KERO Waziri wa Elimu, tunaomba msaada wako. Shule binafsi bweni hawataki tuone watoto

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Itengwe jumamosi na jumapili ya mwisho wa mwezi kama visiting day (hii iwe lazima kwa shule zote za bweni).
Waziri/serikali ione hili jambo kwenye yale mafaili ambayo hawalali wanayasoma/bukua.
cc;Profesa Adolph Mkenda kwa ukamilishaji zoezi.
 
Itaneni wazazi wote kaeni na uongozi wa shule mpeane maelekezo namna bora ya malezi ya watoto wenu. Hii nchi watu kama kondoo tu. Nyerere alituharibu sijui.
Hawana uthubutu huo, nani ataanzisha? watapingana wao kwa wao
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Waziri aingilie kati vipi wakati umeshasema ni shule binafsi? Kila shule ina utaratibu wake,
Hata JF ni platform ambayo ina private ownership, lakini kuna mamlaka ya serikali inayoiangalia mwenendo wake, kama vile TCRA
 
Salaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda.

Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama Samia.
Wazazi tuna malalamiko hasa kwa shule binafsi za bweni shulw msingi na sekondari....kwa nini hawataki na wamefuta utaratibu kutembelea watoto mwisho mwezi ? Kwa kitu gani wanachosoma iwe hakuna ruhusa kuona watoto kujua afya zao na maendeleo yao ?

Naomba Mh Waziri ingilia kati suala hili tumeongea na shule binafsi bila mafanikio naona kila shule wanajiamulia tu...ni haki ya wazazi kuwaona watoto wao mwisho mwezi hata masaa machache.

Asante nakutakia kazi njema
MZAZI
Mkuu hizo shule hazina vikao vya wazazi?? Hizo shule hazina fomu za terms of condition?? Kama fomu haisemi kuhusu kumuona mtoto basi hiyo shule haifai kumpeleka mtoto.

Hakuna mzazi chizi ambae anaweza kukaa miezi 3 au 4 asimwone mtoto wake?? Labda kwa mzazi ambae yupo mbali ila mzazi ambae yupo karibu sioni sababu ya kumzuia kumuona mtoto wake maana hiyo ndo furaha yake kuu.
 
Waziri aingilie kati vipi wakati umeshasema ni shule binafsi? Kila shule ina utaratibu wake, unadhani wakiruhusu hivyo kila mzazi kumtembelea mtoto wake anavyo jisikia kutakuwa na shule tena hapo? Na vipi kuhusu yule mtoto ambaye hato tembelewa huoni kwamba atakuwa anajisikia unyonge? Kama kuna tatizo hasa wasiliana na uongozi watakujuza maendeleo ya mtoto wako, ila ukiona umeshindwa huo utaratibu unaweza kumhamisha mtoto wako bila kusumbua watu wengine.
We lijinga sana..kwani hao watoto ni wafungwa?
 
Salaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda.

Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama Samia.
Wazazi tuna malalamiko hasa kwa shule binafsi za bweni shulw msingi na sekondari....kwa nini hawataki na wamefuta utaratibu kutembelea watoto mwisho mwezi ? Kwa kitu gani wanachosoma iwe hakuna ruhusa kuona watoto kujua afya zao na maendeleo yao ?

Naomba Mh Waziri ingilia kati suala hili tumeongea na shule binafsi bila mafanikio naona kila shule wanajiamulia tu...ni haki ya wazazi kuwaona watoto wao mwisho mwezi hata masaa machache.

Asante nakutakia kazi njema
MZAZI
Mbona shule Binafsi zingine wanaruhusu, kipi wanaficha hao 😊
 
Jenga shule ya kwako, chawa sio watu wazuri ,
 
Back
Top Bottom