Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

Tatizo la kuparamia ndoa za watu. Alichokula huyo mke wa pili kimetosha, sema tu watoto watafikiriwa kwenye mirathi.
 
hata watoto naona wamekwepa kutaja idadi!....
Bi STELLA tayari kesha zidiwa kete, maana hatambuliki popote, ila uzuri wake yeye ndie alie zaa na ndugai watoto watatu, ila Bi Fatuma hakubahatika kuzaa na Ndugai.
Inawezekana Dr Fatuma ana watoto lakini si Ndugai.

Utashangaa zaidi Watoto wa Dr Fatuma ambao si wa Ndugai wakawa katika nafasi kubwa zaidi kurithi mali za Ndugai.

Hii Dunia itazame taratibu.
 
Asante sana! Huyu evangelical amezidi! Mwelimishe
 
Labda mwamba ATAKUA ameacha wosia kurahisisha.

Mi nikipata mali labda nife ghafla hakutakua na Cha kurithi. Kila mtu nitampa chake nikiwa hai. Hii inaitwa estate planning.....
Hiyo ndio njia nzuri ya kuishi na familia. Unakuta jitu lina mali halafu linakumbatia yote likiwa hai, mtu kama huyo akifa anasabaisha familia isambaratike kwa migogoro ya mali. Ukiwa na hela kila unachokifanya kiattach kwa mwafamilia fulani ikiwa ni mtoto au mke au ndugu ukiwa hai na Kila mtu anakuwa anajua. Rithisha vitu mapema tena kwa uwazi. Wazee wenye busara wanafanya hivyo, unakuta mtu anawake hata 6 watoto zaidi ya 20 na mabilioni ya mali, anakufa anazikwa matanga yanaisha husikii hata minong'ono ya ugomvi kwenye familia yake.
 
Ninazijua sana tena inawezekana nina elimu kulipo wewe .
Mkristo hana ndoa mbili ndoa ni moja tu sheri ipo wazi
 

Attachments

  • Screenshot_20250807_231330_Chrome.jpg
    228.1 KB · Views: 16

Ushahidi mahakamani kama umeachana na mwanamke uliyemuoa ni hati ya talaka ya mahakama .
Tofauti ya hapo huyo ni mkeo.
Halafu wewe jamaa unaonekana kilaza sana na mgumu kuelewa ishu ambazo zipo wazi .
Embu jitahidi uwe unakulakula samaki kuongeza uwezo wako wa kuelewa
 
Mkoa wa njombe wenye waathirika wengi wa HIV una polygamy?
 
Hoja hii haina mashiko hata kidogo.
 
Wewe utakuwa una shida kubwa sana kuhusiana na uelewa wako. Kwenye hiyo comment yangu uliyonukuu, Je, wapi nilipoeleza kwamba marehemu Job Ndugai waliachana kwa talaka na huyo mke wake wa kwanza?? Huwa unasoma kwa kuelewa maelezo yaliyopo au huwa unasoma kama vile unasoma gazeti la udaku???
Please do Content Analysis first before you comment.

Elewa tofaufi iliyopo Kati ya Kutengana na Kuachana kwa talaka baina ya Wanandoa. Kutengana na kuachana ni vitu viwili tofaufi kabisa katika muktadha wa Ndoa.
Wanandoa wanaweza wakatengana rasmi kisheria kwa Amri ya Kutengana ya Mahakama (Separation Order) au implied wanaweza wakatengana kwa vitendo kwa kila mmoja kuamua kuishi maisha yake kivyake bila ya kuwepo kwa Amri ya Mahakama kama ilivyokuwa kwa huyo marehemu Job Ndugai na mke wake wa kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…