Naamini Kajala atamlipa Wema hiyo hela labda tena kwa riba.
Alichooneshaa Wema ni uungwana wa kumwamini Kajala kuwa atalipa hata kama hawajaandikishana.
But atalipwa, ukute Wema mwenyewe kakopa mahali.
Wakijakuwa na bifu huko baadae watakuja kudisiana hivi:
...Kama siyo mimi kukutoa selo wala usingekuwa na unatembea na boyfriend wangu!
...Mie ndo nilikuleta kitaa huku lakini sikufanya hivyo, ili uje eti utembee na boyfriend wangu!
... Nyambaf mkubwa wewe, tena umkome kabisa na boyfriend wangu vinginevyo nitakurudisha huko huko selo!
....Kwanza nipe pesa yangu!...Nasema nipe pesa yangu!!! ... Unaniskia?
....Nipe pesa yangu malaya mkubwa wee!! (huku wanavutana nywele). lol
But I hope they will be best friends ever.
Whether or not Kajala atamrudishia hizo pesa, kitendo alichofanya Wema ni cha kuiga.
A friend should always be friend even where s/he has messed up really bad.
Rafiki wa ukweli utamjua wakati ukiwa na shida kama aliyokuwa nayo Kajala pale mahakamani baada ya hukumu kusomwa.
Wengine utawaona wakati wa raha tuu au wao wakiwa na shida.