ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #121
Unaonaje na wewe uwe unalamba badala ya kulalamika kama kifalanga bila faida?Mbona wewe huo ufundi hufanyi kazi kulamba matako tu ya wanasiasa wa CCM humu jinga hili
Kwa nini bado wanatoa hela kujenga vipya?Vyuo Vikuu vinahitaji watu wachache
Utachosha mikono yako kujibishana na huyo anatafuta mtu wa kumpumzikiaUnaonaje na wewe uwe unalamba badala ya kulalamika kama kifalanga bila faida?
Endelea kulamba matako yao ila punguza kutema shit humu ujinga ujinga tu unaandika humu wa CCMUnaonaje na wewe uwe unalamba badala ya kulalamika kama kifalanga bila faida?
Bila kulamba nitakosa hizo shit za Kuandika so wewe broiler endelea kulalamikaEndelea kulamba matako yao ila punguza kutema shit humu ujinga ujinga tu unaandika humu wa CCM
Mitaala nako inabadilishwa kuwa competence basedKwa nini bado wanatoa hela kujenga vipya?
Ni kweli ujuzi na ubunifu ndo kila kituWaziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akizungunza na wakazi wa Igunga, Tabora.
"Tumeendelea kuimarisha sekta ya elimu, Muheshimiwa mbunge ulisema unahitaji VETA tumeleta VETA, hizi VETA tumezijenga ili wewe ukasomee ufundi utusaide katika shughuli za ujasiriamali VETA ile sio tu ya kijana wa darasa la 7 hata wewe uliyemaliza Degree uwe mtaalamu wa Kompyuta nenda kajifunze kushona nguo, uwe fundi cherehani, nenda kajifunze ufundi umeme uwe fundi umeme kwahiyo hata mwanafunzi wa chuo kikuu anaweza kwenda kusoma VETA kwasababu pale unasemea ufundi"
View: https://www.instagram.com/p/DHG-kpjI_Zn/?igsh=MWJvaWRleXJvYXlwMg==
My Take
Broilers wamepewa mchongo wajiogeze.ππ
View: https://www.instagram.com/p/DHG_Fqpgt68/?igsh=MW93ajllc28zeTZ3Nw==
Kama hamtaki endeleeni kuzunguka na bahasha tena ikibidi mkapate faraja Ufipa Kwa kibaraka wa Wazungu atawapa kazi π€£π€£ππ
View: https://www.instagram.com/p/DHG_Fqpgt68/?igsh=MW93ajllc28zeTZ3Nw==
Mnakimbia ukweli kama wanawake π€£π€£
Mkuu kama upo na utaratibu wa kumuona Waziri mkuu nipe code in box,Umenena
Kama hamtaki endeleeni kuzunguka na bahasha tena ikibidi mkapate faraja Ufipa Kwa kibaraka wa Wazungu atawapa kazi π€£π€£ππ
View: https://www.instagram.com/p/DHG_Fqpgt68/?igsh=MW93ajllc28zeTZ3Nw==
Mnakimbia ukweli kama wanawake π€£π€£
Naona unajaribu kuzimua dilute ujumbe wa PM, pole sana, katika nazi TUI ni ile inayokamuliwa kwanza !π€π€π€£π€£Watu wanapenda kupindisha na kukuza vitu. PM amesema VETA ni kwa kila mtu sio darasa la saba tu, hata graduate anaweza kuja kupata ujuzi.
Hapo shida nini. Kwani wewe na degree yako napoenda kujifunza udereva VETA huwa unatafuta nini?
Mimi na degree zangu nikitaka kwenda kujifunza upishi ili nifungie mgahawa mkubwa, kuna shida gani?
Hapana, hili ni jina tu, sio home boy wangu, na wala simsagiii kunguni! Nime challenge statement yake kama mtanzania.ππππ€£π€£Unamsagia kunguni home boy wako wa Nandagala
Mkuu Sina channel, ndo maana nimetumia hili jukwaa kutuma ujumbe wangu,Mkuu kama upo na utaratibu wa kumuona Waziri mkuu nipe code in box,
Nitamwambia jambo la msingi na asipo nisikiliza nitaenda mshitaki ukweni Songea ,nakwambia uzuri napajua karibu na ofisi za Halmashauri fulani hivi mkabala na Peramio
Mkuu aksante sana kwa jibu lako Mujarabu kuhusu Uzi wangu.Nina mashaka na taaluma ya mtoa mada! sauti yako inaashiria wazi unasukumwa na hisia za uchonganishi. Ikiwa una kili wazi kwamba ameshusha hadhi ya wasomi hiki ulichoandika kama utetezi ndicho ulichobeba kichwani au ndicho ulichoshibishwa?
Kuna haja kubwa kwa wenye uwezo wa kuchambua mambo watoe elimu nini tofaut ya elimu na Maarifa!
Kwa uwezo wangu mdogo nimegundua ipo haja tujifunze kuchambua maoni ya watu yanayotumwa kwa nyinyi wasomi.
Nimependezwa Sana kwa jinsi unavyoo onyesha jamii wewe ni mtu wa Aina gani na mwenye upeo wa Aina gani. Sijadharau wala kupinga Hoja yako, wasomi wanatetewa watumie elimu zao kupambana na Maarifa mengine wewe umegeuza Hoja kisiasa yenye lengo uchonganishi. Jitafakali Meza mate ya akili.
Naunga mkono hoja
Mkuu umeua bend π€£π€£π€£ππSamia naye aende akasome huko huko na kuachana shahada za dezo na sifa za kijiiiinga.
Nilisema hivi miaka 5 nyuma.....Engineer Noel Ngowi asems mfumo umeamua kuwadharau watu wa FTC vyuo vya ufundi (full technician Certificate) na pia wale wa VETA, wakati kufanya hivyo ni makosa makubwa sana.... Degree ikiongezwa baadaye na FTC au VETA basi humfanya mhitimu wa degree kuwa na ufahamu mpana zaidi kwa kuongeza vitendo na ujuzi wa kiufundi juu ya nadharia ya kisayansi aliyohitimu katika digrii