Wengi mnatokwa povu tu ila huu ndio ukweli wa kwanini SA imeamua kutetea haki za wapalestina kwa kufungua kesi ya mauaji ya kimbari dhidi Israel

Hiyo njia ya hatari waliyoitumia ndiyo imewaponza.
"Nikanyage kwa bahati mbaya nikulipue kwa makusudi"😁😁😁😁😁
 
Upuuzi mtupu.
Hao wapelestina sina msaada nao.
Kinachotokea Gaza ndicho walichokuwa wanakitafuta na wamekipata😁😁😁😁😁
Umeenda Israel, umeua na kuteka raia kisha wengine ukachukua mateka na kwenda nao Gaza. Ulitaka Israel ifanye nini zidi ya huu udhalimu? Sina msaada na wapelestina, mchuma janga hula na wa kwao.
Siwezi kuwaonea huruma wapelestina kwasababu ndicho walichokitafuta
 
Point naunga mkono hoja
 
Hawa watu historia yao ndio inayowasapoti. Sio mara ya kwanza kutawanyika na kurudi. Na dini yao sio kama dini nyingine wao dini yao ni yao sio kwaajili ya race nyingine. Kilichotokea ni kuwa kuendana na muda wa waliokaa mfano. Kama myahudi aliekaa Ethiopia miaka Karibu 2000 inamaana kashatengeneza utamaduni wake huko wa kieneo lakini kitu ambacho hawa jamaa hawatofautian ni dini na kule kutosahau Jerusalem. Wao miaka yote wanaamin kuna siku watarud Jerusalem. Ni kama mhindi unaemuona bongo hapa. Unakuta wahindi wametawanyika kila Mahali lakini hawaachi ule uhindi popote ukimkuta mhindi anabaki mhindi.anaweza akawa kakulia hapa au kenya au Canada nk bado anabaki mhindi. So hawa jamaa history inawabeba tatizo tuko kwenye dunia nyingine ila wanachokifanya leo hii na wao walifanyiwa hivyo hivyo wakanyang'anywa nchi yao wakatawanyika waliobaki ni wale wasiojiweza. Ndio maana Saladin alikubali kuwaacha waendelee na dini yao hapo Mahali.
 
SA inajiamini katika hili, na wanajua wanachokifanya. Lazima Israel waombe poo
Wale wanasheria wa SA tungekua tunawatumia hakuna Nchi ingekamata ndege zetu au kulipa hela kihuni tuu..SA kwa sheria wana balaa sana..
 
Mkuu mbona unajivisha vyeo eti huna msaada na Palestina lini ulikua na msaada nao...
 
Hiyo njia ya hatari waliyoitumia ndiyo imewaponza.
"Nikanyage kwa bahati mbaya nikulipue kwa makusudi"😁😁😁😁😁
Wahusika wenyewe njia hiyo haijawaponza, ingekuwa imewaponza basi leo hii wangekuwa washaangamizwa wote na mateka wangekuwa washaokolewa.

Lakini kwa vile nchi nzima yenye jeshi zaidi ya milioni 1, jumlisha askari wa akiba wote wameingia vitani na midege yao, mivifaru yao, mimeli yao ya kivita na manuari ya kijeshi ya Marekani juu imeingia kuwasaidia kupambana na vijana wasiozidi elf 20 tu kwa zaidi ya miezi mitatu na bado hawajafanikiwa kuokoa mateka hata mmoja basi tukubali kwamba jeshi hilo limeshindwa kazi.

Jeshi halina weledi, halina mbinu za kivita wala uwezo wa kiintelejensi kujua kwamba watumie wingi wa jeshi lao, misilaha yao kupata namna ya kuwaokoa ndugu zao waliotekwa.

Labda kama unamaanisha walioponzwa ni watoto wachanga wasiokuwa na hatia, kina mama na waandishi wa habari ambao wote sio wahusika wa utekaji. Jeshi limekosa mbinu hadi kufikia hatua ya kutumia midege na mivifaru kupiga makombora makaburi ya watu ambao wameshawauwa kitambo πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚
 
Sawa.
Hamas imeshikilia mateka ambao ni raia wa Israel na Gaza kuna raia ambao ni wapelestina😁😁😁😁😁😁
Hapo hakijaharibika kitu😁😁😁😁😁😁.
 
saoth afrika yupo kwa faida ya bandari na bahari umesikia malysia kaunga mkono palestina
Umeandika upuuzi kijana. Ndomaana nilitoa angalizo mapema kuwa ni vizuri uzi huu ukachangiwa na watu wenye akili timamu, ambao watatumia akili ku comment badala ya mihemko.

