Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,497
- 3,823
Huu mjadala tulishaumaliza muda mrefu,ukiona zao lolote liko juu nenda na ww ukalime uje upige faida.
Na akiuza kwa bei ndogo na akanunua mahitaji kwa bei kubwa atapata faida gani?Akiuza kwa bei ghali halafu akanunua mahitajit kwa bei kubwa atapata faida Gani!!?
UNAFIKIRI uchumi wetu utakuaje kwa style Hiyo!!?
Maoni yako ni economic oriented au ni politically perspective!?
Kuna tofauti ya faida na mfumko wa bei banduguAcha wakulima nao wapate faida Mana mmewanyinya mda mrefu nyie watu wa mjini. Wakulima ndo wengi kuliko nyie watu wa mjini. Na Samia atapita kwa kishindo 2030 kura kutoka kwa Hawa wakulima. Pia ni strategy ya kuwavutia vijana wakalime siyo zamani unalima halafu hujui ukauze wapi.
Kuzuia kuuza mazao nje siyo kumsaidia mkulima? Mnafanya wakulima hawana akili hata kidogo!Hapo ndipo unapoambiwa unahitaji kutumia Akili zaidi ya Ushabiki ok mkulima anauza mazao kwa soko la nje then njaa inaingia then huyo huyo na jamii yake wananunua bidhaa zitokanazo na mazao waliyouza kwa bei ya juu
Kwahiyo unataka kutuambia, kufunga mipaka kwa kipindi hiki ndio kutaleta mabadiliko na kuipandisha sarafu yetu?Mkuu
Faida itapatikana kwa kukuza sarafu yetu kwenye soko la Dunia na kudhibiti mfumuko wa Bei!SIO kwa kupaisha mfumuko wa bei kama HIVI!!
Hahahaha sirikali ya bibi imesema tunachakula cha kutosha kufuatia kauli alioitoa Somali boy acha tupike hela baada ya chakula kuishaMkuu
Bei ya debe la mahindi kwenye baadhi ya vijiji nchini ni 25000/= hadi sasa, watu wameshaanza kula kwa kununua unga kwa kilo sh.1700 hadi sasa na hii ni Oktoba hatujui January hali itakuwaje!
Fungeni mipaka hali sio nzuri kabisa, watu wasije kufa njaa, mfuko wa sembe ushafika sh.37000/= tena vijijini kabisa hali sio nzuri!
Naamini utasoma na hatua zitachukuliwa!
Kumbe Kuna kipindi huwa na akilimazao ni mali ya waliolima , uzuie mtu kuuza mali yake kwa sababu ya wanunuzi masikini wasio na hela wa kitanzania ! yaani uache vibopa wa nje ? bila shaka utakuwa umelogwa tu
Kwanini usishauri na bidhaa zingine zisiuzwe nje kama bidhaa za azam nk kama ndo njia ya kudhibiti mfumko wa bei?Akiuza kwa bei ghali halafu akanunua mahitajit kwa bei kubwa atapata faida Gani!!?
UNAFIKIRI uchumi wetu utakuaje kwa style Hiyo!!?
Maoni yako ni economic oriented au ni politically perspective!?
Wewe ni mjinga kama sio mpambavu, na mwenye fikra za kizamani sana,Naona hapa kuna ndezi zinashangilia vyakula kupanda bei, eti wakulima nao wanufaike. Hawa nguruwe [emoji200] hawajui kuwa mkulima huwa hacheleweshi kuuza mazao, na sasa kashauza kila kitu. Na ikitokea taifa au shehemu wanakumbwa na njaa wanaokufa njaa siku zote ni haohao wakulima. Acheni huo upuuzi
Kuna watu wanafikira za kizamani Sana mkuu, wanadikiria wakulima wa 70sWewe utakuwa unazungumzia wakulima miaka 30 iliyopita
Asante mkuu, inabidi tuwakemee Kwa nguvu watu wenye fikra kama hizi kuonheza umaskini Kwa wakulimaSarafu inakuzwa kwq kuuza vitu nje siyo kwa kufunga mipaka.
Umehifafhi mahindi Kwa kiuatilifu gani? Actellic ya maji au Shumba dust?! Au airtight bags (agro z)?Kalime na wewe Ili waje wazuie..
Mwaka huu ndio mwaka wa kufidia hasara zote za awamu ya 5..
Mwisho Waziri amesema hana mpango wa kufunga masoko na hiyo sio njia pekee kwani hakuna mfanyabiashara anaweza kufanya exports bila kupewa Kibali na Serikali..
Waziri amesema watafungia maghala yao Ili kushusha Bei kwenye Mikoa ambayi Bei iko juu zaidi..
Ila huku kwetu gunia la mahindi ni 80,000,tumehifadhi tunasubiria Bei ipande zaidi.
Mifuko ya Kinga njaa,situmii hizo sumu.Umehifafhi mahindi Kwa kiuatilifu gani? Actellic ya maji au Shumba dust?! Au airtight bags (agro z)?
Tulinunuwa mbolea bei ghari sana wacha ipande.Tena mwaka huu tunapanga foleni siku2 kwenye jua ndiyo tunapata mbolea mwakani tena.Mkuu
Bei ya debe la mahindi kwenye baadhi ya vijiji nchini ni 25000/= hadi sasa, watu wameshaanza kula kwa kununua unga kwa kilo sh.1700 hadi sasa na hii ni Oktoba hatujui January hali itakuwaje!
Fungeni mipaka hali sio nzuri kabisa, watu wasije kufa njaa, mfuko wa sembe ushafika sh.37000/= tena vijijini kabisa hali sio nzuri!
Naamini utasoma na hatua zitachukuliwa!