Wengi mnatokwa povu tu ila huu ndio ukweli wa kwanini SA imeamua kutetea haki za wapalestina kwa kufungua kesi ya mauaji ya kimbari dhidi Israel

Wengi mnatokwa povu tu ila huu ndio ukweli wa kwanini SA imeamua kutetea haki za wapalestina kwa kufungua kesi ya mauaji ya kimbari dhidi Israel

Kwani chanzo cha mauaji ni Israel kuchokozwa au wale wanaokaliwa kimabavu kujaribu kutafuta njia nyingine ya kuwashinikiza wale wanaowakalia kimabavu wajue kwamba na wao wanaweza kutumia njia hata ya hatari kwao kupigania haki zao na uhuru wao.

Ni mara ngapi waisrael wamekuwa wakiendelea na ujenzi katika makazi ya wapestina, kuvamia nyumba zao usiku, kukamata vijana wadogo bila sababu na wale waliojaribu kuandamana ili kutaka dunia ifahamu kile wanachopitia wanajikuta wanaishia kupigwa risasi mchana kweupe wanajeruhiwa na wengine kuuwawa.

Hii ni sawa na yale waliokutana nayo wa Afrika kusini enzi za utawala wa wazungu. Yani wenye kudai haki zao ndo wanapewa jina la magaidi. Huku wale wanaowanyanganya wenzao haki zao na kuwatesa i mean makaburu na waisrael wakijiita wastaraabu.
Hiyo njia ya hatari waliyoitumia ndiyo imewaponza.
"Nikanyage kwa bahati mbaya nikulipue kwa makusudi"😁😁😁😁😁
 
Upuuzi mtupu.
Hao wapelestina sina msaada nao.
Kinachotokea Gaza ndicho walichokuwa wanakitafuta na wamekipata😁😁😁😁😁
Umeenda Israel, umeua na kuteka raia kisha wengine ukachukua mateka na kwenda nao Gaza. Ulitaka Israel ifanye nini zidi ya huu udhalimu? Sina msaada na wapelestina, mchuma janga hula na wa kwao.
Siwezi kuwaonea huruma wapelestina kwasababu ndicho walichokitafuta
 
Acha kuandika upuuzi ndugu yangu, kama wangekuwa hawawataki leo hii nchi ile ingakuwa haina mgeni mweusi hata mmoja.

Kila nchi huwa na vijana wa hovyo kama panya road ambao huanzisha kizaa zaa kwa lengo la kupora, kuuwa, kujeruhi nk. Haya tunayaona hata hapa kwetu panya road watanzania lakini wanavamia nyumba za watu usiku wanajeruhi na hata kuuwa watanzania wenzetu. Sasa hilo nalo tusemeje?

Kama serikali ingekuwa haiwataki hao uliosema basi ingeanzisha operation maalumu madukani, mabarabarani, majumbani, kwenye mabasi nk. Lakini pia wasingejichosha kuwazuia raia wao kuwapiga wageni maana ingekuwa kama wamewarahisishia ya kuwatoa wageni. Za kuambiwa changanya na zako.

Kuhusu swala la Putin hata mimi ningekuwa raisi nisingemshika. Haiwezekani sheria zitumike upande mmoja na kuacha upande mungine.

Aliekuwa raisi wa Marekani ndugu George W Bush aliwahi kuivamia Iraq na kuuwa watoto, kina mama na watu wasiokuwa na hatia kwa kisingizio kuwa anaenda kutafuta silaha ambazo Umoja wa mataifa walienda kukagua na kusema kuwa hamna silaha, lakini Bush alipuuza walichoongea wataalam wa Umoja wa mataifa na badala yake akaenda kuivamia nchi hiyo kwa sababu anazojua mwenyewe.

Sasa mpaka vita vimeisha hakuwahi kukuta silaha, ameuwa watu, wengine amewaacha vilema, wengine hawana makazi tena alafu cha kushangaza mpaka leo bado anadunda na kupanga mpango wa kumkamata mwenzao kwa kufikiri kuwa yeye ni mnyonge.

