We kijana acha punyeto na kusagana mara moja, tabia mbaya alaa..

Kwani mkipiga nyeto huwa mnaibana ndonga hadi misuli ikaze? Mkuu hili tendo maridhawa ni soft tu mbona🤣🤣
wale wenye mikono migumu yenye sugu kama zote utadhani spana ya gari tumeepushwa mbali na nyeto,dah 🐒
 
Ni fedheha kuu kwa mwanaume kushindwa kusimamisha vizuri. Nina washauri vijana waache kutazama porn na wafanye sana mazoezi ya kegel na ya kukimbia. Kama chanzo cha tatizo ni nyeto basi ukifanya hayo mazoezi ni ndani ya wiki chache tu unakuwa sawa. Inawezekana ukawa sawa kuliko hata ulivyokuwa mwanzoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…