Wewe uliyefuta ujinga umetengeneza nini mpaka sasa? Kama Gaza ni sawa na mkoa wa Kilimanjaro na Israel haijui walipo sasa hayo maandamano ya ICJ na wavaa kobazi wengine ya nini
? Mkae kwa kutulia
*Kama Hamas wanapigania haki si wangetangaza vita😁😁😁😁😁
Ungewashauri waislamu wafute ujinga wa kutokuwa na chuo kikuu kimoja na hawana hospital hata moja Tanzania😁😁😁😁
Kwa vile nimegundua kuwa najadiliana na mtu mwenye uelewa finyu basi hii ndio comment yangu ya mwisho kwako. Nita comment kwa watu wengine lakini sio kwako. Maana lengo sio kujadili mada but lengo ni kuwaingiza hata wale ambao hawahusiki kutokana na chuki zako za kidini.
Toka tumeanza kujadiliana mimi na wewe sijataja dini ya mtu, lakini pia sio kila anaezungumzia unyama wa waisrael ni muislamu. Binafsi mimi siamini katika dini kwa sababu zililetwa kwa malengo maalumu. Ndio maana waliozileta wengi wao hawana mpango nazo. China, Russia, India zipo mbali baada ya kushtuka mapema na kuachana na mifumo ya dini hizo. Angalia maendeleo ya China yanashinda maendeleo ya Israel, Italy (roma) Saudi Arabia nk. Kama wangefia dini, pengine leo hii tungeendelea kulingana nao kama miaka ile ya 70.
Dini ya kiislamu ndio inashika nafasi ya pili kwa ukubwa nchini Israel, ya kwanza ni dini ya kiyahudi. Wakristo, wahindu, budha nk ni wachache sana huko Israel Google inadhibitiwa na Wamarekani lakini uki google itakwambia ukweli huu huu ninaokwambia.
Tukienda Palestina, dini ya kikristo inashika nafasi ya pili kwa ukubwa. Dini inayoshika nafasi ya kwanza ni Uslamu, alafu ndio zinafuata uyahudi, budha, hindu nk. Hivyo hizo nchi zote zina waislam na wakristo. Kuna waislam waisrael hao unaweza kuta wanatetea taifa lao la Israel na kuna wakristo wapalestina au wayahudi hao unakuta pia wanatetea wapalestina wenzao.
Hivyo kutetea nchi au jambo aimaanishi kuwa wewe ni kabila, nchi au dini ya wale unaowatetea. SA asilimia 95 ni wakristo lakini wamesimama na wapalestina, mwl Nyerere ambae anakaribia kutangazwa mtakatifu na kanisa katoliki pia alikuwa anasimama upande wa Palestina.
Kuna wanasiasa wakubwa tena wazungu huko Marekani pia wanasimama upande wa Palestina. Tatizo linakuwa kwenye media ambazo nyingi zinakuwa upande wa wakubwa wa magharibi hivyo hao wengine wachache wenye kutetea hawawezi kuoneshwa mara zote misimamo yao.
Hiyo picha ya juu ni ya seneta wa Marekani mzungu ambae miaka yote amekuwa akitetea haki za wapalestina sidhani kama wewe unau elewa zaidi wa Israel kuliko huyo seneta, kuliko Nyerere, kuliko SA nk na wote ni Christians.
Hapo chini ni picha ya raisi wa China akiwazungumzia nyie wayahudi wa bonyokwa wenye viraka na vizaka miguuni 😂😂😂, na watanzania wenzenu wavaa kobaz wa Lindi mnavyopambana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya dini ambazo hamjui ukweli halisi wa chimbuko lake zaidi ya kulishwa matango pori kupitia vitabu nk.
Raisi wa China katupa jiwe gizani hapo chini 😂😂😂😂
Kwaheri myahudi wa bonyokwa 🤚