Hivyo mimi nafikiri angeanza kwanza kukamatwa Bush alafu ndio afuatie Putin.
Point naunga mkono hoja
 
Hapa nakubaliana na wewe mkuu

Kwa vile Jews ni mchanganyiko wa race kutoka mataifa yote, basi ulitakiwa useme kuwa dini au imani hiyo ya Jews ilianzishwa nchini Israel na sio kwamba wote taifa ni Israel, maana hiyo ni dini kama ilivyo Ukristo na Uislam. Mfano Tanzania kuna wakristo wa dhehebu la Roma, lakini utaifa wao ni watanzania na sio waroma au waisrael ambapo inasemekana imani hiyo ya Kikristo ndipo ilipoanzia.

Vilevile hauwezi kuwapa waislam wa Tanzania au Kenya kuna utaifa wa Saudi Arabia kisa dini wanayoamini imeanzishwa nchini huko.

Hivyo unavyosema kuwa Jews au wayahudi taifa la ni Israel unakosea maana ushakiri mwenyewe kuwa kuna ambao sio waisrael, umesema kuna waithiopia, wamisri nk.

Hii ndo nimejibu hapo juu

Kwa vile umejibu vizuri swali langu kuwa wayahudi wapo wa race tofauti basi haina haja ya kubisha kuwa kina Netanyahu wanaweza kuwa wayahudi wenye asili ya kizungu. Kama wazungu haswa waingereza waliweza kwenda Marekani kusaka rasilimali za huko America kwa njia walizozijua wao, wakatawala na baadae kupigana wenyewe kwa wenyewe na kupelekea baadhi yao kuanzisha taifa la Marekani, kama wazungu waingereza waliweza kwenda kusaka rasilimali Canada, New Zealand, Australia, South Africa, Zimbabwe, Kenya, Ghana, Nigeria wakaingia katika hizo nchi kwa njia wanazozijua wao, wakatawala na wengine kubaki na kutengeneza mataifa kama New Zealand, Canada nk, je wanaweza kushindwa kuingia Israel kupitia mgongo wa wayahudi na kufanya nchi yao?

Kwa vile ni vigumu kupima DNA ni nani anaeweza kuthibitisha kuwa mtu aina ya Netanyahu ni myahudi wa asili ya Israel? Dunia ya leo haswa kwa wenzetu wazungu ambao wako tayari kufanya lolote au chochote kwa masilahi ya nchi zao usishangae kina Netanyahu wakatengenezwa toka wakiwa shuleni ili waje wajifanye wayahudi kwa malengo maalumu ya wanaomtuma.

Katika msafara wa mamba kenge nao wapo. Ukute ile mission iliyoongozwa na UK kuwarudisha waisrael nchini hapo ndio imetumiwa njia ya kupenyeza watu wao kwa sababu ya masilahi yao.
Hawa watu historia yao ndio inayowasapoti. Sio mara ya kwanza kutawanyika na kurudi. Na dini yao sio kama dini nyingine wao dini yao ni yao sio kwaajili ya race nyingine. Kilichotokea ni kuwa kuendana na muda wa waliokaa mfano. Kama myahudi aliekaa Ethiopia miaka Karibu 2000 inamaana kashatengeneza utamaduni wake huko wa kieneo lakini kitu ambacho hawa jamaa hawatofautian ni dini na kule kutosahau Jerusalem. Wao miaka yote wanaamin kuna siku watarud Jerusalem. Ni kama mhindi unaemuona bongo hapa. Unakuta wahindi wametawanyika kila Mahali lakini hawaachi ule uhindi popote ukimkuta mhindi anabaki mhindi.anaweza akawa kakulia hapa au kenya au Canada nk bado anabaki mhindi. So hawa jamaa history inawabeba tatizo tuko kwenye dunia nyingine ila wanachokifanya leo hii na wao walifanyiwa hivyo hivyo wakanyang'anywa nchi yao wakatawanyika waliobaki ni wale wasiojiweza. Ndio maana Saladin alikubali kuwaacha waendelee na dini yao hapo Mahali.
 
SA inajiamini katika hili, na wanajua wanachokifanya. Lazima Israel waombe poo
Wale wanasheria wa SA tungekua tunawatumia hakuna Nchi ingekamata ndege zetu au kulipa hela kihuni tuu..SA kwa sheria wana balaa sana..
 
