Wengi hawapendi JPM akumbukwe kwa Uzuri: lakini atabaki kuwa chaguo la watanzania wengi

Ana utajiri gani mbona tunajua Jk ndo mwenye GSM aya team bid utajiri wa Magu
 
Kuhusu rubber bullets ungeongea na watu wa kikosi maalum.
 
Wewe chawa askari na magari ya kivita yalikuwa yanatafuta nini barabarani? Kwa nini jeshi la polisi lilitangaza curfew? Kama siyo bunduki hamna kitu nyie machawa.
Na machawa MNAPAKATWA
Vijana walipochoma moto vituo vya mwendokasi na maduka ya watu walikuwa wanatafuta nini?.

Mkuu ile haikuwa hali ya kawaida, yalikuwa machafuko yenye lengo la kuipindua nchi.

Hakuna dola duniani unaweza kuipindua halafu eti ikakuwekea zulia jekundu upite juu yake!.

Dola hulindwa kwa nguvu za majeshi na polisi.
 
Tumia lugha ya kiungwana usikubali mapovu yaitawale akili yako.

Kuwasikia hao haina maana kwamba CCM wapo wachache, ni chama chenye wanachama zaidi ya milioni 20 nchi nzima.

CCM ni mfumo wa kimaisha umejikita mizizi yake mpaka kwenye ngazi ya shina na tawi, CHADEMA hamjaweza kujikita kwa wananchi mpaka ngazi za chini kabisa.
 
Hakuna kitu kibaya alichofanya Magufuli kama kujijengea imani kwa raia yeye kama yeye. Badala ya kuhakikisha nchi inajijengea mifumo bora na imara isoyoyumbishwa na yeyote yule.

Kama angehakikisha tunapata Katiba Mpya yenye kupunguza au kuondoa baadhi ya madaraka ya Rais kama "kuteua/kutenda mtu/jambo yeyote/lolote bila kuhojiwa au kushauriana na chombo chochote kile". Hapa rasilimali zetu zingekuwa salama.

Ninachotaka kusema hapa ni kwamba hakuna kitu kibaya kama kujenga tabia ya kumuamini binadamu mwenzio ambae hujui kesho yake. Badala ya mifumo itakayoishi vizazi na vizazi.
 
Mkuu hizi kelele za humu JF zisikudanganye ukadhani upinzani una watu kuliko wale wa CCM.

Upinzani maximum unaweza kuwa na watu milioni 5 nchi nzima, CCM wapo zaidi ya milioni 20 nchi nzima.
Tatizo lako unaakili na tamaduni za kiarabu zilizo jaa ulaghai ,uongo na unafiki; kama alivyo Samia. Unachofanya humu ni kuandika tu maneno ambayo hata hujui unaandika nini.
Hao wapinzani unaowadharau hapa (CHADEMA); kwa nini usimwambie Samia awaache wafanye shughuli zao bila kufanyiwa bughudha kama unafikiri waTanzania hawawasikilizi wanachosema

Hizo kura milioni 31 (asili mia 98) ya kura zote zilizopigwa kama unavyoamini wewe hao waTanzania mliwatoa wapi?

Luhaga Mpina alizuiliwa kutogombea, kwa sababu angemshinda Samia, hata bila kupiga Kampeni.

Sasa mnachotegemea ni mitutu ya bunduki tu, maana hata ulaghai na hadaa hazifanyi kazi tena; waTanzania wanajuwa nyinyi ni wahalifu..

Sasa hiyo mitutu itaelekezwa mahali sahihi. Uhalifu haujawahi kuwa njia ya kuendesha nchi mahali popote duniani.
 
JPM always atabaki kua mwamba
Ni mjinga tu atashindwa kuona mbegu chafu iliyopandwa na Magufuli kwenye demokrasia ya nchi hii. Mauaji ya mo29 ni uchafu uliopandwa na Magufuli kwenye chaguzi za nchi hii. Haya majizi na mauaji ya sasa yamepata nguvu maana Magufuli aliua uwezo wa wananchi kuhoji kwa kutengeneza vikundi vya utekaji dhidi ya wakosoaji.
 
Magufuli alikuwa mchafu na mlevi wa madaraka, lakini nyie wapuuzi wa ccm mlikaa kimya ili muendelee kula. Sasa anashambuliwa anayekulisha unajifanya kuongea ukweli ulioukalia kimya Magufuli akiwa madarakani.
 
😆
 
Magufuli alikuwa mchafu na mlevi wa madaraka, lakini nyie wapuuzi wa ccm mlikaa kimya ili muendelee kula. Sasa anashambuliwa anayekulisha unajifanya kuongea ukweli ulioukalia kimya Magufuli akiwa madarakani.
Wengi wanapenda kudanganywa kwa maneno ya hila kama za JPM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…