Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

Anaweza asifanye kama kuna kitu ambacho kina uhakika wa kuendeleza familia bila uwepo wa mmoja wao
 
Na ni bora hata hicho kipato chenyewe wanawake wangekuwa wanachangia ungesema kuna nafuu

Lakini wanawake wengi hata alipwe au aingize million 3 kwa mwezi ni wachache sana wanaochangia mahitaji ndani ya nyumba, hela yake ni yake haijalishi ni shilingi ngapi

Sasa si bora akae tu nyumbani aangalie watoto wangu
 
Wewe mkeo ambaye yupo nyumbani pima watoto DNA alafu uje utoe ripoti hapa.
Mnashindwa Kuelewa maamuzi na tabia ya mtu ni tofauti na kazi.

Mwananmke anaweza akafungwa jela na akapata Mimba
Tunachoangalia ni wapi pana risk zaidi!

Mwanamke uliyenaye nyumbani risk ya kuchepuka ni ndogo kuliko mke anayesafiri kila wiki kwenda semina!

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Ndio ujibu hoja.
Unaweza kukarabati na kujenga Ukweni?au kusomesha ndugu za mkeo?
Kama unaweza kutimiza majukumu ya mkeo ikiwemo kuhudumia wazazi wake basi unahaki ya kumzuia asifanye kazi.

Lakini elewa kuwa hakuna mtu aliyefanokiwa hata mmoja duniani ambaye mkewe ni mama wa nyumbani asiyefanya kazi ya uzalishaji
Baba yangu alifanikiwa na mama alikua mama wa nyumbani.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Binti yako ni mke wa mtu mtarajiwa. Kama wewe unataka mke goli kipa means unamuandaa binti yako awe goli kipa.

Sihitaji kwenda mbali kuuliza maana nimekua kwenye hayo mazingira, kwetu, meaning ukoo wetu, wake kwa Waume wamesoma na Wana nafasi zao professionally. Kwangu mwanamke kuwa goli kipa ndo jambo la ajabu, sihitaji mke au binti yangu awe hivyo. Hii ishakua imprinted in my brain.

Sio lazima awe rais/spika/mkurugenzi anaweza kuwa na profession yeyote ile ilimradi awe na profession yake. Naandaa binti wa namna hiyo siandai goli kipa.

Nyie kimsingi mnataka mke goli kipa na mnaandaa magoli kipa otherwise mnajipinga wenyewe kama hamtaki mabinti zenu wawe magoli kipa.
Anayepanga mtoto wako wa kike akae nyumbani au la ni mume wake sio wewe. Na huna mamlaka hayo.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke mwenye dhiki ni mfano wa ndege anayefugwa kwenye kitundu.... anaweza kuimba na kucheza kwa furaha ukidhani ana furahi kumbe ni kwa sababu hana njia ya kutoka........

Wanawake wengi wanaolewa kwa sababu ya dhiki sio kwa mapenzi.....akipata njia ya kumudu dhiki zake ndio unayaona makucha yake......... mwanamke aliyeolewa kwa mapenzi hawezi kubadilika kwa mumewe labda matendo mabaya ya mumewe ndio yambadilishe.......
 
Anayepanga mtoto wako wa kike akae nyumbani au la ni mume wake sio wewe. Na huna mamlaka hayo.

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app

Maandalizi ya goli kipa vs professional ni tofauti kabisa.

Goli kipa hata elimu ya la Saba tu inatosha. Kama mzazi huangaiki kumpa mwanao exposure ya mambo tofauti tofauti kama unategemea awe goli kipa.

Nadhani hamjui kuna mambo watoto wanajifunza kwa kuona tu bila hata kuambiwa, kama mama yake ni goli kipa ni rahisi sana mwanao kuwa goli kipa as well. Kama ilivyo mtoto wa maskini kuona umaskini ni kawaida na yeye kuwa maskini. Same applies kwa mtoto wa tajiri. Elimu, exposure, experiences walizonazo ni tofauti.

Mtoto aliyekulia nyumba ya baba mmoja wake watatu haoni ajabu kuolewa mke wa pili, but you can't even begin to tell mtoto aliyelelewa na a two parents family kuolewa mke wa pili.

But to each their own. Kama kwenu ugoli kipa is the way more power to you.
 
Hata hujaelewa nilichoandika!

Mtoto wako wa kike akishaolewa huna mamlaka naye tena na siku ukijidai unaenda kumpangia akiwa kwa mume wake utarudishiwa hapo nyumbani umuoe wewe.

Mtoto wa kike akishaolewa anafwata anachosema mume wake na sio tofauti. Mume akisema kaa hapa lea watoto anafanya hivyo. Akisema simamia huu mradi anafanya!

We muandae umuandaavyo na Hata ukimsomesha akiwa na PhD tatu jua atafanya kile mume wake anataka na sio tofauti!

Umeelewa?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Hata hujaelewa nilichoandika!

Mtoto wako wa kike akishaolewa huna mamlaka naye tena na siku ukijidai unaenda kumpangia akiwa kwa mume wake utarudishiwa hapo nyumbani umuoe wewe.

Mtoto wa kike akishaolewa anafwata anachosema mume wake na sio tofauti. Mume akisema kaa hapa lea watoto anafanya hivyo. Akisema simamia huu mradi anafanya!

Hata ukimsomesha akiwa na PhD tatu jua atafanya kile mume wake anataka na sio tofauti!

Umeelewa?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app

Hawezi kuolewa na mme wa hivyo.
 
Hata hujaelewa nilichoandika!

Mtoto wako wa kike akishaolewa huna mamlaka naye tena na siku ukijidai unaenda kumpangia akiwa kwa mume wake utarudishiwa hapo nyumbani umuoe wewe.

Mtoto wa kike akishaolewa anafwata anachosema mume wake na sio tofauti. Mume akisema kaa hapa lea watoto anafanya hivyo. Akisema simamia huu mradi anafanya!

We muandae umuandaavyo na Hata ukimsomesha akiwa na PhD tatu jua atafanya kile mume wake anataka na sio tofauti!

Umeelewa?

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app

Huja Mamlaka ya mtu yeyote wewe.
Huja Mamlaka kisheria ya kumuamulia mkeo afanye kazi au asifanye. Hiyo ni hiyari yake.

Mawazo haya anatakiwa atoe mtu wa zamani ambaye hana elimu yoyote Ile.
 
Ataona navyoishi na mama yake nae atatafuta mme wa hivyo.

Mama yake akiwa goli nyanda nae atatafuta mme wa kumfanya nyanda zaidi ya Onana.
Kuna mzazi mmoja sababu yeye ni daktari basi akataka kulazimisha mwanae naye awe daktari wakati mtoto anapenda kuwa mwanasheria

Kilichotokea mpaka leo mzazi anasema hatakaa arudie tena kulazimisha hatma ya mtoto wake yeyote.

Mtoto alipata F kwenye masomo yote ya sayansi o level lakini leo ni mwanasheria nguli na wakili mkubwa wa kujitegemea, amejenga hekalu lake la kuishi kwa pesa yake mwenyewe na ana gari moja matata sana kwa harakati tu za kutetea watu mahakamani na siyo kutibu watu kama baba yake alivyokuwa anataka kumpangia
 
Huja Mamlaka ya mtu yeyote wewe.
Huja Mamlaka kisheria ya kumuamulia mkeo afanye kazi au asifanye. Hiyo ni hiyari yake.

Mawazo haya anatakiwa atoe mtu wa zamani ambaye hana elimu yoyote Ile.
Kama ni mke wangu nitakupangia na ukibisha unarudi kwenu mchana saa saba
 
Back
Top Bottom