Wazungu wana akili na maarifa, Waafrika tuna vipaji na nguvu

Akili tuliyonayo tumevumbua nini kaka? Au tuna akili za mdomoni tu
 
Nipe link basi nikasome mwenyewe
 
Ipo article kwamba wazungu ni uzao wa binadamu na shetani uzao wa majitu yaani wanefliki baada ya gharika malaika walipowaingilia wanawake waliokuwa wakioga mtoni wakazaliwa majitu thus Wana akili na maarifa.
 
Ipo article kwamba wazungu ni uzao wa binadamu na shetani uzao wa majitu yaani wanefliki baada ya gharika malaika walipowaingilia wanawake waliokuwa wakioga mtoni wakazaliwa majitu thus Wana akili na maarifa.
Unamaanisha nephilims Genesis 6: 1-6 or wanefilo?
 
Well ,I like your thinking
 
Hili liko wazi,
Ndio maana wazungu huwa wako macho sana na kuwa wakali (ikibidi kuua) mwafrika yoyote mwenye mawazo ya kimapinduzi. Mf. Martin Luther king jr. Malcom X, Bob Marley, Muhmur Gaddafi, Magu? na wengineo.
Mkuu uko serious kweli? Jiwe naye ni mtu mwenye akili kweli[emoji848]
 
Mkuu uko serious kweli? Jiwe naye ni mtu mwenye akili kweli[emoji848]
Hayo ni maoni yangu sio lazima tufanane kimtizamo.
Btw, kila mtu anayeishi ana mazuri yake na mabaya pia. Kumtathimini mtu inategemea uko upande upi wa anachokifanya.
 
Shida hapo ni nani sasa? Najua utasema ni system,kama ni system inaongoza na nani? Kwanini huko uzunguni hakuna changamoto za kiboya kama hizi?
Shida ni system ambayo imesababishwa na katiba mbovu
Hatupati watu mahiri wa kuongoza wizara za elimu na kila anayeongiza anajaribu kuendana na mdundo wa aliyemteua
Dunia ya sasa ni fursa za technology , elimu yetu bado inakumbatia idea ya kusoma ili uajiriwe , no wonder wametamgaza nafasi za kazi 9000 , waombaii ni zaidi ya wasomi 120,000
 
Kuna sehemu ya Africa isiyokuwa na nchi?

Tutajieni nchi wanayotokea hao waamerica!
Tunachojua orgins yao ni Afrika au ww unaonaje? Wametoka India au China?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…