So far nchi nilizotembelea norway , israel, ugiriki. Mpaka 67 years, US 62 years
Hili suala ni world wide
Mkuu,Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
Serikalini hakuna hiyo mishahara labda uwe mbunge , nchi hii kwa mwendo wa demokrasia haiwezi kuendelea hata siku moja.
mimi nadhan waoengeze mpaka.miaka 75kweli kabsa sio kwamba Tz hatuwezi ondoa changamoto ya ajira hapana vile mipango na mikakati haipo sekta binafs plus government kwa pamoja vinaweza maliza au punguza hii changamoto
VIJANA MNASHANGAZA!!!.Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
Hta wenye UCHUMI MKUBWA bado hawajapunguza muda wa kustaafu..Utaongeza gharama kulipa akiyestaafu bado kijana umlipe pension ya kila mwezi wakati huo huo unamlipa aliyeko kazini
Double payment ya watu ambao wote bado wana nguvu za kufanya kazi
Linaweza lisiwe jawabu la moja kwa moja, sala kama alivyoandika, Maana wanapostaafu wanaacha nafasi ya nguvu kazi mpya.Unadhani pengine umri wa kustaafu ndio kutatatua tatizo la ajira?
Emb fikiria tena kaka, bado sana.
Hata serikal iseme ni mwaka mmoja, hakutokuwa na nafuu namna yoyote ile
tukipunguza muda nafasi zitapatikanaVIJANA MNASHANGAZA!!!.
Badala ya kuwaza jinsi kuongeza ajira, unawaza kupunguza muda.!! BORA MUENDE VETA TU HAKUNA NAMNA...
hakika mkuuDOGE inahitajika hapa Tanzania. Watu wakipunguza miaka ya kustaafu, mishahara minono, business skills iwe mandatory, mafao yawekwe vizuri, bank zitowe mikopo rafiki yenye riba nafuu, investment kwenye viwanda. Bila shaka tutapiga hatua
Nchi zilizoendelea kama US,Ulaya na Japan hawana mfumo huo. SISI NANI??tukipunguza muda nafasi zitapatikana
kabsa chief upumzikeWafanye iwe miaka ,50 hata mimi kazi zinanichosha
ngoja tupiteNchi zilizoendelea kama US,Ulaya na Japan hawana mfumo huo. SISI NANI??
PITIENI VETA NJUE KUJIAJIRI.
lipi hilo chiefHapo unakuwa unaongeza tatizo jengine
hapo hakuna atakae laumu serikali make ulishindwa fanya saving na uwekezaji poor brainkufanya hivyo ni kuongeza tatizo....kwani utatengeneza senior jobless
na unajua umri unakuja na mambo mengi
Shida sio kupunguza ,shida ni kwamba ukiwasataafisha mapema , wako wapi wakujaza nafasi hizi? Siongelei vyeti hapa , uwezo binafsi na uzoefu wa kazi , hawa machawa wa sasa wapendao kujipiga makeup , wanao nunua boxer 18 za kubadilisha , wakujipulizia pafum 4 kwa mchanganyiko ,ndo hawa waridhi nafasi za wastaafu kwa haraka ? Nchi itakufa mara moja.Hii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .
watakuepo ma senior wakuwapa uzoefu mkuuShida sio kupunguza ,shida ni kwamba ukiwasataafisha mapema , wako wapi wakujaza nafasi hizi? Siongelei vyeti hapa , uwezo binafsi na uzoefu wa kazi , hawa machawa wa sasa wapendao kujipiga makeup , wanao nunua boxer 18 za kubadilisha , wakujipulizia pafum 4 kwa mchanganyiko ,ndo hawa waridhi nafasi za wastaafu kwa haraka ? Nchi itakufa mara moja.
Hata wafanya biashara nao.. ifike hatua serikali iweke utaratibu.. miaka 45 au 50 biashara apewe mwingine... ikishindikana basi aifishe biashara yake ili vijana nao wapate nafasiHii inaweza saidia kupunguza tatizo la ajira nchini ikibidi kutoka miaka 60 mpka 45 au 50 ili vijana nao wapate nafasi kwani hii itatoa nafasi nyingi katika kada mbalimbali .