Majaliwa ametoa ushauri tu. Lakini sio vibaya mtu mwenye degree kwenda veta akapate ujuzi,
Just imagine mtu kasomea udaktari bingwa let's say wa moyo for five good years, then paa... from nowhere umwambie nenda tena veta kasomee ufundi welding....πŸ€”πŸ€” does it make sense?. Kwa mfano mimi ningemwelewa pm endapo pm angepeleka hoja bungeni kufanyiwe reform kwenye eneo la elimu kwamba mtoto akimaliza secondary au advanced sec aende moja kwa moja kwenye vyuo anuwai/ veta apate ujuzi wa ufundi kabla ya kujiunga na elimu ya juu.. ili endapo hata akimaliza degree halafu mambo ya ajira yakaleta mapichapicha huko baadaye, anakuwa na backup au plan B kwakuwa tayari ana ujuzi alioupata veta.
 
Watoto wao pia wanaenda VETA? Ama wao wanapata kazi TRA, BoT, usalama wa Taifa, bungeni nk?
 
Watoto wao pia wanaenda VETA? Ama wao wanapata kazi TRA, BoT, usalama wa Taifa, bungeni nk?
VETA ni kwa manufaa ya wote gentleman bila kujali ni mtoto wa nani.
Infact watoto wa viongozi wengi wa kitaifa wamo mule wakijifunza fani na ujuzi mbalimbali ikiwa ni pamoja na udereva πŸ’
 
AMEWAAMBIA UKWELI, ILA NDIO HIVYO UNAUMA SANA, LENGO LAKE HAPO ANAWAASA VIJANA WENYE DEGREE MNAOSUBIRI AJIRA KASOMEENI UFUNDI VETA MJIAJIRI
 
VETA ni kwa manufaa ya wote gentleman bila kujali ni mtoto wa nani.
Infact watoto wa viongozi wengi wa kitaifa wamo mule wakijifunza fani na ujuzi mbalimbali ikiwa ni pamoja na udereva πŸ’
Nitumie picha ya mtoto wa Majaliwa akiwa kwenye darasa la VETA akijifunza ujuzi.
 
πŸ€”πŸ€”πŸ€”
 
Nitumie picha ya mtoto wa Majaliwa akiwa kwenye darasa la VETA akijifunza ujuzi.
hiyo haina maana hata kidogo gentleman,

na nimeeleza kinagaubaga kwamba wapo watoto wa viongozi mbalimbali waandamizi wanasoma ujuzi na fani mbalimbali veta ikiwa ni pamoja na udereva.

Zingatia hilo, hilo la picha nadhani ni kinyume na sheria πŸ’
 
Hahaha 🀣 πŸ˜‚ acha hivyo mkuu, nimekuelewa ila nakuchokonoa ili uendelee kunimwagia historical events, unaonekana kichwa Sana kwenye history.
Ushahama mada, hupati tena point. Mimi mtu akitoka kwenye mada za kuelekezana huwa namtupa, nishakutupa.
 

Nitumie picha ya mtoto wa Majaliwa akiwa kwenye darasa la VETA akijifunza ujuzi.
Mwamba kafight kumtengenezea future mtoto wake, angekaa goigoi na yeye angekuwa analia lia humu mtandaoni. Kutoboa ni process kama hukuvikuta kwenu vya urithi.
 
Wabongo mkiacha kukalili maisha mtatoboa. Doktari unapigwa doro kweli! Tokeni huko mjini mlipojazana bila kazi yeyote huku vijijini watu wanatafuta huduma za afya kwa gharama yeyote.
 
Labla alimaanisha elimu ya chuo ni nadharia kuliko ya veta ambayo ni ya vitendo.

Anyway, naomba kujua chuo cha veto kinachotoa msosi 😭
 
Id ipo hi miaka 13 sasa jf. Vizuri unikariri chance ndoto. Upate madini. Na uje na mada nzuri na si copy and paste uje na akili timamu basi utaenjoy convo yetu.
Pamoja Sana mkuu.
Nayapenda sana madini yaliyonona.
 
K
Kwa hiyo tunakubaliana kuwa elimu ya juu kabisa hapa Tanzania ni elimu ya VETA.

Hata maprofesa waende VETA wakajifunze kushona kwa cherehani..πŸ˜‚πŸ˜‚
akina Mkapa na wenzie aliokuwa nao kwa Government Enzi zake Wasinge yabinafsisha yale maviwanda na mashirika mbali mbali aliyokuwa ameyaacha Mwalimu leo shida hizi za kazi kwa magraduates zisingekuwepo ! 😳 !

Wakajidanganya kuingia kwenye Utandawazi kitu ambacho mimi nilikuwa nikikiita tangu Enzi zile kuwa huo ni UTANDAWIZI TU !

Watu wenye kufanya maamuzi wakaingia kwenye mfumo kila kitu kikavurugwa !

Baadaye eti mtu anaandika kitabu na Eti kujutia kile alichokifanya ! 😳
Na inakuwa basi yameisha πŸ˜³πŸ˜³πŸ˜³πŸ™„πŸ™„πŸ™„ !
 
Majaliwa na akili zake ndogo eti wanampa uwaziri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…