Hao wapelestina sina msaada nao.
Kinachotokea Gaza ndicho walichokuwa wanakitafuta na wamekipata😁😁😁😁😁
Umeenda Israel, umeua na kuteka raia kisha wengine ukachukua mateka na kwenda nao Gaza. Ulitaka Israel ifanye nini zidi ya huu udhalimu? Sina msaada na wapelestina, mchuma janga hula na wa kwao.
Siwezi kuwaonea huruma wapelestina kwasababu ndicho walichokitafuta
Mkuu mbona unajivisha vyeo eti huna msaada na Palestina lini ulikua na msaada nao...
 
Hiyo njia ya hatari waliyoitumia ndiyo imewaponza.
"Nikanyage kwa bahati mbaya nikulipue kwa makusudi"😁😁😁😁😁
Wahusika wenyewe njia hiyo haijawaponza, ingekuwa imewaponza basi leo hii wangekuwa washaangamizwa wote na mateka wangekuwa washaokolewa.

Lakini kwa vile nchi nzima yenye jeshi zaidi ya milioni 1, jumlisha askari wa akiba wote wameingia vitani na midege yao, mivifaru yao, mimeli yao ya kivita na manuari ya kijeshi ya Marekani juu imeingia kuwasaidia kupambana na vijana wasiozidi elf 20 tu kwa zaidi ya miezi mitatu na bado hawajafanikiwa kuokoa mateka hata mmoja basi tukubali kwamba jeshi hilo limeshindwa kazi.

Jeshi halina weledi, halina mbinu za kivita wala uwezo wa kiintelejensi kujua kwamba watumie wingi wa jeshi lao, misilaha yao kupata namna ya kuwaokoa ndugu zao waliotekwa.

Labda kama unamaanisha walioponzwa ni watoto wachanga wasiokuwa na hatia, kina mama na waandishi wa habari ambao wote sio wahusika wa utekaji. Jeshi limekosa mbinu hadi kufikia hatua ya kutumia midege na mivifaru kupiga makombora makaburi ya watu ambao wameshawauwa kitambo 😀😀😀😂
 
Sawa.
Hamas imeshikilia mateka ambao ni raia wa Israel na Gaza kuna raia ambao ni wapelestina😁😁😁😁😁😁
Hapo hakijaharibika kitu😁😁😁😁😁😁.
 
saoth afrika yupo kwa faida ya bandari na bahari umesikia malysia kaunga mkono palestina
Umeandika upuuzi kijana. Ndomaana nilitoa angalizo mapema kuwa ni vizuri uzi huu ukachangiwa na watu wenye akili timamu, ambao watatumia akili ku comment badala ya mihemko.

Unaposema et mbona Malaysia haiiungi mkono unashindwa kutumia akili kuwa kuunga au kuungwa mkono ni swala la msimamo binafsi kama nchi, kundi au mtu. Kuna watu wanapata matatizo mpaka ya kutaka kupoteza uhai, lakini unakuta ndugu zao wapo na hawawasaidii mpaka labda pale wataposikia amekufa ndo wajitokeze kutoa hela ya kutoa maiti monchwari, kununua sanduku au sanda, kuchimbisha kaburi, kuwalisha watu wali msibani nk.

Hizo gharama wanazifanya baada ya mtu kufariki, lakini unakuta alipokuwa hai anashida au anaumwa ndugu hao walishindwa kumsaidia.pengine mtu au watu baki ndo walijitokeza kumsaidia huku ndugu wakikwepa. So haya ni mambo ya kawaida sana katika jamii. Unaweza kupiganiwa na nchi au mtu ambae wala hamna ukaribu nae.

Hata Tz tulitoa msaada mkubwa mno kwa SA kuliko ule uliotolewa na majirani zake, je unataka kusema kuwa Nyerere alitumia utu ule au msaada ule ili aje apewe kitu na SA?
 
Mkuu mbona unajivisha vyeo eti huna msaada na Palestina lini ulikua na msaada nao...
Hata mimi namshangaa kijana anavyopayuka utafikiri aliombwa msaada. Hao wanaopata msaada kutoka Marekani tu wameishia kuuwa watoto, wanawake na vikongwe huku mateka wakishindwa kuwakomboa.
 