Unaposema et mbona Malaysia haiiungi mkono unashindwa kutumia akili kuwa kuunga au kuungwa mkono ni swala la msimamo binafsi kama nchi, kundi au mtu. Kuna watu wanapata matatizo mpaka ya kutaka kupoteza uhai, lakini unakuta ndugu zao wapo na hawawasaidii mpaka labda pale wataposikia amekufa ndo wajitokeze kutoa hela ya kutoa maiti monchwari, kununua sanduku au sanda, kuchimbisha kaburi, kuwalisha watu wali msibani nk.

Hizo gharama wanazifanya baada ya mtu kufariki, lakini unakuta alipokuwa hai anashida au anaumwa ndugu hao walishindwa kumsaidia.pengine mtu au watu baki ndo walijitokeza kumsaidia huku ndugu wakikwepa. So haya ni mambo ya kawaida sana katika jamii. Unaweza kupiganiwa na nchi au mtu ambae wala hamna ukaribu nae.

Hata Tz tulitoa msaada mkubwa mno kwa SA kuliko ule uliotolewa na majirani zake, je unataka kusema kuwa Nyerere alitumia utu ule au msaada ule ili aje apewe kitu na SA?
 
Wale wanasheria wa SA tungekua tunawatumia hakuna Nchi ingekamata ndege zetu au kulipa hela kihuni tuu..SA kwa sheria wana balaa sana..
Ni kweli brother πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mkuu mbona unajivisha vyeo eti huna msaada na Palestina lini ulikua na msaada nao...
Hata mimi namshangaa kijana anavyopayuka utafikiri aliombwa msaada. Hao wanaopata msaada kutoka Marekani tu wameishia kuuwa watoto, wanawake na vikongwe huku mateka wakishindwa kuwakomboa.
 
Sawa.
Hamas imeshikilia mateka ambao ni raia wa Israel na Gaza kuna raia ambao ni wapelestina😁😁😁😁😁😁
Hapo hakijaharibika kitu😁😁😁😁😁😁.
Dah mwl Nyerere alijaribu kufuta ujinga ili na sisi angalau tuwe kama Kenya au Uganda lakini wapi.

Yani mtu unashindwa kujua Gaza ipo wapi, na unashindwa kujua mateka wanaoshikiliwa ni wa nchi gani.

Gaza ni mkoa kama ilivyo Kilimanjaro na Palestina ni nchi kama ilivyo Tanzania.

Pia Hamas haiwashilii ndugu zao mateka maana inapigania haki zao kama anc ilivyopigania haki za wa SA. Hamas inawashikilia mateka raia wa Israel, Marekani, UK
 
Hata mimi namshangaa kijana anavyopayuka utafikiri aliombwa msaada. Hao wanaopata msaada kutoka Marekani tu wameishia kuuwa watoto, wanawake na vikongwe huku mateka wakishindwa kuwakomboa.
Nchi tunayotegemea misaada kutoka Nje harafu nae mwanajiji atoe msaada wawapi?
 
Wewe uliyefuta ujinga umetengeneza nini mpaka sasa? Kama Gaza ni sawa na mkoa wa Kilimanjaro na Israel haijui walipo sasa hayo maandamano ya ICJ na wavaa kobazi wengine ya nini
? Mkae kwa kutulia
*Kama Hamas wanapigania haki si wangetangaza vita😁😁😁😁😁
Ungewashauri waislamu wafute ujinga wa kutokuwa na chuo kikuu kimoja na hawana hospital hata moja Tanzania😁😁😁😁
 
Kijana inaonekana elimu yako ni ndogo sana yani ile ya kujua kuandika na kusoma tu basi.

Kwa akili za kawaida unaombaje vita na nchi inayotegemewa kusaidiwa kupambana vita na nchi nyingine. Ugomvi ni wa Israel na Hamas lakini Marekani na washirika wake washakimbilia kuisadia Israel silaha na pesa ili kupambana na vijana elf 20 tu ambao hawana hata kifaru.

