekuwa kweli ni nguvu ya soko hakuna mkwala ungefua dafu, kama ilivyokuwa issue ya sukari ambayo imeendelea kupanda bei.
Yes.Kwa nini wasiruhusu saruji kutoka nje
👊👊Utawala wa dola ya Polisi zaidi kuliko akili.
Mkuu tupe hizo theories mbadala!Ipo namna moja tu ya kucheza na nguvu ya soko.... Inawezekana kabisa kucheza na market forces za demand and supply bila ku flood ze market!
Huyo anacha naye. Ni watu wa awamu ya tano hiyo. Wanatumia tumbo zaidi kuliko ubongo. Supply ya bidhaa inapokuwa kubwa bei hushuka.Usiwe kilaza, elewa mada kwanza.
Kuna jamaa anaeleza vizuri simple facts za uchumi lakini watu mnataka watu waumizwe,sijui wapewe adhabu ya nini yote hayo ya nini?. Dawa ni kuflood the market. Serikali isihangaike na yeyote itoe kibali cha kuagiza cement cha muda mpaka hali ikiwa sawa,simple fact and nobody hurt.Acha upuuzi,jibu maswali,je kama kuna watu wanafanya subbotage kuharibu soko ili wapate faida, serikali ikae kimya?
Brother sijajua intention yako ni nini. Lakini tuassume wafanya biashara wameficha cement ili wapate faida zaidi utafanyaje? Maana mimi na wewe tunajua mfanyabiashara hawezi kuacha fursa ya faida kubwa pale anapopredict future shortage of supply au akaona fursa ya kucreate shortage akaiacha. Lakini unaweza kutibu tatizo hilo bila hata kumuuliza au kuquarrel nae kwa kuhakikisha unaongeza supply kwenye market. Yeye anaficha wewe unaongeza ikimzidi atatoa kwa bei ya kutupa,ndio maana ya kuflood market.Flood the market bila kujua kwa nini sasa hivi tatizo lipo wapi? Tunataka tujue kwanza chanzo cha kupungua uzalishaji!
Huyu ni bonge la kilaza wa CCMUsiwe kilaza, elewa mada kwanza.