Sawa.
Hamas imeshikilia mateka ambao ni raia wa Israel na Gaza kuna raia ambao ni wapelestina😁😁😁😁😁😁
Hapo hakijaharibika kitu😁😁😁😁😁😁.
Dah mwl Nyerere alijaribu kufuta ujinga ili na sisi angalau tuwe kama Kenya au Uganda lakini wapi.

Yani mtu unashindwa kujua Gaza ipo wapi, na unashindwa kujua mateka wanaoshikiliwa ni wa nchi gani.

Gaza ni mkoa kama ilivyo Kilimanjaro na Palestina ni nchi kama ilivyo Tanzania.

Pia Hamas haiwashilii ndugu zao mateka maana inapigania haki zao kama anc ilivyopigania haki za wa SA. Hamas inawashikilia mateka raia wa Israel, Marekani, UK
 
Hata mimi namshangaa kijana anavyopayuka utafikiri aliombwa msaada. Hao wanaopata msaada kutoka Marekani tu wameishia kuuwa watoto, wanawake na vikongwe huku mateka wakishindwa kuwakomboa.
Nchi tunayotegemea misaada kutoka Nje harafu nae mwanajiji atoe msaada wawapi?
 
Dah mwl Nyerere alijaribu kufuta ujinga ili na sisi angalau tuwe kama Kenya au Uganda lakini wapi.

Yani mtu unashindwa kujua Gaza ipo wapi, na unashindwa kujua mateka wanaoshikiliwa ni wa nchi gani.

Gaza ni mkoa kama ilivyo Kilimanjaro na Palestina ni nchi kama ilivyo Tanzania.

Pia Hamas haiwashilii ndugu zao mateka maana inapigania haki zao kama anc ilivyopigania haki za wa SA. Hamas inawashikilia mateka raia wa Israel, Marekani, UK
Wewe uliyefuta ujinga umetengeneza nini mpaka sasa? Kama Gaza ni sawa na mkoa wa Kilimanjaro na Israel haijui walipo sasa hayo maandamano ya ICJ na wavaa kobazi wengine ya nini
? Mkae kwa kutulia
*Kama Hamas wanapigania haki si wangetangaza vita😁😁😁😁😁
Ungewashauri waislamu wafute ujinga wa kutokuwa na chuo kikuu kimoja na hawana hospital hata moja Tanzania😁😁😁😁
 
Mnatetea ujinga wa Hamas. Wangekuwa wameshachoka na udhalimu wa Israel wangetangaza vita, wakabaki wanaume wanapambana kwenye uwanja wa vita.
Wanaume wamewatangazia vita wamekimbilia kwenye mishimo kama Panya nilitegemea wangekaa mpakani mwa Gaza na Israel kulizuia jeshi la Israel lisingeingie Gaza.
Umechoka unaenda kuteka wanawake na watoto na kuua halafu ukitumiwa kipimo hicho hicho unalalamika😁😁😁😁
Watangaze vita kama wanaume tuwaone😁😁😁😁😁😁
Kundi la kigaidi la kiislamu la Houthi limepelekewa moto😁😁😁😁
Kijana inaonekana elimu yako ni ndogo sana yani ile ya kujua kuandika na kusoma tu basi.

Kwa akili za kawaida unaombaje vita na nchi inayotegemewa kusaidiwa kupambana vita na nchi nyingine. Ugomvi ni wa Israel na Hamas lakini Marekani na washirika wake washakimbilia kuisadia Israel silaha na pesa ili kupambana na vijana elf 20 tu ambao hawana hata kifaru.

