Huyo Waziri Mkuu mbona yeye hakwenda kusoma VETA mara baada ya kumaliza certificate yake ya ualimu?
 
Uandishi umetulia sana nipo zangu Namburukutwa hapa mlimani naelekea chimbila B ila itabidi nipite Nandagala sokoni kuona hali ipoje nirudi mpilipili kuangalia vitunguu.
 
Kuna nguvu 2 tu zinainua Mtu kimaisha.

Kuinuliwa huko kunaweza kumfanya mtu husika asahau alipotoka.

Hizi nguvu 2 ni
1. Nguvu ya MUNGU
2. Nguvu ya IBILISI

Mara nyingi NGUVU YA IBILISI iliyomuinua Mtu kimaisha huwa Ina tabia na mazoea ya kumfanya Mtu asahau alipotoka mpaka alipo.

Ni mara chache sana kukuta Mtu aliyeinuliwa na nguvu ya Mungu kutema nyongo kama hizo😊😊
 
Nacho appreciate kutoka Kwako ni kua Kuna muda pamoja ya kua kada wa ccm Ila Mara nyingi kwenye ukweli HUWAGA UNASIMAMA NAO.
 
Wewe umeenda veta? Na hicho cheti chako cha diploma kinakusaidia nini?. Nongwa la kutokusoma

1. Wacha kubunia bunia vitu

2. Ukweli ndiyo huu diploma na veta kwa sasa ndiyo wana demand kubwa kuliko supply na hii ni kwa kozi za uhandisi afya e.t.c

3. Mbona una makasiriko sana ndugu? Kwani ulisomea kozi gani?
 
Acha upuzi m.fuvck wewe.... Wewe unaweza ukaharibu miaka yako 9 kutafuta degree afu ukaja kwenda kusoma veta inayohitaji darasa la 7?. Punguzeni ujinga kumamayo zako

Miaka tisa degree ni kozi gani hiyo? Hata ma MD sidhani kama wanafika huko aisee Uli disco? Au?
 
Nacho appreciate kutoka Kwako ni kua Kuna muda pamoja ya kua kada wa ccm Ila Mara nyingi kwenye ukweli HUWAGA UNASIMAMA NAO.
Ukada wa CCM ni jambo la kupita ila utanzania utadumu hadi siku ya kifo. Viongozi aina ya Majaliwa hawafai kwa nyakati hizi. Alichokiongea ni dharau kubwa kwa vijana wa nchi hii. PM ambaye hajawahi kuishauri serikali isitumie pesa kununua LC300 huku kukiwa na rundo la V8 VXR hana uhalali wa kuropokea vijana.
 
Miaka tisa degree ni kozi gani hiyo? Hata ma MD sidhani kama wanafika huko aisee Uli disco? Au?
Umeelewa kilichoongelewa au umeamua kutapika uchoko?. Form 4+2+3 ni mingapi? Au kuna wanaotoka darasa la saba mpk chuo kikuu?. Kama umeshindwa kujiongeza kwa vitu vidogo hivi!!
 
1. Wacha kubunia bunia vitu

2. Ukweli ndiyo huu diploma na veta kwa sasa ndiyo wana demand kubwa kuliko supply na hii ni kwa kozi za uhandisi afya e.t.c

3. Mbona una makasiriko sana ndugu? Kwani ulisomea kozi gani?
Demand yao kubwa ni ipi?.
 
Ulichoandika mfano wake kwenu muwe hamna uwezo hata wa kupata mlo alafu unasema hautafanya kazi ya kubeba tofali hadi uone mtoto wa Waziri mkuu na Rais na wao wanabeba matofali ndo wewe utabeba.

Sasa unamkomoa nani?
niambie wahtimu wote wa veta kila mwaka wamejiajiri au siyo? Unadhan kujiajili bila pesa inawezekana kirahisi tu si lazma wote tubebe zege, punguza ujinga wavifute vyuo vikuu waspotezee watu muda elimu iwe mwsho form 4 tuende veta wote.
 
Haya Endelea kukaa kwa shemeji yako
 
Bahati nzuri Nina garage, natumai utakuwa funding bora wa magari.
Karibu garage mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…