christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,333
- 5,490
Acha uongo wewe viongozi wa Iran wakifa wala huwa hawasemi wanaoanza kusema ni Israel au Marekan kisha Iran wanakuja kusema baadae, hata sasa Iran bado hawajasema kama Ali Larijal kauwawa. Sasa kama Iran na wao wanauwa wamezuiwa na nani kusema na kuweka jina na picha ya waliomuua.Tofaut nyengine kwenye hii Vita ipo apa. Upande mmoja Viongozi wake wakifa wanasema!!!
Upande wa pili wao wamepitisha na Sheria kabisa ya kuzuiya habari zao hakuna kutoka !!!
kwamadai adui yao akiona atapata nguvu zaidi au shabaa zaidi!!!
Swali wasomaji wa Jamii forums
Ikiwa tunaona kipigo wanachopewa Israel kutoka Iranian na hezbollah!!
Mejengo yao yalivo sagwa vile na Waisrael wanatwambia Vifo ni 14 !!!!!
Uwongo wao ni wawaziwazi unaotokana na iyo Sheria yao kuficha maumivu yao!!!
manake Kombora linavunja vunja zege pamoja na nondo!!!
Lkn Kombora ilo ilo linashindwa kupenda kwa Binadamu mwenye nyama tu!!!!!
2) Swali kuu!!
ikiwa Israel inaficha japo Vifo tu ya raia wake.
JE bado wewe unategemea kuja kuambiwa ukweli wa Vifo vya viongozi wao wangazi yoyote?????
Ukweli kwenye hii Vita tutasikia tu Vifo vya upande wa Iranian tu.
Sio Israel saaauuu ilo!!!!
Acha kutuletea AI huyo jamaa keshauwawa!! Labda tu ukamfufue wewe!!Breaking: Over a dozen top IRGC and Basij officers were eliminated during the Israeli strikes last night, including the commander of the Basij and his deputy.
IDF confirms that IRGC General Esmail Qaani has survived.View attachment 3558976
Duh,Hakuna kiongozi yeyote wa Israel akiyeuwawa yanauwawa tu Mabumunda ya Iran ambayo hayajitambui!!
Wewe jifariji tu kipigo kiko palepale mbwa nyie!!
Yalivyo Mabumunda yatasema Netanyahu!!!Mu Israel yupi kauwawa?
Hizo ni Propaganda za Waarabu/Waislamu. Wa kumuua Netanyahu bado hajazaliwa!!Duh,
Asubuhi leo nikacheki huko X nikakuta tangazo la shujaa Neta kuliwa kichwa, kumbe ni uzushi wa wahuni?!
Sasa kama Israel imeshasema ameuliwa hao Wairan ndio wasifahamu hadi sasa na wenyewe wanaficha nini basi.
Netanyahu ana safari ya kwenda Marekani hivi karibuni labda mtasema hiyo ni ghost yake.
Kuhusu raia wa Israel kufa kwa idadi ndogo inaweza kuwa sahihi.Tofaut nyengine kwenye hii Vita ipo apa. Upande mmoja Viongozi wake wakifa wanasema!!!
Upande wa pili wao wamepitisha na Sheria kabisa ya kuzuiya habari zao hakuna kutoka !!!
kwamadai adui yao akiona atapata nguvu zaidi au shabaa zaidi!!!
Swali wasomaji wa Jamii forums
Ikiwa tunaona kipigo wanachopewa Israel kutoka Iranian na hezbollah!!
Mejengo yao yalivo sagwa vile na Waisrael wanatwambia Vifo ni 14 !!!!!
Uwongo wao ni wawaziwazi unaotokana na iyo Sheria yao kuficha maumivu yao!!!
manake Kombora linavunja vunja zege pamoja na nondo!!!
Lkn Kombora ilo ilo linashindwa kupenda kwa Binadamu mwenye nyama tu!!!!!
2) Swali kuu!!
ikiwa Israel inaficha japo Vifo tu ya raia wake.
JE bado wewe unategemea kuja kuambiwa ukweli wa Vifo vya viongozi wao wangazi yoyote?????
Ukweli kwenye hii Vita tutasikia tu Vifo vya upande wa Iranian tu.
Sio Israel saaauuu ilo!!!!
Ukizipata zitoe, kuliko kuwa too subjective.Upande wa pili wao wamepitisha na Sheria kabisa ya kuzuiya habari zao hakuna kutoka !!!
