Wachina,wajapan wanakula vyakula natural sana hayo ya kwenye makopo hawafagili labda wazunguAmini wako mbali sana tena wanakula fresh foods ndio maana life span Yao ni kubwa hasa Japan na US na China pia
Hata wazungu wengi sana wanakula natural tena wengi mno ndio maana kwa KFC na macdonald sio migahawa ya watu wenye kipato Bali maskiniWachina,wajapan wanakula vyakula natural sana hayo ya kwenye makopo hawafagili labda wazungu
Na hii ndio imewafanya wawe makini na chakula kuanzia kulima hadi kulaNa ndio wanaoongoza kufa kwa cancer kutokana na mfumo huo huo wa vyakula vyao.
Labda 3% ya Waafrika ndio wanakula organic food, 97% waliobaki wote wanakula vyakula vilivyokuzwa kwa chemicals mbalimbali, mbaya zaidi Afrrica hakuna ufuatiliaji wa vyakula vilivyozalishwa kujua wakulima wametumia dawa kiasi gani na kwa usahihi gani. Tatizo wengi hawajui maana ya organic food.Na ndio Kansa inawatafuna balaa, laiti Waafrika mngejua utajiri wa vyakula vya asili mlivyokua navyo msingejibeza,
Kawaulize gharama za organic food halafu angalia wewe organic food unaipata shambani kwako tu,
Exposure, Exposure, Exposure
Sisi ndiyo matomaso tuliobakiWahafidhina 😁
Nani kakuambia vyakula vya kopo vina sumu?? Mbona huko wanakoishi kwa hivyo vyakula vya makopo ndio wana life expectancy kubwa zaidi? Kama ni sumu kwa nini wastani wao wa maisha ni mkubwa sana kutuzidi sisi??
Sisi ndiyo matomaso tuliobaki
Yaani ulishwe supu ya kopo hata hujui kilichowekwa ni nyama ipi?😜
NaamDah raha ya supu ulikimbize jogoo mpaka utoe kajasho🤗
NaamDah raha ya supu ulikimbize jogoo mpaka utoe kajasho🤗
Haya mambo waafrika waliyafanya sana kabla ya ujio wa Bwana Mohammed kule Madina. Hawa wazungu wanaiga tu.Magharibi wana supu zilizofungashwa kwenye box na makopo kama juice! Yani unanunua supu unaenda kupasha tu unakunywa, hakuna haja ya kupoteza muda kuchemsha nyama masaa ukitafuta supu.
View attachment 3158974
View attachment 3158975
View attachment 3158976
Ndio maana cancer inawamaliza sn kwakua vyakula vyao almost vyote vinapigwa dawa ilivisioze hapa cancer ndio zinavyowatafuna km malaria Kwa AfricaMagharibi wana supu zilizofungashwa kwenye box na makopo kama juice! Yani unanunua supu unaenda kupasha tu unakunywa, hakuna haja ya kupoteza muda kuchemsha nyama masaa ukitafuta supu.
View attachment 3158974
View attachment 3158975
View attachment 3158976
Umekariri kuwa vyakula vya kopo ni sumuWapo mbali kwenye kula sumu na vyakula vya Makopo?
Mtazamo wako unashangaa kwakweli
Kwani unadhani maji ya bomba unayokunywa tz hayawekwi flouride?Sijakataa kwamba Tz hakuna wagonjwa, na hakuna nchi ambayo hakuna wagonjwa.
Huko USA, sio vyakula tu vyenye sumu, hata maji yanawekwa floride.
Masikini muda wote huona maendeleo ni sumu au dhambi kwake.Nani kakuambia vyakula vya kopo vina sumu?? Mbona huko wanakoishi kwa hivyo vyakula vya makopo ndio wana life expectancy kubwa zaidi? Kama ni sumu kwa nini wastani wao wa maisha ni mkubwa sana kutuzidi sisi??
Pia Canada wanapika wali na kufungasha ikipita dakika mbili uko mezani na white beans za kopo unaendelea na majukumuAchana na hao, wajapan wanakifungashio cha noodles, unanunua noodles zilizoshapikwa, unavuta sehemu inatokea chemical reaction kwenye kifungashio noodles zinaanza kupata moto kama vile ndo zimepikwa.
Tena unalimwa katika mabonde ya mavi na maji taka huko mkwajuni,Kigogo,Riverside n.kMasikini muda wote huona maendeleo ni sumu au dhambi kwake.
Hao wenzetu vyakula vyao hupitia katika usafi wa hali ya juu sana na hukagukiwa mara kwa mara.
Hap kwetu mchicha unapgwa dawa leo,kesho uko sokoni
Soma hapo imeandikwa grass fed.Mkuu, processed food hiyo. Zimejaa chemicals na preservatives. Ndiyo maana wazungu wanaugua sana cancers.