Mmeachana nayo wakati mganga wa kienyeji Doro ndio anawataka watu wavae barakoa sasa.Inamaana mpaka leo haiujui nyungu ? Tulishaachana na mambo ya corona toka ,Mwezi Mei 2020 ambapo tulikuwa na jumla ya wagonjwa 509 na vifo 21 ambavyo vilisababishwa na hiyo corona !View attachment 1820768
Bora watalii wanakuja ku spend sio mambo ya kijinga haya ya eti kuhubiri,hawa mapunga wanakuja kufanya nini huku?Tatizo ni mzungu, mlokole, ama
mahubiri???
Mbona hujazungumzia watalii wanaomiminika kwa wingi serengeti.
Kuishi kwa kujihisi ni ugonjwa mbaya sana, binadamu wote tu sawa rangi yetu ni moja rangi ya damu tambua kuna watu wakatili sana kutoka hata kwa familia yako zaidi ya huyo mzungu unayemhukumu. Ndo maana rastafarian tunaeneza upendo na si chuki kazi ya kuhukumu si yako.
Wewe ni mchawi au una mashetani?Bora watalii wanakuja ku spend sio mambo ya kijinga haya ya eti kuhubiri,hawa mapunga wanakuja kufanya nini huku?
Somalia,Nigeria,Mynmar Gaza hawakuoni ili wakahubiri amani na wokovu huko? DRC je.
.Hivi watoa vibali kwa nini mnaacha watu wetu wanafanyiwa ujasiriamali ilhali mnajua Tzn hii ina wajinga wengi?
Inaonyesha uko mbali na Vyombo vya Habari au pia siyo Mfuatiliaji wa mambo ( Current Affairs ) za Kidunia kama walivyo Watanzania wengi.Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.
Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.
Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?
Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.
Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
Watu weusi tuna maasi mengi kuliko hata ushoga, basi tu hua tunajiona wakipekewEti wahubiri walokole wa kizungu, huko kwao walishamwacha Mungu kitambo sana na sasa wanaungana kumtumikia ibilisi kupitia address ya ushoga, watu wa idara ya usalama kaeni chonjo tusije anza kushuhudia mawimbi ya covid...
Unawashukutumu kina nani ?Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.
Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.
Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?
Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.
Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
Unafeli Sana nyumbu,ndio nyie mnaharibu kizazi chenu afu tunapata Taifa la vilaza kama wewe mnaotegemea miujizaWewe ni mchawi au una mashetani?
Acha injili ipigwe, mchawi mkubwa wewe!
Hirizi ulizovaa kiunoni zinatingishika?
Tulia wewee kuu la machawi.Unafeli Sana nyumbu,ndio nyie mnaharibu kizazi chenu afu tunapata Taifa la vilaza kama wewe mnaotegemea miujiza
We ni mchawi?
wazungu hawafanyaji jambo kwa hasara...Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.
Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.
Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?
Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.
Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
Kwanini isiwape,wana shida gani km wamekidhi vigezo?Serikali sijui imeanzaje kuwapa vibali hawa watu
Nashangaa!Wazungu wangapi wanakuja kwa mambo tofauti wewe umeona wahubiri tu?
Hakika,na wamehubiri kwa mikoa 5 tofauti,tena bila kuchukua sadaka ya mtu! Wamemakiza wameondoka zao.Yote mema wahubiri tu ni nyakati za mwisho
Kwani shida ni nini, ukizingatia hatumii pesa ya mtu,mikutano yao hachukui ht sadaka ni pesa zao shida iko wapi?Hii mikutano imekuwa ikitumia gharama kubwa kujitangaza sana na kwanini iwe hivi mikutano itumie pesa kubwa kiasi hichi
Wachawi mnaweweseka. Hahahaaaa....Yuko sahihi, ni heri mahubiri ya waislamu kwa wakristo yaendelee kufanyika. Hayo ya wazungu hapana aise. Wafyekelewe mbali.
We unawajua? Au huwa mnapenda tu kuongea vitu msivyovifahamu! Unafuatilia mikutano yao,wanachofanya,ili ukija kuandika use unaelewa unacholalamikia?hizo nchi ulizotaja unajuaje km hawajafika? Yaani kinachokuuma ni nn haswa?Bora watalii wanakuja ku spend sio mambo ya kijinga haya ya eti kuhubiri,hawa mapunga wanakuja kufanya nini huku?
Somalia,Nigeria,Mynmar Gaza hawakuoni ili wakahubiri amani na wokovu huko? DRC je.
.Hivi watoa vibali kwa nini mnaacha watu wetu wanafanyiwa ujasiriamali ilhali mnajua Tzn hii ina wajinga wengi?