Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

Anaweza asifanye kama kuna kitu ambacho kina uhakika wa kuendeleza familia bila uwepo wa mmoja wao
 
Na ni bora hata hicho kipato chenyewe wanawake wangekuwa wanachangia ungesema kuna nafuu

Lakini wanawake wengi hata alipwe au aingize million 3 kwa mwezi ni wachache sana wanaochangia mahitaji ndani ya nyumba, hela yake ni yake haijalishi ni shilingi ngapi

Sasa si bora akae tu nyumbani aangalie watoto wangu
 
Wewe mkeo ambaye yupo nyumbani pima watoto DNA alafu uje utoe ripoti hapa.
Mnashindwa Kuelewa maamuzi na tabia ya mtu ni tofauti na kazi.

Mwananmke anaweza akafungwa jela na akapata Mimba
Tunachoangalia ni wapi pana risk zaidi!

Mwanamke uliyenaye nyumbani risk ya kuchepuka ni ndogo kuliko mke anayesafiri kila wiki kwenda semina!

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Baba yangu alifanikiwa na mama alikua mama wa nyumbani.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Anayepanga mtoto wako wa kike akae nyumbani au la ni mume wake sio wewe. Na huna mamlaka hayo.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke mwenye dhiki ni mfano wa ndege anayefugwa kwenye kitundu.... anaweza kuimba na kucheza kwa furaha ukidhani ana furahi kumbe ni kwa sababu hana njia ya kutoka........

Wanawake wengi wanaolewa kwa sababu ya dhiki sio kwa mapenzi.....akipata njia ya kumudu dhiki zake ndio unayaona makucha yake......... mwanamke aliyeolewa kwa mapenzi hawezi kubadilika kwa mumewe labda matendo mabaya ya mumewe ndio yambadilishe.......
 
Anayepanga mtoto wako wa kike akae nyumbani au la ni mume wake sio wewe. Na huna mamlaka hayo.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app

Maandalizi ya goli kipa vs professional ni tofauti kabisa.

Goli kipa hata elimu ya la Saba tu inatosha. Kama mzazi huangaiki kumpa mwanao exposure ya mambo tofauti tofauti kama unategemea awe goli kipa.

Nadhani hamjui kuna mambo watoto wanajifunza kwa kuona tu bila hata kuambiwa, kama mama yake ni goli kipa ni rahisi sana mwanao kuwa goli kipa as well. Kama ilivyo mtoto wa maskini kuona umaskini ni kawaida na yeye kuwa maskini. Same applies kwa mtoto wa tajiri. Elimu, exposure, experiences walizonazo ni tofauti.

Mtoto aliyekulia nyumba ya baba mmoja wake watatu haoni ajabu kuolewa mke wa pili, but you can't even begin to tell mtoto aliyelelewa na a two parents family kuolewa mke wa pili.

But to each their own. Kama kwenu ugoli kipa is the way more power to you.
 
Hata hujaelewa nilichoandika!

Mtoto wako wa kike akishaolewa huna mamlaka naye tena na siku ukijidai unaenda kumpangia akiwa kwa mume wake utarudishiwa hapo nyumbani umuoe wewe.

Mtoto wa kike akishaolewa anafwata anachosema mume wake na sio tofauti. Mume akisema kaa hapa lea watoto anafanya hivyo. Akisema simamia huu mradi anafanya!

We muandae umuandaavyo na Hata ukimsomesha akiwa na PhD tatu jua atafanya kile mume wake anataka na sio tofauti!

Umeelewa?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 

Hawezi kuolewa na mme wa hivyo.
 

Huja Mamlaka ya mtu yeyote wewe.
Huja Mamlaka kisheria ya kumuamulia mkeo afanye kazi au asifanye. Hiyo ni hiyari yake.

Mawazo haya anatakiwa atoe mtu wa zamani ambaye hana elimu yoyote Ile.
 
Ataona navyoishi na mama yake nae atatafuta mme wa hivyo.

Mama yake akiwa goli nyanda nae atatafuta mme wa kumfanya nyanda zaidi ya Onana.
Kuna mzazi mmoja sababu yeye ni daktari basi akataka kulazimisha mwanae naye awe daktari wakati mtoto anapenda kuwa mwanasheria

Kilichotokea mpaka leo mzazi anasema hatakaa arudie tena kulazimisha hatma ya mtoto wake yeyote.

Mtoto alipata F kwenye masomo yote ya sayansi o level lakini leo ni mwanasheria nguli na wakili mkubwa wa kujitegemea, amejenga hekalu lake la kuishi kwa pesa yake mwenyewe na ana gari moja matata sana kwa harakati tu za kutetea watu mahakamani na siyo kutibu watu kama baba yake alivyokuwa anataka kumpangia
 
Huja Mamlaka ya mtu yeyote wewe.
Huja Mamlaka kisheria ya kumuamulia mkeo afanye kazi au asifanye. Hiyo ni hiyari yake.

Mawazo haya anatakiwa atoe mtu wa zamani ambaye hana elimu yoyote Ile.
Kama ni mke wangu nitakupangia na ukibisha unarudi kwenu mchana saa saba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…