Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

Wengi wanaotaka wake zao wasifanye kazi wana upeo mdogo wa kufikiri halafu ni wabinafsi

Nadhani anamaanisha kazi za kuajiriwa, maaba kazi za ndani tu pekeyake zinatosha na ndio maana watu wanaajiri madada wakazi na wanawakipa kwakua kazi za ndani pekeyake na nyingi. Kibwa hapa wale wanaokataa wake zao wasiajiriww basi wawe wanawakipa kulingana na vipato vyao.
Hapana sehemu amesema hivyo.

Kasema Mke wake hatafanya kazi.
Labda wewe unisaidie kuna Mke wa tajiri ambaye hafanyi kazi ulishamuona?
 
Hapana sehemu amesema hivyo.

Kasema Mke wake hatafanya kazi.
Labda wewe unisaidie kuna Mke wa tajiri ambaye hafanyi kazi ulishamuona?
Kumbe wewe mke wako unaenda naye kwenye biashara zako

Mimi mke wangu ni pambo la nyumba, anatakiwa kula, kulala na kufanya mazoezi ya viungo tu siyo kuhangaika na mafoleni huko barabarani
 
Usiwalaumu Mkuu,tatizo ni matokeo mabaya yanayokuja baada ya mwanamke kufanya kazi......wengi huanza kutokusikiliza mume,kiburi,kujilinganisha,kumshusha thamani mume na kurudi home muda atakao
Na pesa ya mwanamke ni ya mwanamke, mwanaume unaanzaje kuipigia hesabu?

Huyu jamaa siku hizi kidem chake kinamuendesha sana aisee.
Yaani unaoa ili usaidiwe majukumu!!
 
Yeyote anayebisha muulize hatamani binti yake aje kuwa Rais, spika, waziri, mkurugenzi kama wanawake walivyoshika hatamu kwenye hii awamu? Anataka binti yake awe goli kipa tu that's it? They must be dumber than bricks 🧱
 
Hapana sehemu amesema hivyo.

Kasema Mke wake hatafanya kazi.
Labda wewe unisaidie kuna Mke wa tajiri ambaye hafanyi kazi ulishamuona?
Hapana hii siungi mkono, nnachokataa mimi mke kuacha kabisa kushughulika na watoto na kutunza nyumba kwa kisingizio cha ugumu wa maisha eti nayeye atoke akatafute nnacho amini mimi kama mke umemruhusu akifanye kazi hicho kipato ni chake, maswala ya huduma za nyumbani bado yanabaki kwako mume.
 
Na pesa ya mwanamke ni ya mwanamke, mwanaume unaanzaje kuipigia hesabu?

Huyu jamaa siku hizi kidem chake kinamuendesha sana aisee.
Yaani unaoa ili usaidiwe majukumu!!
Si “kusaidiwa” ili yeye na Mke “watimize” majukumu maana ukisema unasaidiwa ni kama mmoja anafanya kwa Hisani

Mke akifanya kazi ni atimize majukumu si kumsaidia mume.
 
Hapana hii siungi mkono, nnachokataa mimi mke kuacha kabisa kushughulika na watoto na kutunza nyumba kwa kisingizio cha ugumu wa maisha eti nayeye atoke akatafute nnacho amini mimi kama mke umemruhusu akifanye kazi hicho kipato ni chake, maswala ya huduma za nyumbani bado yanabaki kwako mume.
Hiyo ni imani yako.

sababu mimi nikisema Mke wangu pesa yake ni yake tu na hainihusu. ILA mimi majukumu ndio yangu.

Kwa maana ya kwamba siku nitakapopata ugonjwa wakuniweka kitandani pesa yake asiitumie sababu ni majukumu yangu kupata pesa yangu na kujihudumia, au mtoto anaumwa lakini mimi sina pesa kwakua Mke pesa yake ainihusu tuache mtoto aendelee kuumwa.

Huenda ukawa sawa ni imani yako kwa mtazamo huo.
 
Hizo ni blue print za mifumo dume ambazo umeaminishwa hivyo.

mtoto wakike alikuwa apelekwi shule sababu yeye alikuwa kama mtumwa tu itafika umri atachukuliwa na mwanaume kwenda kumtumikia.

Hii ni karne ya ngapi? Unataka dunia iendelee kuwa vile vile miaka 1000 nyuma?
Sasa wewe fata usasa, uache kufata asili. Mpe mkeo 50/50 kama wanavyohitaji wanawake wote, jiulize sana huko walipoanza kustarabika kwa nini ndoa hazidumu?. Kulinganisha na jamii nyingine hasa za sisi weusi.
 
Kipato chako wewe, nichafamilia nzima akiwemo mkeo na watoto wenu.
Mkuu Rustem,
Hapo umenena vyema!
Kama kipato chako kinatosha kabisa kuhudumia mke akapendeza na watoto wakaenda na Mke akapata mahitaji yake yote kama mwanamke ni sawa.

ila kwenye jamii nyingi tunazoishi uhalisia ni tofauti.
 
Sasa wewe fata usasa, uache kufata asili. Mpe mkeo 50/50 kama wanavyohitaji wanawake wote, jiulize sana huko walipoanza kustarabika kwa nini ndoa hazidumu?. Kulinganisha na jamii nyingine hasa za sisi weusi.
Upo na takwimu?
Kama unazo weka tusome.
50/50 si mwanamke kujilinganisha na mwanaume.

Unaelewa dhana nzima ya 50/50?
 
Hawa vijana walamba lips wa kipindi hiki hawatakuelewa sababu wanataka majukumu yao yabebwe na wake zao.

Mwanamke ni pambo la nyumba ikiwa na maana yeye mwenyewe apendeze, awaweke watoto wakiwa safi, mume wake aende kazini akiwa msafi wa mwili na akili pamoja na usafi wa ndani.

Mwanamke huyu akienda kazini nani atafanya hayo?
Kama ni hivyo si angebaki kwa wazazi wake afanye kazi ili asomeshe wadogo zake 🤔

Wewe unazo pesa za kumfanya mkeo na watoto wawe safi?
Unao uwezo wa kumpendezesha mkeo au ndio ninyi mnawavalisha kanga moja miaka nenda rudi?
Au huo ujasiri ni kwa sababu unatumia Fake I'd?

Unauwezo wa kuwahudumia wazazi wa mkeo na ndugu zake akimuomba ufanye hivyo?
 
Yeyote anayebisha muulize hatamani binti yake aje kuwa Rais, spika, waziri, mkurugenzi kama wanawake walivyoshika hatamu kwenye hii awamu? Anataka binti yake awe goli kipa tu that's it? They must be dumber than bricks 🧱
That's another issue

Huwezi kumlinganisha Rais, Spika wa bunge na mwalimu wa chekechea anayelipwa laki mbili na nusu kwa mwezi

Mama Salma Kikwete hata Mke wa Magufuli wote walikuwa walimu lakini waume zao walipopata urais wake zao nao waliacha kuwa waajiriwa
 
Back
Top Bottom