Naughty by nature
JF-Expert Member
- Jan 22, 2023
- 2,123
- 2,359
Chizi huyoNani kakwambia Bandari ya Mombasa hakuna mwekezaji?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chizi huyoNani kakwambia Bandari ya Mombasa hakuna mwekezaji?
AahaaaaaUlipelekwa bungeni kwa dharura haraka haraka na mimi inabidi nitoe.maoni haraka haraka huwezi jua mikataba yaweza andalusia haraka haraka kama fast food
Awemo Hamza Johari.kuandaa
Mnoo yametengenezwa matukio ya hovyo hapa Kati ili kuwatoa kwenye reli lakini wapii??Watu wamo nao Umo Umo kwenye hili sidhani kama kunakusalimika,,,kusahulika na kisafishana kiurahisi kwa watu na kueleweka kiurahisi urahisi,,,Ni kujitafutia fedhea,,aibu na kujidhalilisha ka Utu kako kale kidogo kaliko bakiamo!!ni kheri kuwa kimya tuu kuliko kututesa udhalimu na uzandiki wa wachumia tumbo!!Watanzania wamechafukwa
Hamza anahema sana daa pesa ni balaa tupu Mimi naona Bora jeshi lihamie pale Kwa ajili ya kuopalete shughuli zote bandalini kama shida ni uaminifu jeshi likafanye KAZI hapo
Bashiru ni bogus tuNilitamani kupata maoni ya watu hawa 2. Bashiru na Polepole kuhusu hii kitu popote pale walipo wataarifuni
.zilinyimwa na Nani?ICD/ISD hazikufungwa Bali zilinyimwa kupokea mzigo Toka bandarini
Na TPA kutokana na wizi wa vifaa vya magari ya wateja kwenye bandari kavu.zilinyimwa na Nani?
Hama nchi DadaHuu ujasiri wa Mzanzibar kudalalia mali za Tanganyika anautoa wapi? Pia atuambie kwenye ule mkataba yule aliyesaini kama shahidi wake ni nani? Maana hakuna jina linaloonekana
Mkuu mtumisji wa Serikali siku zote anatetea ugali wake na WA bosi wake na Wala siyo akili zakeHuyu bwana ni Profesa kweli?
Mbona kama haelewi wanasheria wanachokisema kuhusu mkatabs?
Kkenge ww,tuwasikilize wanasheria vilazaHuyu bwana ni Profesa kweli?
Mbona kama haelewi wanasheria wanachokisema kuhusu mkatabs?
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na Waandishi wa Habari, Jijini Dar es Salaam muda huu kuhusu uwekezaji wa Bandari.
Mbarawa:
Pamoja na Serikali kuendeleza juhudi za maboresho ya Bandari zetu, bado ufanisi katika utoaji huduma wa Bandari haujafikia viwango vinavyotakiwa kimataifa.
Hali ya ufanisi wa Bandari ya Dar es Salaam na nyingine nyingi zinazoendeshwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania upo chini sana, udhaifu huo unaonekana katika utendaji wa kila siku wa Bandari zetu pamoja na ukusanyaji wa mapato
Bandari ya Dar imeendelea kuwa nyuma dhidi ya Bandari shindani katika Kanda, mfano wastani wa meli kusubiri nangani ni siku 5 sawa na Saa 120 ikilinganishwa na siku 1 na saa 6 kwa bandari ya Mombasa.
Meli kutumia muda mrefu kupakia shehena kantini kwa wastani wa siku tano wakati kimataifa ni siku moja inayokubalika kimataifa.
Ufanisi mdogo wa Bandari ya Dar es Salaam umetokana na changamoto mbalimbali ikiwemo kukosekana mifumo ya kisasia ya TEHAMA, kutokuwepo kwa maeneo ya kutosha ndani na nje ya Bandari ya kuhifadhia shehena za mizigo pamoja na maegesho ya kutosha ya kuegeshea meli.
