Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
Makubaliano vs Mkataba!?
Which is which!?
Kazi ya TICS Kwa sasa anafanya nani!?
Kwanini mlizifunga bandari kavu na tena mkazidiscourage!?
Kwanini Leo mnalia tena kuwa bandari imezidiwa!!?
Katika maoni ya wananchi ambayo mlishauri wananchi wayatoe,je ni yapi mshayatoa!?