ndolelejiUduhe
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,837
- 3,027
Elimu kuchezewa ! Ni kweli kabisa !Na VETA ilivyoanzishwa ile idea ilitoka ujerumani..na VETA Imesaidia sana
Wataalam wetu wengi tz hawana technical skills kabisa
Injinia mzima hawezi hata ku operate forklift nk
Ila mbona mainjinia enzi za mwalimu waliyosomo moshitec nk
Walikuwa vzr sana ila hawa wa sasa sjui ni elimu kuchezewa au
Ova
Kuna watu wanajuta kusoma Bachelor Degree, wanaona kama walienda kupoteza muda tu...ni bora walipomaliza FM IV wangeingia VETAKwa nafasi aliyonayo waziri mkuu hakupaswa kutoa kauli kama hii.
Kauli hii inaonyesha picha kubwa kuwa;
1. Serikali ya CCM imeishiwa kabisa pumzi kuhusu kutatua tatizo la ajira kwa wasomi waliozagaa mitaani na vyeti.
2. Elimu ya chuo kikuu kwa sasa kwa sehemu kubwa haina maana yoyote kuweza kumkomboa kijana kiuchumi na kijamii.
3. Kijana wa kitanzania anayepambana kusoma mpaka kuhitimu chuo kikuu basi anapoteza tu muda, nguvu, akili na rasimali, maana elimu hiyo haina maarifa ya kuweza kumkomboa kimaisha.
Hivi (super black dyes) PIKO nazo zinatengenezwa VETA?Habari!
Elimu ya VETA tunaweza kuiita elimu ya kati. Wakufuzi wake ni wahitimu wa elimu za juu. Wapo pia wakufuzi wenye elimu ya kati, nawafahamu.
Bahati mbaya kauli ya Majaliwa haijawataja hao wenye degree anataka waenda VETA ni degree za fani gani, na je, nini hatma ya elimu yao ya degree.
Huko VETA wakasome kozi za mda gani? Kwa lengo gani? Nani atagharamia ada na mahitaji mengine na nini hatma ya elimu yao ya VETA ikiwa hatma ya degree zao haijapatikana?
Mh. Samia usiogope gharama ya kuvunja bunge kwa kumtimua huyo Mh. Majaliwa.
Majaliwa ni jirani yangu huko Lindi ila kwenye mambo ya kitaifa Mimi sina jirani. Timua kabisa ili kuwepo na funzo kwa viongozi wengine waache kuongea kwa misisimko.
NJE YA MADA
Kama kuna mtoto wa Kiongozi mteule wa Rais anasoma VETA mje mnipige ngumi 4 za puani niko hapa TAZARA Dar es salaam nawasubiri.
Achana na watoto wa vichochoroni, nazungumzia mtoto aliyekulia nyumba za bure za viongozi.
Waziri Mkuu ni mjinga sanaHabari!

Ukimaliza degree unajisajili PSRS hapo huwezi tena kuajirika kwa astashahada au stashahada labda kwa mchina ukalipwe laki mbili na nusu.Mbona ni kauli yenye kujenga, sema watu kutaka makubwa, na ni kwakuwa hiki ni kipindi cha uchaguzi basi kila kauli itajadiliwa... Simple kama unaoana umesoma na bado degree haijaweza kukutoa ulipo...
Piga kozi za veta kuna mawili aidha ujiajiri ama uajiriwe kwa level ya chini... Sababu huku level ya chini possibility ya kupata ajira ni kubwa kuliko level ya juu
We unahisi ukisoma kozi ya ufundi umeme, huwezi pata hata kazi ya kupiga wiring kwenye majengo?
au kozi ya kuchomelea, huwezi pata fursa ya kutengeneza mageti?
Ajira si serikalini pekee ama taasisi za kiserikali, kuna ajira nje ya serikali na taasisi zake,Ukimaliza degree unajisajili PSRS hapo huwezi tena kuajirika kwa astashahada au stashahada labda kwa mchina ukalipwe laki mbili na nusu.
Mfumo wa PSRS hauwezi kumuajiri mtu kwa low entry level huku profile yake iko juu. Au wewe utakubali ukimaliza elimu ya degree ya miaka 3 au 4 usijisajili PSRS badala yake usubiri umalize kozi ya miaka 2 au 3 ya VETA ndipo ujisajili kwa level ya chini?
Yaani umalize degree na uisahau kabisa
Toka magetoni ,acha akili mgando . Mimi ni CPA, mwajiriwa wa serikali ,pia nimejiajiri(consultant )lakini ni mtaalamu wa rangi na napenda rangi kuliko uhasibu na nilisoma veta.Nakumbuka mmoja ya walimu wangu BUSARA aliniambia unachokifanya nje ya mshahara ndio utajiri ,veta imenisaidia .Habari!
Elimu ya VETA tunaweza kuiita elimu ya kati. Wakufuzi wake ni wahitimu wa elimu za juu. Wapo pia wakufuzi wenye elimu ya kati, nawafahamu.
Bahati mbaya kauli ya Majaliwa haijawataja hao wenye degree anataka waenda VETA ni degree za fani gani, na je, nini hatma ya elimu yao ya degree.
Huko VETA wakasome kozi za mda gani? Kwa lengo gani? Nani atagharamia ada na mahitaji mengine na nini hatma ya elimu yao ya VETA ikiwa hatma ya degree zao haijapatikana?
Mh. Samia usiogope gharama ya kuvunja bunge kwa kumtimua huyo Mh. Majaliwa.
Majaliwa ni jirani yangu huko Lindi ila kwenye mambo ya kitaifa Mimi sina jirani. Timua kabisa ili kuwepo na funzo kwa viongozi wengine waache kuongea kwa misisimko.
NJE YA MADA
Kama kuna mtoto wa Kiongozi mteule wa Rais anasoma VETA mje mnipige ngumi 4 za puani niko hapa TAZARA Dar es salaam nawasubiri.
Achana na watoto wa vichochoroni, nazungumzia mtoto aliyekulia nyumba za bure za viongozi.
Kwenye hili namuunga mkono PM. Hata mimi na masters zangu 2 natamani kwenda VETA ila muda tu ndio unabana
Wewe ni samia suluhu, acha ubazazi wako.Toka magetoni ,acha akili mgando . Mimi ni CPA, mwajiriwa wa serikali ,pia nimejiajiri(consultant )lakini ni mtaalamu wa rangi na napenda rangi kuliko uhasibu na nilisoma veta.Nakumbuka mmoja ya walimu wangu BUSARA aliniambia unachokifanya nje ya mshahara ndio utajiri ,veta imenisaidia .