Mpaka hapo wewe siyo mwanaume na hukupaswa kuoa. Matokeo yake siku hizi vijana mnaoana au kuolewa na wake zenu. Mnaamuka wote saa 11 na mnarudi wote saa 4 usku. Hupewi maji ya kuoga, hupikiwi, watoto wako hawawalelewi na mke wako. Mke wako anaweza asirudi nyumbani, anaweza safiri mwezi mzima. Katika mazingira haya hata mngekuwa matajiri kiasi gani, wewe hujaoa..Ila una mtu unashirikiana naye kwenye maisha.
This isnt a concept of marriage na inakinzana na misingi ya asili ya ndoa. Matokeo yake Kila siku vinana mnaachana hata wale mnaoendelea ndoa zipo mahututi.
Yaani kakijana kameoana au kuolewa na mwenzake halafu Kanataka kaonekane kamwanaume ndani.
Narudia tafuteni hela kazi ya mwanmke ni kulea familia. Kazi ya kutafuta hela ni ya mwanaume. Huwezi kutafuta hela usioe