Shule za bweni za serikali huwa hawatembelewi mbona huulizi hilo?Wazazi watatoa watoto wangapi ? Tunaomba Waziri atoe tamko iwe kwa shule zote warudishe utaratibu ule kuwatembelea....hizo biashara zao ni wao..
Una uhakika na ulichokiandika?Shule za bweni za serikali huwa hawatembelewi mbona huulizi hilo?
Ubakomalia shule za private
Mtoe mwanao kamsomeshe nyumbani kwako au muhamishie shule ingine utakayoweza kumuona hata kila siku ukitaka
Na ndo maana hizo shule za govt. Zinaongoza kutoa masifuri. Mimi ninavyojua kila shule ina mipango yake utakuta mzazi unamtembelea mtoto umebeba mavyakula kibao mapipi na makorokoro mengine. Wengine mnawaingizia mpaka simu. Acheni watoto wafocus na shule....baada ya miezi mitatu utakutana naye tu.Kabla hapo utaratibu ulikuwepo mzuri tu!!! Shule Govt bado wanao huu utaratibu
Waziri ajibu nini? Shule za bweni za serikali zote hakuna utaratibu wa wazazi kila mwezi kutembelea watotoHii ndiyo mada Bora ya mwezi huu....waziri wa elimu angalia hapa najua ukikaa na jopo lako utakuja na suluhisho na watanzania tutakukumbuka kizazi Hadi kizazi
Hatutaki kwenda na chakula....only visiting bila kuwapa chochote....huwa wanaharisha sana kubadili mavyakula na spices na mafuta.....ukikaa nae 3 hrs mnaongea anapata new energy vision na stable mental health.Na ndo maana hizo shule za govt. Zinaongoza kutoa masifuri. Mimi ninavyojua kila shule ina mipango yake utakuta mzazi unamtembelea mtoto umebeba mavyakula kibao mapipi na makorokoro mengine. Wengine mnawaingizia mpaka simu. Acheni watoto wafocus na shule....baada ya miezi mitatu utakutana naye tu.
Ndio shule za bweni za serikali hakuna huo utaratibu wa kila mwezi wazazi kuona watotoUna uhakika na ulichokiandika?
Ningeshangaaa sana kama comments zako zingekosekana hapaDawa ni kupeleka watoto wenu shule za Kayumba .
Acheni kujistress .
Acheni kuwa stress watoto wenu.
Haya Sasa twende Kazi. Kimbia haraka Sana nenda kachukue watoto wako warudishe Kayumba.
Utakuja kunishukuru mno
..."kila mwezi"..?Kwa hiyo wazazi hawawaoni/kuwatembelea watoto kabisa?Hebu taja hiyo shule tuwashtaki kwa "iserekale" mkuu.Ndio shule za bweni za serikali hakuna huo utaratibu wa kila mwezi wazazi kuona watoto
Kama mtoto kichwani hazimo hazimo tu visiting haiwezi muongezea chochote zaidi ya kudeka tuHatutaki kwenda na chakula....only visiting bila kuwapa chochote....huwa wanaharisha sana kubadili mavyakula na spices na mafuta.....ukikaa nae 3 hrs mnaongea anapata new energy vision na stable mental health.
.
Seee.. yaani walimu mna mentality hizo hizo hadi uraiani. Mbadilike mkue sasa. Ndo maana mnazuia tusiwaone watoto wetu sababu ninyi hamtembelewi so mnataka muwe ngoma draw....🤣Ngoja tukikutana ukiniamkia nakukata makofi.😂😂😂
Shule zote za serikali za bweni..."kila mwezi"..?Kwa hiyo wazazi hawawaoni/kuwatembelea watoto kabisa?Hebu taja hiyo shule tuwashtaki kwa "iserekale" mkuu.
Wewe ulienda kumtembelea Mwisho Mwampamba alipokuwa Big Brothers House?Seee.. yaani walimu mna mentality hizo hizo hadi uraiani. Mbadilike mkue sasa. Ndo maana mnazuia tusiwaone watoto wetu sababu ninyi hamtembelewi so mnataka muwe ngoma draw....🤣
SI KWERI MURA!Shule zote za serikali za bweni
Naunga mkono hoja ya kuondoka na mtoto, shule binafsi ni biashara huria na hupaswi kuniwekea masharti ya kipuuzi kwenye hela yangu..mahali flani Mimi niligomea shule walipolazimisha mtoto wa kike akate nywele...niliwaambia nahamisha mtoto wakawa wapoleUtaratibu wa kutembelea watoto unawekwa kwa siku moja. Lets say jumamosi ya mwisho wa mwezi husika. Hakuna suala la kumtembelea mtoto kila mzazi anapojisikia. Pia kama watoto wengine hawatotembelewa si suala la jumuiya.
Ni suala binafsi. Mbona hujawaza kuwa hata ada iondolewe kwa kuwa kama kuna watoto ambao hawalipiwi ada kwa wakati je watajisikiaje wenzao wanapolipiwa kwa wakati? Upo kilaza sana hujui kujenga hoja. Nadhani hukuwa ukipendwa na wazaz wako walienda kukutupa boarding.
Mimi ngetembelea na siku ambayo wangekataa nisimwone mtoto ndo siku ambayo ngeondoka naye
Shule ya Bweni ya serikali mfano iko Mzumbe Morogoro mtoto anakosoma kwao anakotokea Kagera huyo mzazi hiyo visiting ya kila mwezi toka kagera hadi Morogoro anaanzia wapi?SI KWERI MURA!
Shule ya wajinga hiyo na haina soko mimi ngekuambia toka nenda nayeNaunga mkono hoja ya kuondoka na mtoto, shule binafsi ni biashara huria na hupaswi kuniwekea masharti ya kipuuzi kwenye hela yangu..mahali flani Mimi niligomea shule walipolazimisha mtoto wa kike akate nywele...niliwaambia nahamisha mtoto wakawa wapole
Jumamosi na jumapili ni siku ya watu kusali sio kuzurura visiting day kwa watotoItengwe jumamosi na jumapili ya mwisho wa mwezi kama visiting day (hii iwe lazima kwa shule zote za bweni).