Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

Watu watatu wamekunja mikono😅😅chezea kufika nyumbani kwa tajiri weye🏃jk ana nyumba USA sijajua nchi nyingine ulaya,urahisi mtamu bana
 


Mkuu, Hivi umekusudia kutuonyesha birthday party ya Uweso au umekusudia kutujulisha kwamba JK anayo nyumba New york au kuna kitu kingine kimejificha katika hizo picha ndicho msingi wa hii mada yako!??, kwasababu Birthday party sio jambo la ajabu sana wala sio ajabu kwa mtu kama JK kwa hadhi yake kuwa na nyumba Ulaya na hata sehemu yoyote ya dunia.
 
Furaha ni kufurahi na marafiki ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…