Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 2,254
- 5,161
Nakuambia huo utaratibu ni mbovu mbaya. Wewe unanihakikishia kuwa hakuna utaratibu wa kuwaona kabisa. Mimi nimekwambia ingetokea wamefanya huo ujinga haraka ninge mwondoa mtoto. Ni haki yangu kumwona mtoto. Ikiwa hata wafungwa huwa wanaonwa itakuwa watoto walio shule. Nyie muanze kutumia akili hata za kuazima.hakuna utaratibu kuwaona kabisa sijui kama unaelewa