Anaundugu wa karibu na kimsboyjamaa mmoja ana mdomo sana
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amesema:Unaripoti ukiwa zako choo cha MBAVU unachamba
Habari za kifo cha Netanyahu ni fix, na waliozianzisha ni hao hao Israel ili kuwapumbaza watu kua mabomu ya Iran yanafikia hadi kuua waziri mkuu wao. Lakini nyuma ya pazia Iran na Hezbollah wanachezea mkong'oto wa hali ya juu. Na huko Lebanon jamaa wameingiza kikosi cha ardhini kufagia kila kitu. Kumbuka vita ilipoanza waliambizana na US hii ndio nafasi ya kuwamaliza Iran na matishio yao kwa Israel for good, kwahio hii nafasi wanaitumia haswa kutimiza lengo lao, msije shangaa vita inaisha Tehran inabaki kama Gaza. Habari za kupigwa sana Iran hawazitoi kwa makusudi maalum , muda tu ndio utakuja kuongea.Tofaut nyengine kwenye hii Vita ipo apa. Upande mmoja Viongozi wake wakifa wanasema!!!
Upande wa pili wao wamepitisha na Sheria kabisa ya kuzuiya habari zao hakuna kutoka !!!
kwamadai adui yao akiona atapata nguvu zaidi au shabaa zaidi!!!
Swali wasomaji wa Jamii forums
Ikiwa tunaona kipigo wanachopewa Israel kutoka Iranian na hezbollah!!
Mejengo yao yalivo sagwa vile na Waisrael wanatwambia Vifo ni 14 !!!!!
Uwongo wao ni wawaziwazi unaotokana na iyo Sheria yao kuficha maumivu yao!!!
manake Kombora linavunja vunja zege pamoja na nondo!!!
Lkn Kombora ilo ilo linashindwa kupenda kwa Binadamu mwenye nyama tu!!!!!
2) Swali kuu!!
ikiwa Israel inaficha japo Vifo tu ya raia wake.
JE bado wewe unategemea kuja kuambiwa ukweli wa Vifo vya viongozi wao wangazi yoyote?????
Ukweli kwenye hii Vita tutasikia tu Vifo vya upande wa Iranian tu.
Sio Israel saaauuu ilo!!!!
Wanaficha kivipi ?Tofaut nyengine kwenye hii Vita ipo apa. Upande mmoja Viongozi wake wakifa wanasema!!!
Upande wa pili wao wamepitisha na Sheria kabisa ya kuzuiya habari zao hakuna kutoka !!!
kwamadai adui yao akiona atapata nguvu zaidi au shabaa zaidi!!!
Swali wasomaji wa Jamii forums
Ikiwa tunaona kipigo wanachopewa Israel kutoka Iranian na hezbollah!!
Mejengo yao yalivo sagwa vile na Waisrael wanatwambia Vifo ni 14 !!!!!
Uwongo wao ni wawaziwazi unaotokana na iyo Sheria yao kuficha maumivu yao!!!
manake Kombora linavunja vunja zege pamoja na nondo!!!
Lkn Kombora ilo ilo linashindwa kupenda kwa Binadamu mwenye nyama tu!!!!!
2) Swali kuu!!
ikiwa Israel inaficha japo Vifo tu ya raia wake.
JE bado wewe unategemea kuja kuambiwa ukweli wa Vifo vya viongozi wao wangazi yoyote?????
Ukweli kwenye hii Vita tutasikia tu Vifo vya upande wa Iranian tu.
Sio Israel saaauuu ilo!!!!
Hao wakipiga wanapiga kweliDuh,
IDF kazi yao kumwaga moto kutokea angani, wanawezaje kuthibitisha kuwa fulani kaliwa kichwa tayari na fulani kasalimika?
Ndio nataka walete hapa na kwa majina kama hivi 👇 sio hizi propaganda zaoTuletee taarifa za kifo hata cha kiongozi mmoja wa Israel, juzi mlizusha kuwa mumemuua Netanyahu, mkahubiriana huko hehehe jamaa yupo anawacheka tu.
Makamanda wenu na wakuu wote wapo kila mmoja anafaidi mabikira.
Wana machawa ndani ya jeshi la iranDuh,
IDF kazi yao kumwaga moto kutokea angani, wanawezaje kuthibitisha kuwa fulani kaliwa kichwa tayari na fulani kasalimika?
Iran hana uwezo wa kuua hata balozi wa nyumba kumi wa Tel AvivYalivyo Mabumunda yatasema Netanyahu!!!