Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

Bado nasimama na Ma'mchaga mnayoyaandika,, hata selewii

Hata kesi huwa wanafanya ku refer kwa zilizopita na mifano halisi,,

Bi Stella bado ni mke halali ikiwa ndoa yao haikuvunjwa kisheria au kutalakiana,,

Ikiwa ni tofaut na hapo wote watakuwa treated

Ila sisi tubaki kuwa observer hakuna kitachofichika km kutakuwa na migogoro baina yao,,
 
Anacho cheti cha ndoa ?
 
ndiomana waislamu tumeamua tuoe wanne bila kificho.
🤣 huko ni kuleta maukimwi na ku create unstable family kwa maisha ya sasa

Hayo mambo waachieni waarabu….. hata waaarabu wa sasa imeshawashinda

Moja ya study yangu ya underground nilienda kuangalia risk ya Polygam kwa cases za HIV

POLYGAMY NI anather risk of HIV transmission na unstable familles
 
kulea kimada ambacho hakijulikani je?

hivi wewe umedumu namwamke mmoja tu maishayako yote? hujachepuka?
 
Mtu Hadi Anateuliwa Kwenye Nafasi Za Juu,,Hawakujua Kama Ni Shoga Hadi Samia Aje Kuona Na Kutengua Uteuzi...??
 
Sisomagi puuzi zako, ila unaprove we ni jinga lisilo na haya. Tutajie hao wengine wewe na utupe na details zao. We si riziki.
 
Ndio dini gani msikiti??
 
Labda mwamba ATAKUA ameacha wosia kurahisisha.

Mi nikipata mali labda nife ghafla hakutakua na Cha kurithi. Kila mtu nitampa chake nikiwa hai. Hii inaitwa estate planning.....
Hao wenye hela wanawaza kama wewe. Unahisi kuna mtu anaambiwa kuwa Jumatatu utazomewa na wapigakura ukiwa na wajumbe alafu wiki hiyohiyo ufe ghafla?

Mfano unajuaje kama hufi leo au kesho, mpaka uandike eti ukipata mali kila mtu utampa chake. Angekuwa anajua atakufa si angeacha kugombea, sasa kagawa hela mamilioni kahangaika wakati angepumzika zake atubu na kugawa mali asubiri hiyo siku.
 
kulea kimada ambacho hakijulikani je?

hivi wewe umedumu namwamke mmoja tu maishayako yote? hujachepuka?
Nilioa very Young nikiwa 25 tu , now I am 37 with 3 kids.

Sijawahi kuchepuka na sito wahi maana kwangu sex sio priority at all , natengeneza utajiri wa vijana ili wawe na continuinity ya mali . Halafu huku majuu tupo busy na paying bills sio mambo ya makalio na mavitu mengine…. Hayo mambo ni huko, huku life is busy and time goes fast

Halaf sisi kikwetu we are destined kuwa na proper family… sio baba huku mama kule …… kwa mfano, upande wa familia role Model wangu ni Lowasa…… ni kiongozi wa juu pekee mwenye familia bora iliyopangika…… hutoweza kusikia kelele kwenye ile familia
 
Bora huyu kajengwa kwao ,kuna wengine walipokuja mjini kutafuta maisha na kuacha familia huko kijijini kwao ..Huku walioa na kujenga familia mpya na kule kijijini hawakurudi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…