Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Mbarawa azungumza kuhusu uwekezaji wa Bandari

Ulipelekwa bungeni kwa dharura haraka haraka na mimi inabidi nitoe.maoni haraka haraka huwezi jua mikataba yaweza andalusia haraka haraka kama fast food

Awemo Hamza Johari.kuandaa
Aahaaaaa
 
Watanzania wamechafukwa
Mnoo yametengenezwa matukio ya hovyo hapa Kati ili kuwatoa kwenye reli lakini wapii??Watu wamo nao Umo Umo kwenye hili sidhani kama kunakusalimika,,,kusahulika na kisafishana kiurahisi kwa watu na kueleweka kiurahisi urahisi,,,Ni kujitafutia fedhea,,aibu na kujidhalilisha ka Utu kako kale kidogo kaliko bakiamo!!ni kheri kuwa kimya tuu kuliko kututesa udhalimu na uzandiki wa wachumia tumbo!!
 
ICD/ISD hazikufungwa Bali zilinyimwa kupokea mzigo Toka bandarini
 
Kibwagizo kile kile.
 
Tatizo haliko kwenye mwekezaji, tatizo liko kwenye utata wa mkataba. Kwa muda gani? Bandari zote Tanganyika,au baadhi ya bandari? Kwa Nini iwe bandari za Tanganyika tu na kuziengua za Zanzibar? Waziri afafanue utata wa mkataba, wawekezaji tunawataka.
Bandari za zanzibar hazimo kwa sababu tayari washapewa Makaburu
 
Tibaijuka anauliza:Bila ya marekebisho ya Mkataba article 4 Zanzibar haichomoki Wala Kemondo haichomoki
 
Huwezi panua Bandari wakati barabara ni mbavu za mbwa,barabara kuu zote lazima ziwe Double lane ili kuepesha usanii na ajali pasua kichwa.
 
Kwa mfumo wa Muungano ilivo wizara zote ni za muungano maana wanasema waziri wa biashara na uwekezaji wa Tanzania kumbuka neno TANZANIA
Ila mipaka yake ya kiutendaji ni bara tuu maana zanzibar hawahusiki kwenye hayo mambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…