Wengi hawapendi JPM akumbukwe kwa Uzuri: lakini atabaki kuwa chaguo la watanzania wengi

Hii ni fantasy ya kukataa responsibility,
Samia ameanzisha mabaya yake nasio muendelezo wa mabaya ya JPM


Kwa mfano, mauaji ya halaiki yaliyofanywa na Samia root cause ni JPM ni kujibu hoja kwa kukimbia responsibility

Unless tukubali pia JPM alifanya mass killing ndio akakalia kiti
Democracy inamipaka yake ila kwa Samia bali ni kupokonya kwa mabavu
 
Mm ukitoa Nyerere mtu ambaye nilikua napoteza mda wangu na bando kumsikiliza ni Magufuli. mwamba huyu acha kabisa dah!!!tulipoteza jembe tumebaki na uchafu amabao niliusikiliza siku moja tu ile ya tangazo la kifo cha jiwe tangu hapo sijawahi na sitowahi msikiliza hata sekunde moja
 
Kusema hii ni fantasy ya kukataa responsibility kungeweza kuwa sawa kwa mtu anayemtetea Samia kuwa hakufanya mabaya.

Mimi simtetei Samia. Far from it. Mimi namlaani Samia.

Lakini nataka tuangalie systemic problems za CCM zinavyovuka hawa viongozi, hawaanzishi kitu hewani, wanaanzia wengine walipoishia.

Kusema nakataa responsibility ni logocal non sequitur fallacy, unasoma nilichoandika kama kumtetea Samia wakati mimi simtetei Samia, naonesha tatizo ni kubwa kuliko Samia na lilikuwepo tangu kipindi cha Magufuli, so stop this Magufuli whitewashing.

Magufuli angeweka msingi nzuri Samia asingepata urahisi wa kufanya mauaji.

Magufuli angefanya mabadiliko ya kikatiba, mabadiliko ya Polisi, mabadikiko ya mifumo ya haki, Samia asingeweza kufanya alichoganya kirahisi hivyo.

Tatizo mnataka kuangalia watu badala ya kuangalia mambo kwa kina zaidi, kwa mifumo.

Mnatengeneza false dichotomy ya ama Magufuli mzuri na Samia mbaya, ama Samia mzuri na Magufuki mbaya.

Mna reduve suala zito into Magufuli vs Samia.

Wakati wote wameoza tu na Samia katufikisha pabaya zaidi kwa kusimamia kwenye msingi aliouanzisha Magufuli.

Magufuli kaua , Samia kaua zaidi.

Sasa hapo utasemaje Magufuli alikuwa mzuri sana?

Huelewi wapi hapo?

Au na wewe ndio wale wajinga waliotekwa na propaganda za Magufuli za populism?
 
Ulitaka nisiwe "tofauti na taahira"?
Inakusaidia kitu gani wewe?
sasa kama wewe ni tahira kwa nini una waita wengine wajinga kisa wana mtazamo tofauti na utahira wako
 
Japo huyu simkubali lakini jiwe hajawahi kuwa bora. Labda kwa watu wasiokuwa na ufahamu na kuitwa wanyonge. Ana mazuri kiasi lakini na yeye alikuwa na mabaya mengi
 
Sawa alikuwa na mabaya yake lakini Watanzania wengi wanampenda kutokana ba uchapakazi wake na uzalendo wake
Hakuna mtu perfect lakini huwezi kumfananisha Magufuli na Rais yoyote yule Tanzania kwa kupendwa na wananchi
Hao wengi ni wale aliowaita wanyonge.
 
Aliwaweza kupitia kuwaita wanyonge na wao wakafurahi sana
 
Magufuli alikuwa mchafu na mlevi wa madaraka, lakini nyie wapuuzi wa ccm mlikaa kimya ili muendelee kula. Sasa anashambuliwa anayekulisha unajifanya kuongea ukweli ulioukalia kimya Magufuli akiwa madarakani.
Elimu haina mwisho, binadamu akiwa bado anapumua kila dakika anajifunza mapya.
 
Amka kaka Kalamu usije kuchafua mashuka hayo.

Hakuna namna mgombea yoyote wa upinzani angeweza kumshinda SSH katika sanduku la kura, mlilijua hilo mkaanzisha zile vurugu ili kuharibu kila kitu na nchi isitawalike.

