Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Mbarawa azungumza kuhusu uwekezaji wa Bandari

Vyombo vya habari vyote viweke aliyoonge kiongozi wa majadiliano Hamza Johri tu

Concern za wananchi zilikuwa hapo kwenye Issues kaa address Hamza Johari

Porojo alizoongea waziri kwenye hiyo press conference watupe kwenye dustbin kama ni clip za YouTube mitandaoni waweke kipande tu alichoongea Hamza Johari watu walikuwa hawapingi faida za uwezekezaji vipengele vya huo mkataba ndio ilikuwa issue Hayo ya Dp World kuwa na uwezo na nchi kuwa itapata faida haikuwa issue sana kwa wananchi .wanajua kampuni kubwa ina uwezo wa kifedha na kiteknolojia nk.

ugomvi ssue ilikuwa vipengele vya makubaliano hapo ndipo mziki.mnene ulijikita

Kafafanua vizuri matumaini ya wananchi huko wakifika kwenye mikataba kuandaa watakuwa very serious. Na napendekeza Hamza Johari awemo.kwenye kuandaa hiyo mikataba ikiwezekana awe.kiongozi kabisa wa kuandaa mikataba hiyo
 
Mbona una haraka haraka sana
 
Kwa hiyo wamegeuka Tena nj mkataba sio makubaliano?
Hamza anasema kuwa Kiswahili hakina tafsiri sahihi ya neno Treaty

Hamza anasema Treaty Haina Kiswahili chake

Treaty is it Mkataba au makubaliano!?
 
Sasa kama shida ni ufanisi tumeshindwaje sisi wenyewe kuongeza ufanisi, kazi ya Serikali si ndio hiyo sasa kusimamia ufanisi!.

Kama Mombasa port aka Kenyan wameweza bila muwekezaji kwanini sisi tushindwe bila muwekezaji?
Imagine na pesa zote hizi tulizokopa.
 
Vyombo vya habari vyote viweke aliyoonge kiongozi wa majadiliano Hamza Johri tu

Concern za wananchi zilikuwa hapo kwenye Issues kaa address Hamza Johari

Porojo alizoongea waziri kwenye hiyo press conference watupe kwenye dustbin kama ni clip za YouTube mitandaoni waweke kipande tu alichoongea Hamza Johari watu walikuwa hawapingi faida za uwezekezaji vipengele vya huo mkataba ndio ilikuwa issue Hayo ya Dp World kuwa na uwezo na nchi kuwa itapata faida haikuwa issue sana kwa wananchi .wanajua kampuni kubwa ina uwezo wa kifedha na kiteknolojia nk.

ugomvi ssue ilikuwa vipengele vya makubaliano hapo ndipo mziki.mnene ulijikita

Kafafanua vizuri matumaini ya wananchi huko wakifika kwenye mikataba kuandaa watakuwa very serious. Na napendekeza Hamza Johari awemo.kwenye kuandaa hiyo mikataba ikiwezekana awe.kiongozi kabisa wa kuandaa mikataba hiyo
Kama mkataba mama Hauna vipengele vya kuilinda nchi, hivi bimilataba vidogo ni upuuzi. Unasema akitaka ardhi lazima apate anapotaka na asisogelewe ma.mtu.mpaka Kwa ruhusa yake. Sasa mkataba mdogo anataka ardhi ya St Joseph Cathedral, lazima ibomolewe maana mkataba mkubwa unasema chochote atakachokitaka lazima apewe.

Hamza amejibuje hapo
 
Back
Top Bottom