Changamoto nyingine ni kukosekana kwa mitambo ya kutosha na ya kisasa inayobadilika mara kwa mara kutokana na teknolojia na hivyo kuwa na gharama kubwa.
Athari za kutokuwa na ufanisi katika Bandari ya Dar es Salaam ni meli kusubiri muda mrefu nangani, mfano gharama ya meli kusubiri nangani kwa siku moja ni takribani Dola 25,000 (Tsh. Milioni 58).
Meli kutumia wastani wa siku tano kupakia na kupakua shehena ukilinganisha na siku 1 inayokubalika kimataifa.
Meli kubwa kutokuja katika Bandari ya Dar es Salaam kutokana na kuchukua muda mrefu kuhudumiwa, hivyo kusababisha bandari yetu kuwa inayolishwa na Bandari nyingine.
Uwezo mdogo wa Bandari ya Dar unaikosesha Nchi mapato makubwa ambayo yangeweza kusaidia katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati inayoendelea kutekelezwa Nchini.
Ili kutoendelea na hali hiyo, Serikali iliingia makubaliano 2000 Serikali ya Awamu ya Tatu iliingia mkataba wa upangaji na uendeshaji na Kampuni ya TICTS, mkataba ambao ulidumu kwa miaka 22 na kuipa haki za kipekee TICTS kuendesha shughuli za gati namba 8 hadi 11 za Bandari ya Dar es Salaam huku maeneo mengine yakihudumiwa na TPA.
Desemba 2022, Serikali ya Awamu ya 6 baada ya kuona mkataba hauendani na maslahi mapana ya Nchi yetu iliamua kusitisha mkataba huo.
Serikali kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania ilipokea mapendekezo ya wawekezaji mbalimbali Duniani, lengo kuu likiwa ni kufungua masoko ya kimkakati katika kufungua eneo la bidhaa na usafirishaji ndani ya Nchi na maeneo yanayotuzunguka.
Baada ya uchambuzi wa kina Serikali ilianzisha majadiliano na Kampuni ya DP World kwa sababu zifuatazo:
Uwezo mkubwa wa uendeshaji wa shughuli za Bandari Afrika, Asia, Ulaya, Marekani ya Kaskazini na Kusini na Australia.
DP World ina uwezo na kuchagiza mnyororo mzima wa usafirishaji kutoka maeneo ambapo bidhaa zinatoka hadi kwa walaji wa bidhaa.
DP World inamiliki zaidi ya meli 400 za mizigo, ina uzoefu wa uendeshaji wa Bandari 6 Afrika na zaidi ya Bandari 30 Duniani kote.
Wawekezaji wengine waliowasilisha mapendekezo yao hayakukidhi sifa kwa mwekezaji ambaye alihitajika.
Mkurugenzi TCCA: Hakuna ardhi ya Tanzania ambayo itauzwa
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini, Hamza Johari amewatoa hofu Watanzania kuhusu tarifa za kuwa nchi imeuzwa kutokana na mkataba wa makubaliano ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai akisema kuwa taarifa hizo hazina ukweli wowote.
Kauli hiyo ameitoa leo Julai 14, 2023 alipokuwa akizungumza katika mkutano na wahariri jijini Dar es Salaam huku akiwataka watu kutoingiza siasa kwenye masuala yahusuyo uchumi wa nchi na kusisitiza kuwa mkataba huo ni mzuri.
Bandari za zanzibar hazimo kwa sababu tayari washapewa MakaburuTatizo haliko kwenye mwekezaji, tatizo liko kwenye utata wa mkataba. Kwa muda gani? Bandari zote Tanganyika,au baadhi ya bandari? Kwa Nini iwe bandari za Tanganyika tu na kuziengua za Zanzibar? Waziri afafanue utata wa mkataba, wawekezaji tunawataka.

Ila mipaka yake ya kiutendaji ni bara tuu maana zanzibar hawahusiki kwenye hayo mamboKwa mfumo wa Muungano ilivo wizara zote ni za muungano maana wanasema waziri wa biashara na uwekezaji wa Tanzania kumbuka neno TANZANIA