Hamkufikiria mpaka dakika hii hali ya watanzania ingekuwaje kiuchumi, yale machafuko mliyoandaa tarehe 9 desemba yalibuma kwa sababu watu walishafahamu kwamba mnalo lengo la kuuharibu kabisa uchumi wa Tanzania, mlitaka nchi ifanane na Somalia ya miaka ya nyuma.

Ule ulikuwa ushenzi kupita maelezo.
 
Kama alikuwa anapendwa na watanzania kuliko kawaida kwanini alipora uchaguzi wa 2020?
 
Kuna watu na sehemu za kuzungumza lugha ya kiungwana lakini siyo kwa CCM na machawa wa CCM. Kama mngekuwa waungwana mngekemea mauaji ya 29oct.
Mngekemea utekaji, mauaji na ufiraji unaofanywa na makundi ya watekaji wa serikali ya CCM.
Mngekemea uhuni unaofanywa na tume na vyombo vinavyosimamia uchaguzi kutotoa haki kwa watanzania wa vyama vya upinzani.
Mngekemea polisi wasivyotenda haki na kupiga, kuua na kutofuata sheria dhidi ya wapinzani.
Mngekemea DPP na mahakama kuwafungulia kesi za mchongo viongozi na wanachama wa CHADEMA kwa manufaa ya CCM.

Hadi mbadilike muonyeshe uungwana na kuheshimu haki za msingi za raia nchini.

CCM ni chama Dola hakuna wanachama hao unayosema, na kama lingekuwa na wanachama hao kisingeiba kura, kuteka na kuua wapinzani wake, kukataa uchaguzi huru na haki na kutumia polisi na mahakama kukandamiza wapinzani wake.

Mfumo wa maisha? Hujitambui au umechanganyikiwa, enzi za TANU kilipokuwa chama kimoja mfumo wa wajumbe kumi kwenye shina nk walitumia mfumo huu, lakini baada ya mfumo wa vyama vingi haupo.

Na CCM haipo kwenye mioyo ya walio wengi, jaribuni kufanya uchaguzi huru na haki mtapigwa saa mbili asubuhi. Sasa hii kweli utakuja na upotoshaji kutetea uongo halafu unataka uungwana.
Ukija na ujinga wako wa uchawa utakuwa unapakatwa.
 
Hapo ndipo hoja yangu ya kuwa machawa MNAPAKATWA inapopata nguvu. Mlitumia rubber bullets? Mlitumia water cannon mkashindwa? Why jumping to use live bullets kwa vijana wasiokuwa na silaha?

Maandamano hayajaanza Tanzania, USA walioandamana na kuharibu mali ni wangapi waliuliwa? Nakukumbusha maandamano yaliyosababishwa na kuuliwa kwa George Floyd, njoo ukatae kwa sababu umeamua kusaliti jamii yako huwezi shindwa kusaliti jinsia yako.
Machawa MNAPAKATWA
Tanzania ni yetu sote
 
Kuhusu rubber bullets ungeongea na watu wa kikosi maalum.
Hao watu wa kikosi maalum ndio wauaji unawatetea humu mpuuzi wewe.
Kuna sababu gani jumuia za kimataifa, ICC kufungua uchunguzi wa matukio ya wakati na baada ya uchaguzi?
Mliwateka akina Mwangi na Agnes mkawafira mnalitia aibu taifa letu na mnadiriki kuja kutetea?
Machawa MNAPAKATWA
 
Angalia kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa2019 na 2020 uchaguzi alikuwa ni Magufuli aliyeanzisha wizi wa kura wa kiwango cha juu.

Magufuli ni benchmark ya uhalifu huu wa SAMIA, apotelee mbali huko kuzimu nani aliyesema ataufuta upinzani kabla ya 2020? Aliyeanza kuzuia shughuli za kisiasa za CHADEMA?

Majuha tu watamsifia
 
Kabisa, alikuwa mpuuzi tu. Alikuwa analazimisha ionekane fedha za nchi ni zake, na kuleta maendeleo ni hisani yake na sio wajibu wa serekali.
 
Hakika
Adui wa Magufuli hakuwa Chadema Wala Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…