Wengi wanahoji wake wa Spika Job Ndugai, na kuona mmoja amesahaulika

Kina Mafuru na Faustine hao

Wamezikwa mijini
Ndugai ninemkubali ,siku moja nilimsikia akasema wagofo tunadharaulika sana ...Huyo jamaa ni yale mambo ya siasa ila kwao kakita mjengo ni jambo jema sana.
 
Ya ndungai yataibuka kwa mwamposa muda utaongea. Watu wakishapata pesa wanakimbia wake zao wa ujanani na kusingizia wao ndio waliokumbiwa
 
Hii andiko umechanganya issue nyingi pamoja
 
mambo ya majuu yameingiaje tena mkuu😁😁😁😁😁😁kwahio wewe unaijua k Moja tu?
 
Hilo unajua wewe

Kinachoangaliwa yeye alijaza nini
Nadhani hauko sahihi. Mfano: Yusufu amemuoa Mariamu ndoa ya kikatoliki, akapewa cheti cha ndoa na kanisa (kumbuka kanisa ni wakala wa serikali ktk muktadha huu). Lakini ktk taarifa alizompa mwajiri wake akaweka jina la kimada wake kuwa ndiye mkewe. Sasa mbeleni ikitokea shida kama hii inayojadiliwa hapa, sheria haiwezi tu kuangalia ulijaza nini kwa mwajiri bali itaangalia yupi ni mke halali. Kwahiyo kama Yusufu alijaza hizo taarifa za kimada wake baada ya kufunga ndoa na Mariam, basi sheria itamtambua Mariam kama mke halali wa marehemu. Mfano huu unahusu ndoa za mke mmoja, lakini hata ktk ndoa za mke zaidi ya mmoja lazima mke aliyetangulia aridhie ndio mme aweze kuoa mke mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…