Kama wao wanaiamini Israel walitakiwa waache wapambane wenyewe mpaka pale atakaeshindwa ndo aombe msaada. Lakini kukimbilia kuisaidia Israel kupambana na vijana ambao hawana jeshi ni sawa sawa uende kumsadia mjomba wako kupambana na dogo wa miaka 8 nyumbani kwao alaf bila aibu uje useme eti mmemchakaza dogo, huku mlichokifata (mateka wenu) hamjawapata 😂😂😂😂

Wewe ni yanga unaomba mechi na simba. Kabla mchezo haujaanza unashtukia timu ya azam, mtibwa na nyinginezo zinakuja kuisadia simba katika mechi hiyo hiyo moja. Wewe kama ni kocha wa yanga utakaa usubiri mechi hiyo? Yani timu tatu zicheze na timu moja 😂😂😂
 
Wewe uliyefuta ujinga umetengeneza nini mpaka sasa? Kama Gaza ni sawa na mkoa wa Kilimanjaro na Israel haijui walipo sasa hayo maandamano ya ICJ na wavaa kobazi wengine ya nini
? Mkae kwa kutulia
*Kama Hamas wanapigania haki si wangetangaza vita😁😁😁😁😁
Ungewashauri waislamu wafute ujinga wa kutokuwa na chuo kikuu kimoja na hawana hospital hata moja Tanzania😁😁😁😁
Kwa vile nimegundua kuwa najadiliana na mtu mwenye uelewa finyu basi hii ndio comment yangu ya mwisho kwako. Nita comment kwa watu wengine lakini sio kwako. Maana lengo sio kujadili mada but lengo ni kuwaingiza hata wale ambao hawahusiki kutokana na chuki zako za kidini.

Toka tumeanza kujadiliana mimi na wewe sijataja dini ya mtu, lakini pia sio kila anaezungumzia unyama wa waisrael ni muislamu. Binafsi mimi siamini katika dini kwa sababu zililetwa kwa malengo maalumu. Ndio maana waliozileta wengi wao hawana mpango nazo. China, Russia, India zipo mbali baada ya kushtuka mapema na kuachana na mifumo ya dini hizo. Angalia maendeleo ya China yanashinda maendeleo ya Israel, Italy (roma) Saudi Arabia nk. Kama wangefia dini, pengine leo hii tungeendelea kulingana nao kama miaka ile ya 70.

Dini ya kiislamu ndio inashika nafasi ya pili kwa ukubwa nchini Israel, ya kwanza ni dini ya kiyahudi. Wakristo, wahindu, budha nk ni wachache sana huko Israel Google inadhibitiwa na Wamarekani lakini uki google itakwambia ukweli huu huu ninaokwambia.

Tukienda Palestina, dini ya kikristo inashika nafasi ya pili kwa ukubwa. Dini inayoshika nafasi ya kwanza ni Uslamu, alafu ndio zinafuata uyahudi, budha, hindu nk. Hivyo hizo nchi zote zina waislam na wakristo. Kuna waislam waisrael hao unaweza kuta wanatetea taifa lao la Israel na kuna wakristo wapalestina au wayahudi hao unakuta pia wanatetea wapalestina wenzao.

Hivyo kutetea nchi au jambo aimaanishi kuwa wewe ni kabila, nchi au dini ya wale unaowatetea. SA asilimia 95 ni wakristo lakini wamesimama na wapalestina, mwl Nyerere ambae anakaribia kutangazwa mtakatifu na kanisa katoliki pia alikuwa anasimama upande wa Palestina.

Kuna wanasiasa wakubwa tena wazungu huko Marekani pia wanasimama upande wa Palestina. Tatizo linakuwa kwenye media ambazo nyingi zinakuwa upande wa wakubwa wa magharibi hivyo hao wengine wachache wenye kutetea hawawezi kuoneshwa mara zote misimamo yao.

Hiyo picha ya juu ni ya seneta wa Marekani mzungu ambae miaka yote amekuwa akitetea haki za wapalestina sidhani kama wewe unau elewa zaidi wa Israel kuliko huyo seneta, kuliko Nyerere, kuliko SA nk na wote ni Christians.

Hapo chini ni picha ya raisi wa China akiwazungumzia nyie wayahudi wa bonyokwa wenye viraka na vizaka miguuni 😂😂😂, na watanzania wenzenu wavaa kobaz wa Lindi mnavyopambana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya dini ambazo hamjui ukweli halisi wa chimbuko lake zaidi ya kulishwa matango pori kupitia vitabu nk.

