KERO Waziri wa Elimu, tunaomba msaada wako. Shule binafsi bweni hawataki tuone watoto

KERO Waziri wa Elimu, tunaomba msaada wako. Shule binafsi bweni hawataki tuone watoto

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wazazi watatoa watoto wangapi ? Tunaomba Waziri atoe tamko iwe kwa shule zote warudishe utaratibu ule kuwatembelea....hizo biashara zao ni wao..
Shule za bweni za serikali huwa hawatembelewi mbona huulizi hilo?

Ubakomalia shule za private

Mtoe mwanao kamsomeshe nyumbani kwako au muhamishie shule ingine utakayoweza kumuona hata kila siku ukitaka
 
Shule za bweni za serikali huwa hawatembelewi mbona huulizi hilo?

Ubakomalia shule za private

Mtoe mwanao kamsomeshe nyumbani kwako au muhamishie shule ingine utakayoweza kumuona hata kila siku ukitaka
Una uhakika na ulichokiandika?
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Kabla hapo utaratibu ulikuwepo mzuri tu!!! Shule Govt bado wanao huu utaratibu
Na ndo maana hizo shule za govt. Zinaongoza kutoa masifuri. Mimi ninavyojua kila shule ina mipango yake utakuta mzazi unamtembelea mtoto umebeba mavyakula kibao mapipi na makorokoro mengine. Wengine mnawaingizia mpaka simu. Acheni watoto wafocus na shule....baada ya miezi mitatu utakutana naye tu.
 
Hii ndiyo mada Bora ya mwezi huu....waziri wa elimu angalia hapa najua ukikaa na jopo lako utakuja na suluhisho na watanzania tutakukumbuka kizazi Hadi kizazi
Waziri ajibu nini? Shule za bweni za serikali zote hakuna utaratibu wa wazazi kila mwezi kutembelea watoto

Acha kudeka wewe.na hilo toto lako
 
Na ndo maana hizo shule za govt. Zinaongoza kutoa masifuri. Mimi ninavyojua kila shule ina mipango yake utakuta mzazi unamtembelea mtoto umebeba mavyakula kibao mapipi na makorokoro mengine. Wengine mnawaingizia mpaka simu. Acheni watoto wafocus na shule....baada ya miezi mitatu utakutana naye tu.
Hatutaki kwenda na chakula....only visiting bila kuwapa chochote....huwa wanaharisha sana kubadili mavyakula na spices na mafuta.....ukikaa nae 3 hrs mnaongea anapata new energy vision na stable mental health.
.
 
Kama mtoto kichwani hazimo hazimo tu visiting haiwezi muongezea chochote zaidi ya kudeka tu

Tatizo la kuzaa mtoto mmoja hilo zaeni wengi.kuanzia watano kuendelea mbele hizo visiting hutakuwa hata na mpango nazo

Utaacha wasome uwaone.wakati wa likizo tu
 
Itaneni wazazi wote kaeni na uongozi wa shule mpeane maelekezo namna bora ya malezi ya watoto wenu. Hii nchi watu kama kondoo tu. Nyerere alituharibu sijui.
 
Utaratibu wa kutembelea watoto unawekwa kwa siku moja. Lets say jumamosi ya mwisho wa mwezi husika. Hakuna suala la kumtembelea mtoto kila mzazi anapojisikia. Pia kama watoto wengine hawatotembelewa si suala la jumuiya.

Ni suala binafsi. Mbona hujawaza kuwa hata ada iondolewe kwa kuwa kama kuna watoto ambao hawalipiwi ada kwa wakati je watajisikiaje wenzao wanapolipiwa kwa wakati? Upo kilaza sana hujui kujenga hoja. Nadhani hukuwa ukipendwa na wazaz wako walienda kukutupa boarding.

Mimi ngetembelea na siku ambayo wangekataa nisimwone mtoto ndo siku ambayo ngeondoka naye
Naunga mkono hoja ya kuondoka na mtoto, shule binafsi ni biashara huria na hupaswi kuniwekea masharti ya kipuuzi kwenye hela yangu..mahali flani Mimi niligomea shule walipolazimisha mtoto wa kike akate nywele...niliwaambia nahamisha mtoto wakawa wapole
 
SI KWERI MURA!
Shule ya Bweni ya serikali mfano iko Mzumbe Morogoro mtoto anakosoma kwao anakotokea Kagera huyo mzazi hiyo visiting ya kila mwezi toka kagera hadi Morogoro anaanzia wapi?

Shule za Bweni za serikali hazina huo utaratibu wa kila mwezi mzazi kuona mtoto haupo
 
Itengwe jumamosi na jumapili ya mwisho wa mwezi kama visiting day (hii iwe lazima kwa shule zote za bweni).
 
Naunga mkono hoja ya kuondoka na mtoto, shule binafsi ni biashara huria na hupaswi kuniwekea masharti ya kipuuzi kwenye hela yangu..mahali flani Mimi niligomea shule walipolazimisha mtoto wa kike akate nywele...niliwaambia nahamisha mtoto wakawa wapole
Shule ya wajinga hiyo na haina soko mimi ngekuambia toka nenda naye
 
Mmmh, mihemko mingi mnoo. Tafuteni pesa, shule kubwa zote visiting ni siku moja tu ndan ya nusu mhula. Ina maana, ndan ya miez mitatu visiting ni moja tu. Hakuna shule bora inayoshindwa kuwazingatia wanafunzi wake kwa utuo.

Badala ya kumpeleka mtoto shule yenye hadhi ya jela kisa boarding ya bei rahisi, mpeleke tu st Kayumba maisha yaendelee. Kujimwambafy kungine ni ujinga. Tafuteni pesa wenenu waende shule zinazojielewa.

Personally nilienda boarding darasa 4, visiting once in a mid term. Secondary visiting ipo mhula wa 1 n 2 tu. Kote familia ilitulia maana shule inajieleea. Mdogoangu kamalizia ahmes, hatujawai kuwa n hofu.

Tutafuteni pesa, ukiwa n pesa basi hata mwanao atakuwa n uhakika wa maisha bora. Kufosi kwingi huja na madha ya short n long term
 
Back
Top Bottom