Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Ok, inamaana wanaukubali huo utaratibu isipokuwa baadhi.Hawana uthubutu huo, nani ataanzisha? watapingana wao kwa wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok, inamaana wanaukubali huo utaratibu isipokuwa baadhi.Hawana uthubutu huo, nani ataanzisha? watapingana wao kwa wao
Kwa suala kama hilo upo sahihi wanakosea. Ila kwa suala la kumuaona mtoto tena wa sekondari kila mwezi bila sababu ya msingi halina mashiko......hadi tumefikia kusema hayo tumeona mengi sana...kuna mzazi mwenzetu nusura apoteze mtoto kisa ameugua wakampeleka dispensary jirani na shule wakamuacha anatibiwa hapo....siku 6 mtoto amekaa mwenyewe hospital bila wazazi kujua .....msg ikaja ya bill mtoto akiwa anapewa rufaa ....mzazi anastuka anaenda shule mtoto hayupo.....amepewa tena rufaa....kwa nini hawatoi taarifa ? Kosa kutowaona kabisa kama jela au wapi !!
Mazingira mabovo, vyakula vibovu na malazi mabovu ndivyo vinavyowapa hofu kuruhusu wazazi kuona watoto.Wanakataa watoto wasitembelewe kwa nini?Hata jeshini na jela wanatembelewa.Kuna jambo.
Kwanini mwanao asikae Day tu? Kwanini unapeleka mtoto bweni halafu unataka aishi kwa matakwa yako?Salaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda.
Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama Samia.
Wazazi tuna malalamiko hasa kwa shule binafsi za bweni shulw msingi na sekondari....kwa nini hawataki na wamefuta utaratibu kutembelea watoto mwisho mwezi ? Kwa kitu gani wanachosoma iwe hakuna ruhusa kuona watoto kujua afya zao na maendeleo yao ?
Naomba Mh Waziri ingilia kati suala hili tumeongea na shule binafsi bila mafanikio naona kila shule wanajiamulia tu, ni haki ya wazazi kuwaona watoto wao mwisho mwezi hata masaa machache.
Asante nakutakia kazi njema
MZAZI
Mmeshikiwa panga shingoni kwamba lazima wasome hapo?Wazazi watatoa watoto wangapi ? Tunaomba Waziri atoe tamko iwe kwa shule zote warudishe utaratibu ule kuwatembelea....hizo biashara zao ni wao..
Wanaficha msione mazingira mabovu tofauti na ada kubwa mnazotoaSalaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda.
Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama Samia.
Wazazi tuna malalamiko hasa kwa shule binafsi za bweni shulw msingi na sekondari....kwa nini hawataki na wamefuta utaratibu kutembelea watoto mwisho mwezi ? Kwa kitu gani wanachosoma iwe hakuna ruhusa kuona watoto kujua afya zao na maendeleo yao ?
Naomba Mh Waziri ingilia kati suala hili tumeongea na shule binafsi bila mafanikio naona kila shule wanajiamulia tu, ni haki ya wazazi kuwaona watoto wao mwisho mwezi hata masaa machache.
Asante nakutakia kazi njema
MZAZI
Ina lukwale😄Wangesema mzazi wa Mwimbe ni mgaya haa!😂😂😂😂
Mie nimetoka Kinegembasi sio muda😄Mwenyee "moonda"!Nipo hapa Mbalamaziwa namuona anaelekea kwenyee suule!😂😂😂😂🙏
Au ampeleke shule za kutwa (day school) awe analala hapo nyumbani ili amuone kila siku.Mhamishe mtoto mpeleke shule za kumuona kila mwezi
Kama wameboresha elimu, kwa nini ulimpeleka mtoto wako shule binafsi?nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama Samia.