Raisi wa China katupa jiwe gizani hapo chini 😂😂😂😂

Kwaheri myahudi wa bonyokwa 🤚
 
Attachments

  • Screenshot_20240108-110757.jpg
    Screenshot_20240108-110757.jpg
    68.3 KB · Views: 2
  • 13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    13820411_474e176b5f9b4f73a0efd5c863b1537b_jpeg9007ab240faecd3b84b2d425535ccbd1.jpeg
    67.3 KB · Views: 4
Kwa vile nimegundua kuwa najadiliana na mtu mwenye uelewa finyu basi hii ndio comment yangu ya mwisho kwako. Nita comment kwa watu wengine lakini sio kwako. Maana lengo sio kujadili mada but lengo ni kuwaingiza hata wale ambao hawahusiki kutokana na chuki zako za kidini.

Toka tumeanza kujadiliana mimi na wewe sijataja dini ya mtu, lakini pia sio kila anaezungumzia unyama wa waisrael ni muislamu. Binafsi mimi siamini katika dini kwa sababu zililetwa kwa malengo maalumu. Ndio maana waliozileta wengi wao hawana mpango nazo. China, Russia, India zipo mbali baada ya kushtuka mapema na kuachana na mifumo ya dini hizo. Angalia maendeleo ya China yanashinda maendeleo ya Israel, Italy (roma) Saudi Arabia nk. Kama wangefia dini, pengine leo hii tungeendelea kulingana nao kama miaka ile ya 70.

Dini ya kiislamu ndio inashika nafasi ya pili kwa ukubwa nchini Israel, ya kwanza ni dini ya kiyahudi. Wakristo, wahindu, budha nk ni wachache sana huko Israel Google inadhibitiwa na Wamarekani lakini uki google itakwambia ukweli huu huu ninaokwambia.

Tukienda Palestina, dini ya kikristo inashika nafasi ya pili kwa ukubwa. Dini inayoshika nafasi ya kwanza ni Uslamu, alafu ndio zinafuata uyahudi, budha, hindu nk. Hivyo hizo nchi zote zina waislam na wakristo. Kuna waislam waisrael hao unaweza kuta wanatetea taifa lao la Israel na kuna wakristo wapalestina au wayahudi hao unakuta pia wanatetea wapalestina wenzao.

Hivyo kutetea nchi au jambo aimaanishi kuwa wewe ni kabila, nchi au dini ya wale unaowatetea. SA asilimia 95 ni wakristo lakini wamesimama na wapalestina, mwl Nyerere ambae anakaribia kutangazwa mtakatifu na kanisa katoliki pia alikuwa anasimama upande wa Palestina.

Kuna wanasiasa wakubwa tena wazungu huko Marekani pia wanasimama upande wa Palestina. Tatizo linakuwa kwenye media ambazo nyingi zinakuwa upande wa wakubwa wa magharibi hivyo hao wengine wachache wenye kutetea hawawezi kuoneshwa mara zote misimamo yao.

Hiyo picha ya juu ni ya seneta wa Marekani mzungu ambae miaka yote amekuwa akitetea haki za wapalestina sidhani kama wewe unau elewa zaidi wa Israel kuliko huyo seneta, kuliko Nyerere, kuliko SA nk na wote ni Christians.

Hapo chini ni picha ya raisi wa China akiwazungumzia nyie wayahudi wa bonyokwa wenye viraka na vizaka miguuni 😂😂😂, na watanzania wenzenu wavaa kobaz wa Lindi mnavyopambana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya dini ambazo hamjui ukweli halisi wa chimbuko lake zaidi ya kulishwa matango pori kupitia vitabu nk.

Raisi wa China katupa jiwe gizani hapo chini 😂😂😂😂

Kwaheri myahudi wa bonyokwa 🤚
Ndiyo matatizo ya kuwa mfuasi wa mtu ambaye alikuwa hajui kusoma na kuandika na alioa binti wa miaka 9 ambapo kwa sheria ya sasa ni mbakaji.
Kweli wewe ni msemaji wa kikundi cha kigaidi cha kiislamu cha Hamas na mwaarabu mweusi wa Buza lazima utetee ujinga 😁😁😁😁
 
Back
Top Bottom