Wazoefu naomba mnisaidie, nataka kuoa mwanamke wa kingoni, nini sifa zao kuanzia chumbani Hadi sebuleni?

Ni Malaya kiujumla hawana miiko ya kingono.ila wanajua maisha wavumilivu na Wana heshima.
hii kitu inanishangaza sna mtu kuwa na heshima halafu ni malaya nilishapitia hili kwa mmoja mwanzo sikujua km ni mke wa mtu
 
punguza jazba kosea njia ila sio kuoa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa mwamposaa huko vipiii? Asemee nimpee shost angu, afu mie sio wa Namtumbo, mie Mngoni halisi kutoka Songea 1.

Kikubwa awe tayari kwa mzagamuo muda wotee, tunapenda mnyanduano kuliko kulaaa.
 
hakuna mwanamke wa kabila lolote anayeacha X wake. chukua hiyo
X haachwi
Hiyo iko wazi.Ex miaka hii haachwi,mkikutana kama kaja msibani,unakuja,kaja kumuuguza mama yake kijijini,unamla,kaja kusalimia kwao,unamla.Huulizii,yaani akifika watu wanakwambia kua mkeo kaja.
 
Swali langu linajitosheleza wana jf mnisaidie niingie Chaka ndugu zangu. Nampenda kweli lakini bado hatuja "du". Niepuke nini?
Unataka kuoa mke au unataka kuoa kabila?
Siku hizi wenye makabila yao hawayajui wewe ambaye siyo kabila lako unalitaka la nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…