Duh! WaTz bhana! Yan tatizo la mzazi mmoja au la shule moja, tena binafsi; Linamtaka mhashimiwa Waziri wa Elimu aingilie kati kupata suluhisho. Mbona tuko wepesi sana kukuza mambo? Kwani hapo mlipo hakuna Afisa Elimu Mkoa, Wilaya au Mratibu wa Elimu Kata?? Tatizo kidogo tena lililo chini ya uwezo wako mwenyewe Eti unamtaka waziri aingile kati kana kwamba hana majukumu mengine tena ya Kitaifa.Hii ndiyo mada Bora ya mwezi huu....waziri wa elimu angalia hapa najua ukikaa na jopo lako utakuja na suluhisho na watanzania tutakukumbuka kizazi Hadi kizazi
Issue toa mtoto wako,Wakiweka masaa 3 kumuona mara moja mwezi inatosha sana hasa afya akili watoto hasa wa kike....
Kwamba watoto wote au wazazi wote wanaabudu siku zote mbili? Ambae hawezi kufika jumamosi afike jumapili au kinyume chake.Jumamosi na jumapili ni siku ya watu kusali sio kuzurura visiting day kwa watoto
Nakazia hoja.Issue toa mtoto wako,
Wabongo mna shida, unajua kabisa shule ina shida, unapeleka mtoto wako halafu unataka ubadili utamaduni wao,
Kama unataka kumuona daily mpeleke kayumba
Sawa mkuu nimekuelewaDuh! WaTz bhana! Yan tatizo la mzazi mmoja au la shule moja, tena binafsi; Linamtaka mhashimiwa Waziri wa Elimu aingilie kati kupata suluhisho. Mbona tuko wepesi sana kukuza mambo? Kwani hapo mlipo hakuna Afisa Elimu Mkoa, Wilaya au Mratibu wa Elimu Kata?? Tatizo kidogo tena lililo chini ya uwezo wako mwenyewe Eti unamtaka waziri aingile kati kana kwamba hana majukumu mengine tena ya Kitaifa.
Halafu inafaa ukumbuke ; Mtoto ni wa kwako mwenyewe. Ukiona kuna kutokukubaliwa au ukiona huridhiki na majibu unayopewa na Mkuu wa shule; au kuna longolongo nyingi mbona ni very simple tuu?. Umtake Mkuu wa shule akukabidhi mwanao halafu chap' Ondoka na mtoto wako umpeleke huko ambako wanaruhusu watu kuingia na kutoka shuleni mithili ya nyuki kwenye mzinga wa nyuki.
.....hadi tumefikia kusema hayo tumeona mengi sana...kuna mzazi mwenzetu nusura apoteze mtoto kisa ameugua wakampeleka dispensary jirani na shule wakamuacha anatibiwa hapo....siku 6 mtoto amekaa mwenyewe hospital bila wazazi kujua .....msg ikaja ya bill mtoto akiwa anapewa rufaa ....mzazi anastuka anaenda shule mtoto hayupo.....amepewa tena rufaa....kwa nini hawatoi taarifa ? Kosa kutowaona kabisa kama jela au wapi !!
Mpeleke mtoto wako shule za serikali zipo nyingi sana na zinatoa elimu bora tu.Salaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda.
Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama Samia.
Wazazi tuna malalamiko hasa kwa shule binafsi za bweni shulw msingi na sekondari....kwa nini hawataki na wamefuta utaratibu kutembelea watoto mwisho mwezi ? Kwa kitu gani wanachosoma iwe hakuna ruhusa kuona watoto kujua afya zao na maendeleo yao ?
Naomba Mh Waziri ingilia kati suala hili tumeongea na shule binafsi bila mafanikio naona kila shule wanajiamulia tu, ni haki ya wazazi kuwaona watoto wao mwisho mwezi hata masaa machache.
Asante nakutakia kazi njema
MZAZI
Utakuwa umechukua na maharage mazuri yale.Hongo belaga!😎🙏Mie nimetoka Kinegembasi sio muda😄
Hii sio tatizo la shule 1 mkuuDuh! WaTz bhana! Yan tatizo la mzazi mmoja au la shule moja, tena binafsi; Linamtaka mhashimiwa Waziri wa Elimu aingilie kati kupata suluhisho. Mbona tuko wepesi sana kukuza mambo? Kwani hapo mlipo hakuna Afisa Elimu Mkoa, Wilaya au Mratibu wa Elimu Kata?? Tatizo kidogo tena lililo chini ya uwezo wako mwenyewe Eti unamtaka waziri aingile kati kana kwamba hana majukumu mengine tena ya Kitaifa.