Kama wao wanaiamini Israel walitakiwa waache wapambane wenyewe mpaka pale atakaeshindwa ndo aombe msaada. Lakini kukimbilia kuisaidia Israel kupambana na vijana ambao hawana jeshi ni sawa sawa uende kumsadia mjomba wako kupambana na dogo wa miaka 8 nyumbani kwao alaf bila aibu uje useme eti mmemchakaza dogo, huku mlichokifata (mateka wenu) hamjawapata πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wewe ni yanga unaomba mechi na simba. Kabla mchezo haujaanza unashtukia timu ya azam, mtibwa na nyinginezo zinakuja kuisadia simba katika mechi hiyo hiyo moja. Wewe kama ni kocha wa yanga utakaa usubiri mechi hiyo? Yani timu tatu zicheze na timu moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa vile nimegundua kuwa najadiliana na mtu mwenye uelewa finyu basi hii ndio comment yangu ya mwisho kwako. Nita comment kwa watu wengine lakini sio kwako. Maana lengo sio kujadili mada but lengo ni kuwaingiza hata wale ambao hawahusiki kutokana na chuki zako za kidini.

Toka tumeanza kujadiliana mimi na wewe sijataja dini ya mtu, lakini pia sio kila anaezungumzia unyama wa waisrael ni muislamu. Binafsi mimi siamini katika dini kwa sababu zililetwa kwa malengo maalumu. Ndio maana waliozileta wengi wao hawana mpango nazo. China, Russia, India zipo mbali baada ya kushtuka mapema na kuachana na mifumo ya dini hizo. Angalia maendeleo ya China yanashinda maendeleo ya Israel, Italy (roma) Saudi Arabia nk. Kama wangefia dini, pengine leo hii tungeendelea kulingana nao kama miaka ile ya 70.

Dini ya kiislamu ndio inashika nafasi ya pili kwa ukubwa nchini Israel, ya kwanza ni dini ya kiyahudi. Wakristo, wahindu, budha nk ni wachache sana huko Israel Google inadhibitiwa na Wamarekani lakini uki google itakwambia ukweli huu huu ninaokwambia.

Tukienda Palestina, dini ya kikristo inashika nafasi ya pili kwa ukubwa. Dini inayoshika nafasi ya kwanza ni Uslamu, alafu ndio zinafuata uyahudi, budha, hindu nk. Hivyo hizo nchi zote zina waislam na wakristo. Kuna waislam waisrael hao unaweza kuta wanatetea taifa lao la Israel na kuna wakristo wapalestina au wayahudi hao unakuta pia wanatetea wapalestina wenzao.

Hivyo kutetea nchi au jambo aimaanishi kuwa wewe ni kabila, nchi au dini ya wale unaowatetea. SA asilimia 95 ni wakristo lakini wamesimama na wapalestina, mwl Nyerere ambae anakaribia kutangazwa mtakatifu na kanisa katoliki pia alikuwa anasimama upande wa Palestina.

Kuna wanasiasa wakubwa tena wazungu huko Marekani pia wanasimama upande wa Palestina. Tatizo linakuwa kwenye media ambazo nyingi zinakuwa upande wa wakubwa wa magharibi hivyo hao wengine wachache wenye kutetea hawawezi kuoneshwa mara zote misimamo yao.

Hiyo picha ya juu ni ya seneta wa Marekani mzungu ambae miaka yote amekuwa akitetea haki za wapalestina sidhani kama wewe unau elewa zaidi wa Israel kuliko huyo seneta, kuliko Nyerere, kuliko SA nk na wote ni Christians.

Hapo chini ni picha ya raisi wa China akiwazungumzia nyie wayahudi wa bonyokwa wenye viraka na vizaka miguuni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, na watanzania wenzenu wavaa kobaz wa Lindi mnavyopambana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya dini ambazo hamjui ukweli halisi wa chimbuko lake zaidi ya kulishwa matango pori kupitia vitabu nk.

Raisi wa China katupa jiwe gizani hapo chini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwaheri myahudi wa bonyokwa 🀚
 

Attachments

  • Screenshot_20240108-110757.jpg
    68.3 KB · Views: 2
  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    67.3 KB · Views: 4
Ndiyo matatizo ya kuwa mfuasi wa mtu ambaye alikuwa hajui kusoma na kuandika na alioa binti wa miaka 9 ambapo kwa sheria ya sasa ni mbakaji.
Kweli wewe ni msemaji wa kikundi cha kigaidi cha kiislamu cha Hamas na mwaarabu mweusi wa Buza lazima utetee ujinga 😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…