baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Wewe ndio unaeleta blah blah kwa solution ambayo ipo proved nchi kibao include hapa kwetu. Ipinge hoja yake toa wewe solution yako.Acha kuleta blah blah nyingi za kijinga katika suala serious hili linalolikumba taifa kwa sasa kuhusu huu ukosefu wa ajira kwa kuleta mifano ya kipuuzi kama njia ya kuondokana na shida hii.
Unaandika kirahisi rahisi tu
So kifupi huna, Asante kwa kutuonesha u genius wako, endelea kuongea na wenzio.Mzee ujue unaongea ujinga aisee huwezi kuniambia chochote cha maana kuhusu huo upuuzi wa VETA sijui unafikiri unaongea na mjinga mwenzio asiye fahamu.
Unaweza ukaandika alternatives nyingine bora hapa lakini si hizi blah blah unazoleta hapa
Kiufupi unaandika upumbavu sijui nani kakukaririsha maujinga haya huu ujinga unaoutetea hapa naufahamu vizuri, unacholeta hapa ni uupuzi hauna utofauti na ule wa kabudi na Magufuli kuhusu mikataba ya madini na malipo kwa Watanzania.So kifupi huna, Asante kwa kutuonesha u genius wako, endelea kuongea na wenzio.
Mzee ujue unaongea ujinga aisee huwezi kuniambia chochote cha maana kuhusu huo upuuzi wa VETA sijui unafikiri unaongea na mjinga mwenzio asiye fahamu.
Unaweza ukaandika alternatives nyingine bora hapa lakini si hizi blah blah unazoleta hapa
Mimi sijasoma VETA ila pia Digrii yangu ipo kwenye droo tu, nimefanya kazi kampuni kibao maslahi duni, nimekuja toboa kwenye biashara yenye Ujuzi kama VETA.Watu wanamdharau kazi za mikono (veta) lakini Infact mimi nina degree na Nina cheti. Cha, veta ufundi. Wa wiring ya umeme wa magari sijawah lala njaa Ata siku all basic needs I can acquire🙏heshimu VETA mkuu
UmenenaKwa kauli hii napendekeza vyuo vikuu vifungwe ,maana uwezo wa kuwahudumia wahitimu wa vyuo vikuu tumeshindwa .
Why usianzishwe mfuko maalum wa wahitimu kwamba wakopeshwe mitaji badala yake tunataka waende vita, hivi nchi hii inashindwa kweli kumpa kila mhitim m20 baada ya kuwakilisha proposal yake kama hajapata ajira ili kujiajiri kweli kama mkopo ? ili pale apatapo ajira anaanza kukatwa kidogodogo kama ilivyo mkopo wa elim ya juu?
kauli ya Waziri mkuu wenda alikua na nia flani nzuri ila hakufikiria kwa mapana yake.
Tz hili linawezekanika ,chukulia tuna mv8 mangapi na kama moja ni m400 na kuendelea hapo unakua umetoa mkopo kwa watu wangapi?
waziri mkuu nataka kuonana na wewe nikueleze jambo muhim juu ya vijana hawa so nipe utaratibu wa kukuona ,hope upo humu naomba unijibu
Kwanini Huwa majina yanakatwa ya opposition?? hilo ndo jibuKwan tokea lini kura ya mtanzania ikawa na nguvu ya kuchagua kwenye uchaguzi mkuu!
Shukrani sana,jibu Zuri nimelipendaNawaza tu msomi mwenye degree au masters anaingia Veta kusomea ufundi baiskeli au ufundi carpenter ajifunze kuchonga majeneza huku anakutana na sisi tuliofeli darasa la nne miaka hiyo tukaingia mtaani kupiga dili za wizi wa mafuta ya transformer na ukabaji kisha tukastaafu na kujifunza ufundi mtaani halafu tukaanza kupiga hela halafu msomi wa chuo anakuja kusoma veta kisha aje mtaani tumfundishe mbinu za kupiga hela kwenye ufundi😂😂😂hii nchi ngumu sana
Asante nashukuru mimi nimekubali ni mpumbafu wewe mwerevu, mkuu sijawahi Kuiomba hiyo serikali ata mia, na wala siombi kwa mtuUpumbavu tu kwa hiyo kama hulali njaa inasaidia nini sasa taifa ?
Hata fundi viatu hawalali njaa.
Udumavu wa akili, unachekelea ujinga wako na wa viongozi wako kwa kukosa akili ya kujua nini cha lifaa taifa hili liweze kuendelea na kuachana na hizi kasumba za kipuuzi.
Mimi sijasoma VETA ila pia Digrii yangu ipo kwenye droo tu, nimefanya kazi kampuni kibao maslahi duni, nimekuja toboa kwenye biashara yenye Ujuzi kama VETA.
Ndio kwani Kila mtu atafanya ubunifu na ugunduzi wakeKwamba wahitimu wote wawe mafundi mbona veta Kuna kundi kubwa la wahitimu! Kwamba only solution ni kwend veta au kufungua biashara
Mbona wewe huo ufundi hufanyi kazi kulamba matako tu ya wanasiasa wa CCM humu jinga hiliNdio kwani Kila mtu atafanya ubunifu na ugunduzi wake
Kama huyu PM anajua kuwa elimu ya VETA inamwezesha mtu wa degree kujiajiri...kwa nini basi wasibadili vyuo vikuu viwe vyuo vya VETA ila kuongeza wigo wa upatikanaji wa hiyo elimu?Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.
"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA ile sio tu ya kijana wa darasa la 7 hata wewe uliyemaliza Degree uwe mtaalamu wa Kompyuta nenda kajifunze kushona nguo, uwe fundi cherehani, nenda kajifunze ufundi umeme uwe fundi umeme kwahiyo hata mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kwenda kusoma VETA kwasababu pale unasemea ufundi"
View: https://www.instagram.com/p/DHG-kpjI_Zn/?igsh=MWJvaWRleXJvYXlwMg==
My Take
Broilers wamepewa mchongo wajiogeze.👇👇
View: https://www.instagram.com/reel/DHGhX9RTupe/?igsh=aTQya2k2ZmozMnh4
Vyuo Vikuu vinahitaji watu wachacheKama huyu PM anajua kuwa elimu ya VETA inamwezesha mtu wa degree kujiajiri...kwa nini basi wasibadili vyuo vikuu viwe vyuo vya VETA ila kuongeza wigo wa upatikanaji wa hiyo elimu?