Wazungu/West wako mbali sana, wamefikia hadi kwenye supu ya box/kopo!

Kaingia mjini leo huyo.msamehe
 
Vipi kuhusu usalama wako? Vipi kuhusu msongo wa mawazo au depression?
Havina umuhimu kama lishe na matibabu.
Usalama mbovu bila huduma nzuri za afya ni majanga zaidi. Hakuna ushahidi wa maana kwamba Msongo wa mawazo na depression vinachangia kiasi kikubw kupunguza umri wa kuishi wa binadamu.
 
Kama ni magonjwa kila mahali yapo na hutegemea na mazingira, sisi tumebarikiwa vyakula vya asili na tiba za asili, wao waendelee kula mikate na coca.
 
Kama ni magonjwa kila mahali yapo na hutegemea na mazingira, sisi tumebarikiwa vyakula vya asili na tiba za asili, wao waendelee kula mikate na coca.
Hayo mambo ya sisi au wale wamebarikiwa ni porojo tu, binadamu makini anayatengeneza mazingira yake kulingana na uhitaji wake na fursa zilizo mbele yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…